LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Waachwe wapigane na yeyote anayetaka kupigana aende vita haina mwenyewe, who cares nani anapigana. Waachwe wapigane watu wazima hao. Ni ujinga kuwaingilia. Iran, Iraq, Lebanon, na yeyote anayetaka aende wachapane tupate mshindi period.
Mataliban wanaomba njia tu 😳😳😳

Screenshot_20231007_224405_DuckDuckGo.jpg
 
Media Coverage: "The number of Israeli soldiers and settlers killed by Palestinian freedom fighters has soared up to 300, and at least 1590 others were injured, according to Hebrew sources."
 
Tayari wazayuni zaidi ya 300 washaangamizwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1320][emoji1320][emoji1320][emoji1320]

Media Coverage: "The number of Israeli soldiers and settlers killed by Palestinian freedom fighters has soared up to 300, and at least 1590 others were injured, according to Hebrew sources."
 
President Biden

@POTUS
·
19m

The world is seeing appalling images. Thousands of rockets raining down on Israeli cities. Hamas terrorists killing not only Israeli soldiers, but civilians on the streets and in their homes.It’s unconscionable. Israel has a right to defend itself – full stop.
 
Hali unazidi kuwa mbaya Ukanda wa Gaza na sasa eneo hilo liko Gizani huku mapigano yakiendelea

Netanyahu asema atatumia silaha zake zote kuhakikisha anawaangamiza Hamas
Awaita Wapinzani kuunda serikali ya Umoja wa Kitaifa kwa dharura

Israel yaita Jeshi lake la akiba kukaa Mguu Sawa

Source: Al jazeera news

View: https://vm.tiktok.com/ZMjHCpwSJ/
 
Siamini kuwa Israel wanaweza kujisahau na kuruhusu mashambulio ya namna hiyo, huu ni mpango wa Ashkenazi, kina netanyahu na Mossad yao.
 
Baada ya kulifikiria hili suala, naamini hii ni mipango ya ashkenzai na Moisssad ili kuhalalisha mauwaji ya Wapalestina na kuendelea kuikalia Palestina.
Mmeanza kutia huruma mapema hivi? SI mlikuwa mnawasifia hao Hamas? tulieni hivyo hivyo mpate dawa ili siku nyingine muwe na adabu
 
Baada ya kulifikiria hili suala, naamini hii ni mipango ya ashkenzai na Moisssad ili kuhalalisha mauwaji ya Wapalestina na kuendelea kuikalia Palestina.
Kwaio unataka kusema Ashkenazi na Mossad wamewapa hela Hamas ili wavamie sio?
Wamewahonga Waingie mtaani nyumba kwa nyumba wakiua wabibi, wanawake na watoto sio?

A very biased mindset.
 
Aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wetu Mpendwa Major General Ariel Sharon ( 1928 - 2014 ) alituachia Waisraeli huu Msemo wake wa Kishujaa usemao..."OUR DOCTRINE IS THAT THERE'S NO MISSION WE CAN'T ACCOMPLISH"... ambao ndiyo umekuwa Silaha yetu na Morali toshelezi Kwetu dhidi ya Wahuni na Wachokozi kama hawa Hamas wa Palestina, Iran na Lebanon.

Tumeshalipua tayari Ghorofa Kubwa lenye Wapalestina wengi na tumeshakamilisha Umafia wa Kuwakatia Umeme na sasa tunamalizia Kuiteka Rada yao ya Anga na Baharini ili kisitoke na kisijngie Kitu na baada ya hapo tunataka tutoe Funzo Tukuka kwa Wapalestina, Waarabu, Dunia na Wachokozi wote kuwa kama ambavyo ukiwa hapa JamiiForums hupashwi Kucheza na GENTAMYCINE basi hata hapa duniani pia hupashwi Kucheza na Taifa Teule la Mwenyezi Mungu la Israel.

Premier Netanyahu iteketeze Palestine.
Kazi inaenda viziri kijana tulia, kesho utasikia yote
 
Kwaio unataka kusema Ashkenazi na Mossad wamewapa hela Hamas ili wavamie sio?
Wamewahonga Waingie mtaani nyumba kwa nyumba wakiua wabibi, wanawake na watoto sio?

A very biased mindset.
Sivyo hivyo. Kuna uwezekano wamewawachia makusudi wajipenyeze ili waufute ukanda wa Gaza kwenye ramani ya dunia. Kama walivyoifuta asilimia 90 ya Palestina.

Unafikiri Gaza patakalika tena?
 
Sivyo hivyo. Kuna uwezekano wamewawachia makusudi wajipenyeze ili waufute ukanda wa Gaza kwenye ramani ya dunia. Kama walivyoifuta asilimia 90 ya Palestina.

Unafikiri Gaza patakalika tena?
Mama hio sasa ndo inaitwa "War tactics"-You leave the enemy think he has the upper hand.

Sidhani kama ni kweli, ila kama ni kweli bac wameingia kweny mtego wao.

Na hio sio sababu ya kuwatetea kwa sababu hawajashikiwa bunduki na mossad, wamefanya hayo mambo wao wenyew.
 
Kitakachofuatia ni kilio kwa Wapelestina. Muamerika ameshabariki, kuwa Israel wana haki ya kujilindq na kujihami. Kitakachofuata hapo ni vilio kwa Wanawake na watoto wasiojiweza kwenye vita.
 
Back
Top Bottom