LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Kwà hiyo mkuu unamuomba Mungu wako awabariki na mashoga wa Israeli?
Watenda dhambi wanaishi dunia moja na wasio watenda dhambi, cha ajabu nini hapo, au hujui kuwa wasioamini uwepo wapo duniani pamoja na wanaoamini Mungu?
 
Sijitoe akili uarabuni bila kuungama na western countries ni afadhari hata na afrika,dubai ni uwekezaji wa mzungu ule kuifanya civilization arabia baada yakuonekana ujinga wa dini umewakaa na hawataki kuaacha licha ya kuwa wamepotoka,soon las vegas itahamia the emirate.

Ule upuuzi wa kua nakutenaga wengine kisa dini unaenda kuisha hapo middle east,wazungu sio wajinga.
Kuungana kwenye nini ?wazungu kule wanafanyishwa kazi wanalipwa unadhani kirahisi namna hiyo hela mzee ndio inafanya mambo yote yale, hakuna mtu anayemtenga mtu kisa dini ila culture yao wanaiheshimu au umeshau qatar walivyopiga biti kuhusu wageni walioenda world cup, na umeona maajabu na kufuru ya hela walioifanya , ukifika utasema sio jangwa
 
Israeli LILIKUWA taifa teule la Mungu

Tangu walipoua manabii wa Mungu na kumkataa Yesu walipoteza sifa ya kuwa taifa la Mungu

Dini yenyewe ya taifa Uyahudi, mafundisho yake hayapatani na Biblia

Hawamwamini Yesu

Watawezaje kuwa taifa teule la Mungu?
Wakati mwingine kaa kimya na imani yao waache wafu wazikane.
 
Israel ni taifa la Mungu ambalo watu wake wameasi, ila Mungu wao anawavumilia pengine kuna siku watamrudia. kwa upande mwingine, mungu baali ndio yule aliyeshusha kitabu cha uongo kinachozalisha magaidi. baadi tangu enzi alikuwa na mahusiano na ushirikina na uchawi. Biblia ipo wazi.
 
BREAKING:

Incoming reports of around 200 bodies having been found at the scene of the music festival near the Gaza border fence.

It seems that the situation there was much worse than initially thought
 
Israel ni taifa la Mungu ambalo watu wake wameasi, ila Mungu wao anawavumilia pengine kuna siku watamrudia. kwa upande mwingine, mungu baali ndio yule aliyeshusha kitabu cha uongo kinachozalisha magaidi. baadi tangu enzi alikuwa na mahusiano na ushirikina na uchawi. Biblia ipo wazi.
Hawatakuelewa.
 
Hii tabia ya watu kukaa kimya ndio inaipa kiburi Israeli kufanya inavyojiskia katika mataifa mengine.
Wakati mwingine kaa kimya na imani yao waache wafu wazikane.
Paza sauti kukemea uovu, hata kama uovu huo unafanywa na watu unaoamini katika imani yako kuwa ni "taifa teule"
 
Patriot Air Defense Batteries are reportedly Active over Northern Israel attempting to Intercept Long-Range Missiles.
 
Wana kitabu Chao cha kichawi balaa wanachokiamini kinaitwa Kabbalah, kitabu ambacho ndio chimbuko la uchawi na ulozi wa wazungu.
Israeli LILIKUWA taifa teule la Mungu

Tangu walipoua manabii wa Mungu na kumkataa Yesu walipoteza sifa ya kuwa taifa la Mungu

Dini yenyewe ya taifa Uyahudi, mafundisho yake hayapatani na Biblia

Hawamwamini Yesu

Watawezaje kuwa taifa teule la Mungu?
 
🚨 #BREAKING: ISRAEL SAYS TOO EARLY FOR MEDIATION

Israel’s Turkish ambassador, Irit Lillian, said its too early to talk mediation with Hamas.

Lillian said the attacks showed Hamas should not have any presence in Turkey or elsewhere either.

Turkey said its in contact with all parties and ready to de-escalate, but Lillian said its not Israel's priority.

They said: 'Mediation comes at a different point of time. Right now, we are unfortunately counting the dead, we are trying to heal the wounded, we don’t even know what is the number of the citizens abducted.' #IsraelPalestineWar
 
Hahahah[emoji23][emoji23]
Nimeambatanisha na neno " save" kwa ajili ya 61%, alafu Mungu hana ubaguzi, Biblia inasema anawapa baraka wema na waovu.
Ni bora hata hayo maombi yako ungekuwa unayaelekeza kwa mababu zako kuliko kuombea watu washenzi kama hao waabuduo miungu kama Baal
images%20(6)_1696766055708.jpeg
 
Ukraine inavamiwa.

Mtu anasapot Ukraine kujilinda.

Palestina inavamiwa.

