Mkuu wacha kututia watu na akili zetu kwenye upumbavu, nyama ya nguruwe imeharamishwa sambamba na pombe na kamari n.k, na wala sio siri nyama ya nguruwe ina madhara mengi yaliyothibitishwa na machapisho mengi ya kisayansi yameandikwa.
Machapisho ya wasabato na waislam lini lini yakawa machapicho! ? Machapisho yaliyo fungamana na misimamo ya dini ni machapisho hayo?
hata wewe naona umekaririshwa tu na sheikh wako hebu pitia visa hivi hapa ujifunze kidogo
SAHIHI Muslim 3753:'' Sisi tulikuwa pamoja na Mtume wa Allah, na Yeye Mtume wa Allah alikuwa na kiu na mtu mmoja akasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, Je, unataka kunywa mvinyo? Mtume Muhammad akasema: Ndio. Basi yule Mtu alikwenda kuleta mvinyo. Mtume wa Allah akamwambia: Lete Mvinyo ulio mkali ili ninywe; Basi Mtume wa Allah alipo kunywa ule Mvinyo Mkali alilewa
QURAN AL- BAQARA (2:173)
173.Yeye amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya Nguruwe na kilicho tajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu. Lakini aliye fikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi kula Mizoga na Damu na nyama ya Nguruwe. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu
KWENYE SURAT AL BAQARA 173
Hadith imesimuliwa na Al Tabar na kupokewa na Ibn Ali Bakouri. Nabii wa Allah na Maswahiba wake walikuwa wamechoka na safari ndefu. Wakafika Nyumbani kwa Fatimah rafiki wa Swahiba wake. Nabii wa Allah akauliza je unachakula chochote? Fatimah akajibu ndio. Nabii wa Allah akauliza tena una mawindo yeyote. Fatimah ajibu nina myama ya Nguruwe pori. Basi Nabii wa Allah na Maswahiba wake walikula Ngama ya Nguruwe pori mpaka wakashiba. Al Kitaab Uk wa 136 Hadith ya 41 Toleo la Tatu.
QURAN SUURAT AN NAH'L (16:116).
Wala msiseme uwongo, kwa kuropokwa na ndimi zenu: Hichi halali, na hichi haramu - mkimzulia uwongo Mwenyezi Mungu. Hakika wanao mzulia uwongo Mwenyezi Mungu hawatafanikiwa