LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Watu wengi humu hawalijui hili uliloliongea kuhusu hao matapeli waojidai na kujiita wana wa Israel kumbe ni Waashkenazi majambazi kutoka Khazaria, nchi iliyokuwa chini ya wa Merovingian Dynasty ambapo ndio ilipo taifa la Ukraine la sasa.
Hao sio Israel halisi ni wakumbambikizwa watachapika sana.
 
Siyo Kweli Hiyo Aridhi ni ya Israel tangu enzi!! History inaanza hapa baada ya Ibrahim kuambiwa na Mungu Toka kwenye Nchi ya Baba ako soma hapa

Mwanzo 12 : 1 Bwana akamwambia Abramu, Toka wewe katika nchi yako, na jamaa zako, na nyumba ya baba yako, uende mpaka nchi nitakayokuonyesha; ambapo inaonyesha Ibrahim anatoka kwenye Nchi ya Baba yake anaenda mpaka nchi ya Kanani ambayo ndo Israel Sasa.
Soma hapa
Mwanzo 12 : 5 Abramu akamchukua Sarai mkewe, na Lutu mwana wa nduguye, na vitu vyao vyote walivyokuwa wamejipatia na hao watu waliowapata huko Harani, wakatoka ili kwenda nchi ya Kanaani; nao wakaingia katika nchi ya Kanaani.
Ukiendelea kusoma hiyo sura inaonyesha Mungu anaapa Kuwa atawapa hiyo na atawafanya Kuwa Taifa na kulibariki uzao.

Baada ya hapo Ibrahim akamzaa Isaka naye akamzaa Yakobo ambaye alizaa watoto 12 ambazo ndo kabila 12 za Israel
Kwaiy kupitia hayo mandiko hiyo Aridhi ni ya Israel ambayo Mungu aliwapa ni aridhi ya mababu na Mabibi zao na makaburi yapo.
Badae wakaenda utumwani Misri lakin hata hivyo Mungu aliwarudisha katika Nchi yao kupitia Musa. Vizazi vikasonga Baada ya hapo wakaja wakasambaratishwa tena tawala za Kirumi na hapo ndo wapalestina walijipatia nafasi ya kujichukulia aridhi lakin Mungu aliwakusanya tena ni story ndefu sana.
Ukaja utawala wa Urusi Kipindi hicho kukiwa Choko Choko ya Urusi na Ulaya wakauawa wengi katka Karne ya 19 wakasambaratishwa tena lakin Mungu akawarudisha kupitia mashirika yao Zionism.
Mwaka 1948 Taifa lao likaundwa na Aridhi yao wakairudisha tena .


Israel ni Taifa kubwa Mungu aliapa kwao kua atawabariki, kwaiy hata kama warabu watumie Nguvu kubwa uwezo wa Kuliondoa hilo Taifa haupo hao Jamaa Wana Mbinu za Kivita maana vita vimepiganwa kwao tangu Kuanzishwa kwao ni Vita tu mpaka Leo kwaiy kwao walisha Zoea na ni Jambo la kawaida.
 
Central Israel and Jerusalem currently under rocket attack from Gaza.
 
Utaukimbia Huu Uzi!
Muda Utasema!
Vuta subira dogo[emoji120][emoji38][emoji38]

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Hata mussa amani iwe juu yake ndio kazi aliyopewa kuwapeleka katika ardhi hiyo na walikataa mpaka wakapata laana ya kuzurura jangwani miaka 40, lakini wakati wote huo wakanaani walikuwepo.
 
Massive Barrage of Rockets launched from the Gaza Strip towards Central and Western Israel including both the Cities of Tel Aviv and Jerusalem.
 
Hapana jiwe litasalia juu ya jiwe jingine nakwambia. Safari hii HAMAS wamechemka sana. Wanaumiza tu watoto kwa kufanya maamuzi ya kizembe kama haya.
Angalia kwa jicho lingine mkuu? Nina uhakika dogo ana backup nyuma yake haya mambo hayatokei tu...Yamepangwa Yakapangika
 
Mi nakwambia ukweli unakuja na ghadhabu, kutokujua kitu haimaanishi unachodhani ndicho. Jifunze uishi kwa amani. Hizi hasira si uende ukasaidie hamas vita tu.
Ukweli gani ww shoga yaani mtu aje nyumbani kwako akunyanganye nyumba yako alafu ufurahie kisa ana kupa chakula.
Hivi anaye takiwa kujifunza kuishi kwa amani ni palestina au ni Israel kwa kuondoka kwenye ardhi za wapalestina ili amani ipatikane?

Israel iondoke kwenye ardhi za wapalestina tuone kama hao wapalestina watashindwa kujenga hospital na vituo vya umeme.
Yaani uende uvamie ardhi ya watu ubomoe nyumba zao na ujengee watu wako makazi alafu wakuache tu kisa unawapa umeme na hospital hivi una akili kweli ww?

Kuhusu mm kwenda kuisaidia hamas siwezi kwa sababu hamas inajiweza ,bali ww ndo uende kuisaidia Israel maana ndo imezidiwa mpaka sasa imeanza kuomba misaada ya silaha.
 
Hahaha!!! Hayo ni Mawazo yako tu lakini Ukweli unabaki pale pale. Toa tuone uelewa wako tuone Mkuu. Kuliko kupinga Alfu hutoi hoja yako
 
Defense Minister Yoav Gallant: "I have ordered a complete siege on the Gaza Strip. There will be no electricity, no food, no fuel, everything is closed. We are fighting human animals and we act accordingly."
 
Ambassador wa Palestine UN ameomba poo huko ila wewe wa Namanyele upo kushupaza shingo.
 
Wayahudi Gani! unaowazungumzia wew Kama ndio hawa feki wa kizungu ambao sio uzao wa Ibrahim basi niseme unaota, maana wayahudi asilia ni wale wa Ethiopia ambao wamekuwa wakifanyiwa figisu nyingi na wayahudi feki wa kizungu mfano kuondolewa vizazi.

Lakini ukweli uliomchungu ni kwamba wayahudi asilia kwa asilimia kubwa ni wabantu wa afrika.
 
Umenikumbus basha mmoja yeye alikuwa akiwabashia Mabasha bubu!
Mbinu YAKE alikuwa akijifanya kalewa na kuanguka Huku suruali kavua Kata. basha bubu kuona atajua mdondo afungue boot ajilewee Ndipo Atakalo geuzwa kibao na bisu Kali lenye kutu kubakwa na kulawitiwa...
GT!; Wamenielewa!
Muda utaongea!

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Kwani unafikiri lengo ni kuwafuta Wapalestina?
Lengo ni kuufanya Ukanda wa Gaza kuwa himaya ya Israeli.
 
Mungu huyo hayupo.

Angekuwepo, Na ingekuwa kweli Israel ni Taifa lake teule, Ange zuia Roketi za makombora ya wapalestina zisiwafikie waisraeli.

Lakini Nothing happened.

Waisraeli hao wanakufa kama kumbikumbi.
Allah alizuia tetemeko kule afghan?kama mnamuona allah hajiwezi na kumsaidia kudhuru,kuua ni nyie.Eti hana mshirika huko kumsaidia kuua kwa jina lake huo kama nyie ni washirika wake?
 
Wewe pimbi wanapigania vita wapi? Yawezekanaje nchi ikaruhusu mamlaka isiyo yake kufanya operation katika area of jurisdiction yake.
Sikiliza kaka Mqundu...
PA inatawala West Bank.
HAMAS inatawala Gaza Strip.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…