Anaishangaa Palestina kujilinda
Ukraine kavamiwa ila hateki vibibi/vibabu vya kirusi, hateki vijana/mabinti wadogo wasiohusika na vita, haingii nyumba kwa nyumba kuua raia wasiokuwa na hatia bali anapambana na vikosi vya kirusi na miundombinu Yao, huoni utofauti?
 
Hata hueleweki unachokitetea, mara ukubali mara upinge ila sishangai maana ndio hulka ya wafuasi wengi wa munyaazi mungu
*Mada imeanza jamaa mmoja kudai Israel ilipiga nchi tano za kiaarabu na kuchukua maeneo yao .

*Mimi nikamuuuliza ;
1.Ilikuwa lini ?
2.Vita gani ?
3.Nchi zipi ?
4.Ataje hayo maeneo yaliyochukuliwa ?

*Wewe ukadakia treni ukasema ni 6 days War niende Gugo niulize .

Mimi nikaja na majibu ya Gugo ambayo yanasema nchi tatu ?

Sasa jukumu ni lako kuleta ushahidi wa ulichopinga na kujibu maswali hapo juu .

Nakusubiri majibu najua huna sababu elimu duni na kichwani umebeba karo la choo sio ubongo..
 
Wakuu hali ni mbaya maeneo haya ambapo mpaka sasa ripoti zinaeleza kuuwawa zaidi ya watu 400 katika shambulio la woga la maroketi lililofanywa kwa kuvizia na vikosi dhaifu vya Hamas hapo jana.

Tayari Israel imekwisha kufanya shambulio la kujilinda usiku wa kuamkia jumapili hii ambapo mabedui hawa zaidi ya 300 wameripotiwa kauliwa huku wengine 2000 wakijeruhiwa vibaya BBC imeeleza

Wakati wa shambulio hilo la Gaza dhidi ya Israel, wanamgambo wa Kipalestina walijipenyeza na kuingia Israel na kujaribu kuchukua udhibiti wa maeneo ya Waisraeli.

Mamia ya wapiganaji hao wa Kipalestina sasa wameuawa, jeshi la Israel linasema, kulingana na ripoti ya shirika la habari la Reuters.

Makumi ya watu wenye silaha wameshikiliwa mateka, jeshi liliongeza.

Israel ilisema hapo awali kuwa bado inakabiliana na wanamgambo katika maeneo manane.

Habari zaidi zinasema kuwa jumla ya Wapalestina 313 wameuawa na karibu 2,000 kujeruhiwa huko Gaza kufuatia mashambulizi ya anga ya kulipiza kisasi kutoka Israel tangu Jumamosi, kulingana na wizara ya afya ya Palestina.

Kufikia sasa Waisraeli 400 wameuawa na makumi ya wengine kutekwa nyara, Ubalozi wa Israel nchini Uturuki ulisema, ukinukuu Wizara ya Afya ya Israel.

Takriban watu 2,000 wanatibiwa hospitalini - 19 kati yao wako katika hali mbaya, ilisema
10dde2b7-b64a-4347-ab4a-8d4f927e9a09.jpg


Haya Ndio majibu ya Israeli kwa parestina kwa ufedhuri walio kufanya hapo jumamosi. Hakika ni pigo kubwa kwa Israeli lenye madhira yasiyotamkika kwa wanamgambo na wananchi goigoi wa taifa hawa la Palestina
 
Huwa sielewi kabisa hàsa pale ninapokuta jitu jeusiii tii Swahili kutoka moja ya nchini maskini kabisa duniani linaposhabikia ya kuwa eti taifa la Israeli ni taifa teule (taifa la Mungu) mpaka kufikia kuunga mkono hata mauaji ya watu wasio na hatia (waPalestina).

Tena wengine wanaenda mbali zaidi ya kuwa eti oohh! Ukimbariki Israeli nawe umebarikiwa, mara oohh'' sijui ukimlaani nawe umelaaniwa!!

Anyway, basi kama ndivyo hivyo basi mbona hambariki na mambo ya LGBTQ+, mambo ya gay parades, pride match, etc, yaliyohalishwa katik taifa hilo!??

Mimi mkiniambia labda huyo mungu wao ambaye wanamuambu, which obviously ni Baal ni mungu wenu pia mnayemuabudu hapo nitawaelewa lakini sio MUNGU huyu nayemjua mimi ambaye ni Alfa na Omega.

Muwe na jumapili njema enyi wayahudi weusi.

Moderators : Naomba msiuguse huu uzi.View attachment 2775436View attachment 2775437View attachment 2775438View attachment 2775440
Mbona serikali ya Israel yenyewe haiungi mkono huo ufirauni (tena kwa mujibu wa post yako)?

Ni wazi kuwa hizo ni harakati za watu binafsi, baadhi yao kutoka nje ya Israel..
👇👇
1696768692867.png


Ni kama vile kuna ndoa za mashoga hapa Zenji, lakini serikali hairuhusu..
 
Back
Top Bottom