LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Nitukio baya sana ila lilikuwa la maroketi. Kweli israeli hawajawahi kuuliwa kwa kiwango hicho hivyo ghadhabu itakayo wakuta mujehdini hawa watageuzwa majivu.
Maroketi yaliwashughulisha wayahudi kumbe jamaa wanaingia kwa mguu mpakani, hayo mengine ni maneno tu mkuu hali ni mbaya huko, yale majengo ambayo myahudi anafanya airstrikes mengi hayana watu, nadhani wamejipanga kuliko tunavyoongea hapa.
 
At least 700 people have been killed in Israel, say latest reports by Israeli media.
[emoji837] LIVE updates: Fierce battles between Hamas, Israeli army as death tolls soar

Hali ni mbaya mnoo kwa wazayuni hao makatili

Hii vita soon inaenda kuleta matatizo makubwa
 

Shabiki wa muarabu, mlichekelea sasa leo mnalialia, Israel wanajipigia na kusambatatisha misikiti, mabwana zenu waarabu na mainchi yao hawana la kufanya....
 
Hahahah hii habari kwa umri wangu imekuwa ya majaabu sana, hawa mgambo wamepata wapi guts za kuingia mpaka ndani ya israel? yaani hivi sasa wanaoperate 10kms tu kutoka west bank, na wanajisifu wamepeleka supply ya askari wengine na wale wa mwanzo wamerudi kupumzika.
 
Wameomba msaada sana kuwa wanaonewa lakini majirani wameingiza pamba masikioni kwa kuogopa maslahi yao na westerners

Ila wamejipanga na siri haikutoka mpaka wameshambulia
Imagine pamoja na kuwa na umakini wote wa wayahudi lakini kama Mungu kaandika siku yako ya kufa basi itakuja tu
Tulizoea kusikia wayahudi wawili au watatu wameuwawa na huku wao wakienda kuuwa civilians

Ila hii ya 600 kuuwawa lazima Dunia ishangae na Hamas wamewabana pabaya haswa
Vita ni vita tu na mauwaji lazima ila hii kiboko
Naona mpaka wastaafu wanaitwa leo wapigane
Kwa mara ya kwanza imewekwa hali ya hatari
Waache wasikie maumivu na wengi wao mashoga kupigani ni kazi sana maana wanawaza makeups 💄
 
Hamas wanasema walitegemea kipigi hiki kwa Israel lazima kitakuja na mashambuliziya kila namna kutoka israel lakini wao hawatapigana vita wanayoitaka Israel. Watapigana vita wanayoitaka wao, watahakikisha kipigo kama jana kinafanywa bila israel kutegemea kinakuja lini au saa ngapi na kutokea wapi.

Msemaji wa israel anasema tumepiga kutokea baharini, nchi kavu na angani, kutokea karibu kabisa. Sasa israel itegemee tutaibuka kutokea chini na kuwatunguwa kutokea mbali, hawana pakujificha kwa muda wote, tutahakukusha tunawafata hukohuko walipo.

"wavamizi wasahau kabisa kuishi na kufanya kazi zao kwa amani katika ardhi yetu" - Hamas.
 
Waendelee kuyashikilia tu, siku watakaporudishwa nyuma ikiwa watabahatika, kama hawatauawa, watakuta nyumbani kumekuwa magofu.
 
Waendelee kuyashikilia tu, siku watakaporudishwa nyuma ikiwa watabahatika, kama hawatauawa, watakuta nyumbani kumekuwa magofu.
Na itakuwaje kama wataita familia zao zije kuishi hapo ambapo wanasema ni kwao walikofukuzwa na Israel kimabavu
Na hasa kwa vile Gaza kumejaa watu sana.
 
Hahaahah mstari wa mwisho nimecheka sana, mpaka kesho tutaskia mengi lakini kwa walivyo na propaganda naona hali ni mbaya kuliko hata wanavyotusimulia.
 
Mkuu wacha kututia watu na akili zetu kwenye upumbavu, nyama ya nguruwe imeharamishwa sambamba na pombe na kamari n.k, na wala sio siri nyama ya nguruwe ina madhara mengi yaliyothibitishwa na machapisho mengi ya kisayansi yameandikwa.
Machapisho ya wasabato na waislam lini lini yakawa machapicho! ? Machapisho yaliyo fungamana na misimamo ya dini ni machapisho hayo?

hata wewe naona umekaririshwa tu na sheikh wako hebu pitia visa hivi hapa ujifunze kidogo

SAHIHI Muslim 3753:'' Sisi tulikuwa pamoja na Mtume wa Allah, na Yeye Mtume wa Allah alikuwa na kiu na mtu mmoja akasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, Je, unataka kunywa mvinyo? Mtume Muhammad akasema: Ndio. Basi yule Mtu alikwenda kuleta mvinyo. Mtume wa Allah akamwambia: Lete Mvinyo ulio mkali ili ninywe; Basi Mtume wa Allah alipo kunywa ule Mvinyo Mkali alilewa

QURAN AL- BAQARA (2:173)
173.Yeye amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya Nguruwe na kilicho tajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu. Lakini aliye fikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi kula Mizoga na Damu na nyama ya Nguruwe. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu

KWENYE SURAT AL BAQARA 173

Hadith imesimuliwa na Al Tabar na kupokewa na Ibn Ali Bakouri. Nabii wa Allah na Maswahiba wake walikuwa wamechoka na safari ndefu. Wakafika Nyumbani kwa Fatimah rafiki wa Swahiba wake. Nabii wa Allah akauliza je unachakula chochote? Fatimah akajibu ndio. Nabii wa Allah akauliza tena una mawindo yeyote. Fatimah ajibu nina myama ya Nguruwe pori. Basi Nabii wa Allah na Maswahiba wake walikula Ngama ya Nguruwe pori mpaka wakashiba. Al Kitaab Uk wa 136 Hadith ya 41 Toleo la Tatu.

QURAN SUURAT AN NAH'L (16:116).
Wala msiseme uwongo, kwa kuropokwa na ndimi zenu: Hichi halali, na hichi haramu - mkimzulia uwongo Mwenyezi Mungu. Hakika wanao mzulia uwongo Mwenyezi Mungu hawatafanikiwa
 
Mshindia kisamvu wa Kwa Limboa anapo-question military strategic objectives za Israel!

Kwenye Cabinet jana, PM Netanyahu alitaja objectives 4 kwenye suala hili! Sidhani kama ulielewa chochote.
 
Watavuna Walicho panda Muda utasema[emoji24][emoji24][emoji24]
Mungu wa deen ya Wayahudi Amewaagiza Wayaishi haya ili wafaulu!
[emoji116][emoji116]
Deuteronomy 19:20-21
[20]Na watakaosalia watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako.

[21]Wala jicho lako lisiwe na huruma; uzima kwa uzima, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa
mkono, mguu kwa mguu.

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…