LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
IDF leo wameniangusha sana.
Kwanza wamekuwa wazito sana kurespond.
Pia wengine wamekutwa wamelala kwenye vifaru.

Pia hata ile combat yao kuwadhibiti madogo wa hamas sio ya kiproo sana. Kuna footage moja inaonyesha liko kundi la wanajeshi wamerundikana kama kwa juu Hamas anawaona anatupa kiazi wote chali. Wachambuzi wameshamgaa pia.
IDF kwa Sasa inategemea mno air power zaidi ila kwenye infantry zao na special forces kama vile umakini na uweledi umepungua mno tofauti na miaka mingi nyuma.......

Kuna makala niliwahi kusoma baadhi ya majenerali wakongwe wa Israel wakilalamika siasa inaharibu IDF.

T14 Armata
 
Uliwahi kumuona mtu mwenye asili ya uarabu akawa na akili nzuri?Yanachukiana yenyewe kwa yenyewe,rohombaya na ujingaujinga umewatawala.Ujuaji hadi kwenye kope.Let 'em die the hard ways.
Huo ni U racist huwezi ukasema mbari nzima ya Binadamu.

Pili Wasudani Waarabu ni wachache sana wengi Nubians na Kushites.
 
Biden intends to ask Congress for a record package of military and humanitarian aid to Ukraine. The size of the package may reach $100 billion (!) which should be enough until November 2024.
 
Anyway waache wapigwe kidogo. Mungu huwaadhibu watu wake wakitenda dhambi Ili watubu, alifanya hivyo mara nyingi kwenye Agano la Kale kwa kuwaacha mikononi mwa adui zao.

Juzi tu hapa waliwatemea mate Wakristo, na ukijumlisha na sheria za ushoga, hasira ya Mungu imewaka, Hawa watapigwa kama ngoma mpaka watubu.
 
Iron dome zikirushiwa roketi nyingi kwa mkupuo ni rahisi nyingi kupenya.....bado hakuna mfumo wa anga ambao ni 100% accurate.

Ina maana siku Hezbollah yenye roketi zaidi ya 100,000 wakiingia vitani na Israel, miji mingi ya Israel itadhurika.

T14 Armata
Rockets laki moja unazirusha Israel wakiwa wamelala? Sasa si utapigwa carpet bombing yawepo mauaji ya makumi elfu.

Hakuna miundombinu ya kurusha roketi laki moja ndani ya muda mfupi. Mkirusha nyingi masaa kadhaa na Iron Dome ikaonekana inazidiwa au interceptors zinaisha hesabu kuokota matofali hapo Gaza. Hata panya hatoki, artillery strike pekee inatosha.

Wanapigana kwenye mazingira tofauti, lengo la Hamas kuua Muisraeli yeyote na lengo la IDF kuua gaidi. Ingekuwa lengo la Israel kuua Mpalestina yeyote basi Gaza ingekuwa in ruins
 
Hali unazidi kuwa mbaya Ukanda wa Gaza na sasa eneo hilo liko Gizani huku mapigano yakiendelea

Netanyahu asema atatumia silaha zake zote kuhakikisha anawaangamiza Hamas
Awaita Wapinzani kuunda serikali ya Umoja wa Kitaifa kwa dharura

Israel yaita Jeshi lake la akiba kukaa Mguu Sawa

Source: Al jazeera news
Kwa hiyo ndio kaona Upinzani unahitajika kuwa na umoja wa kitaifa??

Ccm et al
 
IDF kwa Sasa inategemea mno air power zaidi ila kwenye infantry zao na special forces kama vile umakini na uweledi umepungua mno tofauti na miaka mingi nyuma.......

Kuna makala niliwahi kusoma baadhi ya majenerali wakongwe wa Israel wakilalamika siasa inaharibu IDF.

T14 Armata
Wameshtukizwa na yawezekana reservists wengi ndio walikuwa maeneo mengi ya matukio. Kwanza uimara wa Israel uko kwenye intelligence ikishindwa kutambua mashambulizi kabla basi response itakuwa mbovu.
Leo ilikuwa Sabato, kazi yao kubwa kuondoa infiltrators kisha ndio wajibu vilivyo. Mashambulizi wanayofanya sasa ni kuharibu targets za kuleta maafa na kufanya coordination, hawajaanzisha malipizi
 
Shida ni moja Israel inapambana na kikundi cha Hamas na si serikali ya Palestina sasa hao jamaa mara nyingi wanatumia raia kama kinga kwao ndo maana inakuwa ngumu sana kuwamaliza na ukumbuke hapo Israel akijibu na bahati mbaya akaua raia ni skendo kwake.

