LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Hamas warns US: Moving the American aircraft carrier does not scare us, and the Biden administration must realize the consequences of this step.
 
"The aim is simply to kill all Jews"
I'm don't support Jews or Hamas Terrorists.
I'm just against human torture, suffering and death, as a sane should be.
We are all children of Adam.

After Hamas committed a pogrom against Jews in Israel, killing over 700 innocent civilians, their supporters held a rally in Times Square, NYC, displaying a Nazi Swastika.

This makes it clear: Hamas is a neo-Nazi, antisemitic terrorist organization with the goal of erasing Jews from the earth.
 
Both Hamas and Hezbollah have now claimed that Iranian Intelligence Officials provided Training, Equipment, and Direction for the recent Surprise Attack on Israel and gave the “Green Light” on when to begin at a Meeting of Senior Officials in Beirut last week.
 
Siyo mbaya tunaheshimu mchango wako wa mawazo. Lakini hilo la Israel kupata wakati mgumu kwasababu ya viarabu halipo.
Viarabu ndio lugha gani mkuu? Pole sana

Natamani sana ningekuwepo huko nikaunganenao, watu kama wewe nikuone umejitokeza kuwasaidia hao mayahudi aise mkuu sitaangalia umetoka huku, hahhaaa
 
Hamas has announced their attempt to Target the International Airport in the City of Tel Aviv right now with over 150 Rockets having been launched from the Gaza Strip; Iron Dome Batteries are trying to Intercept as many Rockets as possible.
 
Israel does not intend to talk to Hamas about achieving peace, but aims to completely destroy that movement, Israel's permanent representative to the UN, Gilad Erdan, pointed out.
 
Kulingana na wengi wnaavyocoment hapa....kwamba Ile nch ni Yao waliahidiwa....
So wanaoishi hapo wanatakiwa waondoke ....Sasa waende wap?
Siamini katika Mungu huyo....
Naamini Mungu yupo....lakini sio huyo wanaemuongelea Hawa walimwengu...Mungu awezi amrisha kiumbe chake kipoteee.
Sote tu sawa mbele ya macho ya mwenyezi Mungu....haya mambo ya kusema Israel ndo wanastahili kuliko yoyote duniani....ni ujinga watu walioamua kumezeshana.....Kila mtu anastaili mbele ya Mungu....ndo maana kaumba sisi sote
Nilicomment huko nyuma sijui ni post number ngapi ila ukitizama katika profile yangu utaona nimeelezea habari hiyo kwa ufupi, ila waisraeli hawana usuperior wowote juu ya wanadamu wengine.
 
Nionavyo sio rahisi kihivyo kwa external intelligence ya Israel Mossad kuwa na massive failure kama hii.

Shambulio hili limefanywa na wapigaji wengi equipment nyingi Mosad na CIA wana agents wao almost to all of their top enemies.

Kuna jambo ambalo ni lengo lao kuu wanataka kulitimiza.

Unipolar power ya US inakuwa challenged na Russia na China kwa kasi soon tutakuwa na Multi polar powers world kutakuwa na mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi zaidi ya 3 hili US hawalitaki lakini linatokea kwa kasi.

Iran ameplay role kubwa sana ya kuisaidia Russia katika vita na Ukraine na amevisaidia sana vikundi vinavyopinga US na Israel kupata nguvu kubwa sana.

Hapa anaetafutwa long term ni Iran ambaye ndio nguvu kubwa ya proxies wa Russia ktk Middle East ambayo ni epicenter ya World balance of power.
 
Hii Dunia hakuna mbabe ambae hajawahi kuzubaa, Dunia haina unbeaten kwa nyakati zote, hata wapiganaji wana lala usingizi.

Hamas walijipanga vema wametoa kipigo cha Karne Israel hawaamini kilichotokea ni unyama unyamani.

Hio escape from zion settlers ni kali masterling wa Hamas wamefundika kuukamata mji wa Israel Kwa masaa 12 siku ya Jumamosi si mchezo.

Kitu Dunia imekipata toka kwa makomandoo wa Hamas. Israel wamegeuzwa kibra wamelowa.

Ambush la kuvunja na shoka kama escape from sobibo.

Kibra watu wamelowa
 
Hii Dunia hakuna mbabe ambae hajawahi kuzubaa, Dunia haina unbeaten kwa nyakati zote, hata wapiganaji wana lala usingizi.

