LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Acha kujifariji trip hii Israel kaya kanyaga kasha anza kuomba msaada wa silaha kutoka kwa shoga mkuu wa dunia wakati vita ndo ina siku mbili tun
Ndio nashangaa cku ya pili hana silaha ikipigwa week itakuaje na hapo anapigana na kikundi tuh likiingia jeshi la iran itakuaje?
Kuna vitu vingi africa tulipotoshwa juu ya uwezo wa hawa watu
 
Hamas walivyo vamia kusini mwa Israel. Kwanza walishambulia kwa mabomu minara ya rada za Israel na mifumo ya silaha kwenye mpaka wa gaza, kisha wakurusha mamia ya makombora huku magaidi waliokuwa wamejiandaa wakaanza kuruka juu ya uzio na kuingia Israel.

Wakatoboa mashimo ndani ya uzio na kuruhusu mamia ya magaidi kujipenyeza ndani ya Israeli kwa kutumia boda boda magari na chopa.

Hadi sasa Walioingia ndani ya Israel wameshindwa kutoka na wengine wameuawa. Kuna Hamas bado wamejificha kwenye nyumba za watu, hivi sasa nyumba zinakaguliwa moja baada ya nyingine. Nimeona Palestina wameanza kupost picha za watoto wanaokufa kutokana na mashambulizi ya Israel bila kujua vita haina macho.
 
Si kweli mkuu, yaaqub mwenyewe ambaye ndio israeli alikaribishwa na waarabu wa kanaan hapo palestine na mmoja wa wake zake ni mkanaani, hawa waarabu ndio wenyeji wa mahali hapo tangu kale.

Na ukumbuke hiyo ni ardhi takatifu, mpaka walipoandikiwa kuingia hapo kutoka misri utumwani miaka zaidi ya 400 toka kufa kwa yuusuf amani iwe juu yake, na walikataa.

So kwa asili wakanaani wametangulia hapo kabla yaaqub baba wa waisraeli hajafikiriwa kuzaliwa.
Ujue shida hapa Kila mmoja ataongea na kutetea hoja kutoka Kona tofauti.
Km ni kutokea kwenye Kona Imani , Muslim atatetea kivyake,na mkristo atatetea kivyake ..
Halafu Kuna Kona ya siasa...
Ndo maana mi mgumu sn

Kila mmoja abaki na anavyoamini!
Hakuna mwanadamu anaweza kulimaliza hili,watatulia Kwa muda wataanza Tena ..
Mpk like neno litimie!
 
Israel Kuna dini tofauti km ilivyo mataifa mengine.
Dini ya kiyahudi, Muslim
Wayahudi dini yao ni hio hio tangu enzi izo za kina musa
Wameletewa mitume kibao wamewakataa na kuwatesa afu leo mseme hao ni taifa teule c uchiz utakua
 
Mimi Muislamu na nakubali kuwa chini ya utawala dhalimu wa serikali ya Israel Wapalentina wamepata madhila makubwa ya ukatili ,mauji nk ila siafiki mapambano yao ambayo yanazidisha hasara kila siku.

Wangeishi hivyo hivyo kwa amani ya uongo huku wakiendelea na maisha yao na wakijipanga kwa mipango madhubuti kisha kuibuka kuliko hivi sasa .Hata Israel mpaka kufika hapo walikuwa na mipango na mikakati ya muda mrefu na madhubuti sio kurupu kurupu kila siku mtaishia kupigwa na kuuwawa maelfu ya Raia.
Cha kushangaza ni kuwa, raia wa Palestina wananufaika sana na Israel ikiwemo fursa za kazi na huduma bora za afya. Imagine kwa hapa Bongo ukihitaji top notch treatment mnachanga ndugu na jamaa na wananchi ili uende at least India, ila Wapalestina ni suala la kupata tu entry unapata world class service. Ni hawa HAMAS wanawaharibia raia na kuwajaza chuki za kijinga, otherwise ni neema kubwa sana kuwa jirani na Israel, maana by nature Israel hawavamii ila wanarespond kwenye uvamizi, ila response yao sasa utaona rangi zote.
 
Hamas-run health ministry says 493 killed and 2,751 wounded in the Gaza Strip. IDF estimates it has killed hundreds more in Israeli territory.
 
IDF have issued warning texts and videos to residents of, Abasan al-Kabira, Abasan al-Saghira, and the area of Khirbet Khuza’a to evacuate to specific areas of Khan Younis.
 
Military status update:
Air Force bombs total of 1,200 targets in Gaza so far; all IDF posts captured by Hamas retaken, now controlled by Golani forces; several terrorists killed in southern Israel clashes in recent hours (N12News)
 
Operations halted at Israel's Tamar gas field off Haifa coast due to wartime situation, Globesnews reports. Israel's gas rigs are a prime target for Hezbollah in case of war.
 
Remains of Hamas Sharqiya Police Station in Khan Younis, Gaza after being targeted in an airstrike.
20231009_105815.jpg
 
Mnaposema Israel hapo sio kwao kwani kwao kabisa ni wapi?..



Kumbuka hakuna jamii isiyo na kwao
Ni kwao, ni translation tu za watu wakiongea kwa kuongozwa na mahaba yao binafsi. Isreal home is right where they are tena tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
 
See how an entire neighborhood was brought down to rubbles by IDF Airstrikes, west of Gaza city.
 
Israel warns southern Gaza residents: leave the area immediately (via @ignis_fatum). IDF deployment around Gaza includes tanks & heavy artillery ahead of massive assault.
 
Aisee nimesoma hapo juu mpaka nimepigwa na butwaa, yani HARMAS wamerusha makombora zaidi ya ELFU MOJA kwenda israel...guys msichukulie poa makombora 1000 ni mengi mno mimi nikianza kuhesabu 1 mpaka 100 tu nachoka imagine buku sasa hata hiyo mifumo ya anga yakuzuia mashambulizi haiwezi kuzia makombora yote hayo
 
Hawa wakristo wafuasi wa Paulo huwa wabishi sana dunia nzima inajua ndege za US zinapiga gaza mwache ajifurahishe tu.
Sidhani km ambao wako upande wa Israel wote ni wakristo!
Pili hata hiyo hamas Ina watu nyuma yake, so ngoma droo

Nasubiri mwisho wa haya...
 
Nguvu uliokwisha tumia hapa bibie, ungeielekeza kwenye kutatua changamoto za nchi yako nafikiri saiz tungeshapata katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Nchi yangu haina changamoto, tusipangiane maisha. Mimi nikitatua za zangu inatosha.

Utakuwa umeelewa kama akili sio za kuungaunga mchumba.
 
Back
Top Bottom