HAMAS ni jeshi lakini pia ni chama kinachotawa Gaza
 
Nothing new, all damage can be inflicted to Palestinians has been.

You are fighting an ideology not a physical body. While Israel state is busy with lgbtq+ and westernization, in Gaza [emoji1193][emoji1193][emoji1193][emoji1193][emoji1666]
This is the only thing you can yap about when your ass is itchy. Ideology without people is no ideology at all, so Israeli is fighting the right target. No mercy, be it women or children. Since Hamas are so barbaric, Israel needs to wipe out any inanimate thing in the area so as to normalise the situation.
Off at a tangent, are the overt muslim gays in Dar es Salaam, Zanzibar and Mombasa share a common ancestry with the whites?!

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 

Dear citizens of Israel, this morning, Hamas forces entered Israeli territory on a holiday and Sabbath morning, killing innocent civilians, including children and the elderly. Hamas has initiated a cruel and ruthless war. We will prevail in this war, but the price is heavy to bear. It's an incredibly tough day for all of us. Hamas wants to kill us all—an enemy that murders children and mothers in their homes, in their beds. An enemy that kidnaps the elderly, children, and young girls. They commit heinous acts against our citizens, our children, who simply went out to enjoy the holiday. What happened today in Israel is unprecedented, and I will ensure it does not happen again.

The entire government stands behind this decision. The IDF will use all its strength to eliminate Hamas capabilities. We will strike them until they relent and pay a heavy price for this black day they brought upon the State of Israel and its citizens. As Bialik said, "The blood avenger of a little child has not yet been created by Satan." We will turn all the places where Hamas operates, the strongholds of this evil city, into rubble. I say to the residents of Gaza: leave now, for we will act in every place and with full force.

At this moment, IDF forces are clearing settlements from terrorists. They go from settlement to settlement, house to house, and restore control to our hands. I send hugs and condolences from the bottom of my heart to the grieving families whose loved ones were brutally murdered today. We all pray for the recovery of the wounded and for everyone holding on like the sons of Arova. I say to Hamas: you are responsible for their well-being. Israel will hold accountable anyone who harms it in any way.

I address the residents of the South—We all stand by your side, we are all proud of your courage, of your fight. To the beloved soldiers of the IDF, to the police, to the security personnel—remember that you continue the lineage of Israel's heroes, of Joshua bin Nun, of Judah the Maccabee, of the heroes of '48 and all of Israel's wars. You are fighting now for the sake of our home, for the future of all of us. We are all with you, we all love you, and we all salute you.

To the medical and rescue teams, and to the many volunteers who stood ready in full force in a long line of locations—Israel salutes you. With your spirit, we will overcome our enemies. I spoke a few hours ago with President Biden and with leaders of world countries to ensure Israel's freedom of action in this ongoing battle. I thank President Biden for his clear and strong words. I thank President Macron, Prime Minister Johnson, and many other leaders for their unwavering support for Israel.

Now I address all citizens of Israel: we stand together in this battle. This war will take time. It will be tough. Challenging days are still ahead of us. But I can promise one thing: with the help of God, with the help of our joint forces, with our belief in the eternity of Israel—we will prevail.
 
Huwezi kusema ni failure ya mossad moja kwa moja, pengine ni uhodari wa Hamas maana hawatumii tena simu ma device yyte ama text kwa mawasiliano yao. Wanawatumia watu wao kupeleka habari kutoka sehem moja hadi ingine bila ya wanao badilisha taarifa kuwa wanafahamiana.

Tangu Israel ijiindoe Gaza 2005, kumekuwa hamna ama ni wachache intel operative Kwenye hilo eneo kutoka mashirka mengi ya kijasusi duniani waliwepo Mossad.

Bado nakubalina na wewe kuna intelligence failure
Intelligence failure haikwepeki
 
Back
Top Bottom