Hamas walijipanga vema wametoa kipigo cha Karne Israel hawaamini kilichotokea ni unyama unyamani.

Hio escape from zion settlers ni kali masterling wa Hamas wamefundika kuukamata mji wa Israel Kwa masaa 12 siku ya Jumamosi si mchezo.

Kitu Dunia imekipata toka kwa makomandoo wa Hamas. Israel wamegeuzwa kibra wamelowa.

Ambush la kuvunja na shoka kama escape from sobibo.

Kibra watu wamelowa

Wadiz
Yaani uwa hamjuhi mnachokitaka, bt mnashangilia ujinga na upumbavu tu, komandoo unamvamia raia wa kawaida unawaua then mnashangilia???

Ok, kama sio failure strategic hao makomandoo wamefikia wapi na huo operation yao ya kuua raia na kubaka??

Wamewasababishia watu wao, raia wasio na hatia wa Gaza shida na matatizo zaidi, coz makomandoo ndio wanaingia Gaza sasa kwenda kuua, kubaka na kufanya kila aina ya unyama!!

Hii ni akili ndogo na kudanganywa na wajinga wakiwa mbali ila wanaoumia ni mama, baba, kaka na binti zenu. Israel wanaelekea Gaza natumai Iran sasa atafanya juu chini kuzuia wanaume wasiingie Gaza
 
Kuna ramani ya Palestine ya 1947 nimeiweka hapo
Kwa kweli wamedhulumiwa na kunyanyaswa miaka mingi
Netanyahu ndio mbaya zaidi ambae amewafukuza wapalestina kwenye ardhi yao na mashamba ya Olive yote wakakata miti yote na kujenga nyumba za settlers wao na kuwapa makazi ya kudumu
Tukiacha ushabiki hawa watu wanaonewa sana
Warabu ni wajinga kumbuka UN 1947s walitaka kugawa nchi hiyo iwe nchi mbili Israel na Palestina, Israel walikaribisha mpango huo ila sasa muarabu akisapotiwa na muarabu wa mbali alikataa.

For now hata huo mpango haupo tena, kifupi no nchi ya Palestina, ebu tuone hatua zinazoenda kuchukuliwa na makomandoo wa pande zote mbili ok
 
Both Hamas and Hezbollah have now claimed that Iranian Intelligence Officials provided Training, Equipment, and Direction for the recent Surprise Attack on Israel and gave the “Green Light” on when to begin at a Meeting of Senior Officials in Beirut last week.
Endeleeni kudanganywa na Iran, endeleeni kushangilia Iran, endeleeni kutumika kwa maslahi ya Iran, yaani mnahatarisha maisha ya watoto, wake na wazee wenu kwa ajili ya Iran?

Natumahi Iran itafanya juu chini, kuzuia makomandoo wa ki-Israeli kutokuingia Gaza, lakini pia wake zenu, watoto na wazee wenu wataelekea Iran mda si mrefu coz wanaume wametangaza raia waondoke Gaza wanakuja.

Palestina haitakaa ifanikiwe bali itafutika rasimi coz wanatumika na hawana viongozi wenye maono, ebu tuone Ayatolah Khomenei atafanya nini katka hili ok
 
Hapa ndo wana escalate maana Iran naye atapeleka vifaa vya kuzichakaza hizo, mgogoro utakuwa mrefu kumbuka hamaz hawako alone.
Tunasubiri kuona Iran kama atazuia wanaume kuingia Gaza, au atakimbia na kuwaacha palestinians alone
 
Israel askari wao waoga sana!
Yaani wanapiga kelele kama nini! Na sauti zao za mawimbi wimbi kama wanataka kulia!

Ukraine na Russia hawa jamaa wana wanajeshi majasiri sana ijapokuwa Ukraine inapigwa!
Et na ww unajihita GT humu, unafikiri kwa mawazo yako haya utafanikiwa japo hata kurejesha inchi moja ya ardhi iliokwisha kuchukuliwa na Israel?

Tunasubiri kuona kati ya Iran na Israel nani ana majeshi waoga, wamevizia raia wameua wamebaka wameteka wazee, watoto, wanawake sasa wamefikia wapi?

Ardhi tayari imerudi? au ndo Gaza inaenda kunyakuliwa na wanaume, mimi na wewe tusubiri tuone huo uoga usemao ok
 
Back
Top Bottom