Viarabu ndio lugha gani mkuu? Pole sanaSiyo mbaya tunaheshimu mchango wako wa mawazo. Lakini hilo la Israel kupata wakati mgumu kwasababu ya viarabu halipo.
Nilicomment huko nyuma sijui ni post number ngapi ila ukitizama katika profile yangu utaona nimeelezea habari hiyo kwa ufupi, ila waisraeli hawana usuperior wowote juu ya wanadamu wengine.Kulingana na wengi wnaavyocoment hapa....kwamba Ile nch ni Yao waliahidiwa....
So wanaoishi hapo wanatakiwa waondoke ....Sasa waende wap?
Siamini katika Mungu huyo....
Naamini Mungu yupo....lakini sio huyo wanaemuongelea Hawa walimwengu...Mungu awezi amrisha kiumbe chake kipoteee.
Sote tu sawa mbele ya macho ya mwenyezi Mungu....haya mambo ya kusema Israel ndo wanastahili kuliko yoyote duniani....ni ujinga watu walioamua kumezeshana.....Kila mtu anastaili mbele ya Mungu....ndo maana kaumba sisi sote
Hili lilishatimiq muda mrefu sana, enzi za Nehemia na Ezra, waliporudi kutoka uhamishoniHili ndo neno la Mungu sasa wewe bishana na MunguView attachment 2775260
Umempasua jicho😂Acha ushabiki maandazi, wombee palestine, hakuna mtu anayeingia Israel kutokea popote, wavamizi waliobaki wamezingirwa braza, maombi yako ni muhimu kwa wa Gaza kuliko huu umbea wako
Yaani uwa hamjuhi mnachokitaka, bt mnashangilia ujinga na upumbavu tu, komandoo unamvamia raia wa kawaida unawaua then mnashangilia???Hii Dunia hakuna mbabe ambae hajawahi kuzubaa, Dunia haina unbeaten kwa nyakati zote, hata wapiganaji wana lala usingizi.
Hamas walijipanga vema wametoa kipigo cha Karne Israel hawaamini kilichotokea ni unyama unyamani.
Hio escape from zion settlers ni kali masterling wa Hamas wamefundika kuukamata mji wa Israel Kwa masaa 12 siku ya Jumamosi si mchezo.
Kitu Dunia imekipata toka kwa makomandoo wa Hamas. Israel wamegeuzwa kibra wamelowa.
Ambush la kuvunja na shoka kama escape from sobibo.
Kibra watu wamelowa
Wadiz
Warabu ni wajinga kumbuka UN 1947s walitaka kugawa nchi hiyo iwe nchi mbili Israel na Palestina, Israel walikaribisha mpango huo ila sasa muarabu akisapotiwa na muarabu wa mbali alikataa.Kuna ramani ya Palestine ya 1947 nimeiweka hapo
Kwa kweli wamedhulumiwa na kunyanyaswa miaka mingi
Netanyahu ndio mbaya zaidi ambae amewafukuza wapalestina kwenye ardhi yao na mashamba ya Olive yote wakakata miti yote na kujenga nyumba za settlers wao na kuwapa makazi ya kudumu
Tukiacha ushabiki hawa watu wanaonewa sana
Sio itikadi ukitoa kamasi huko kichwani ulizomezeshwa utaweza kutumia akili , nyerere mkatoliki ila alithubutu kutumia akili na kusimamia hakiacha mhemko wa kidini we mfuasi wa itikadi kali
Endeleeni kudanganywa na Iran, endeleeni kushangilia Iran, endeleeni kutumika kwa maslahi ya Iran, yaani mnahatarisha maisha ya watoto, wake na wazee wenu kwa ajili ya Iran?Both Hamas and Hezbollah have now claimed that Iranian Intelligence Officials provided Training, Equipment, and Direction for the recent Surprise Attack on Israel and gave the “Green Light” on when to begin at a Meeting of Senior Officials in Beirut last week.
Tunasubiri kuona Iran kama atazuia wanaume kuingia Gaza, au atakimbia na kuwaacha palestinians aloneHapa ndo wana escalate maana Iran naye atapeleka vifaa vya kuzichakaza hizo, mgogoro utakuwa mrefu kumbuka hamaz hawako alone.
Et na ww unajihita GT humu, unafikiri kwa mawazo yako haya utafanikiwa japo hata kurejesha inchi moja ya ardhi iliokwisha kuchukuliwa na Israel?Israel askari wao waoga sana!
Yaani wanapiga kelele kama nini! Na sauti zao za mawimbi wimbi kama wanataka kulia!
Ukraine na Russia hawa jamaa wana wanajeshi majasiri sana ijapokuwa Ukraine inapigwa!