kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Nyerere day imepita tu ,sijamkia ahamed
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe upumbavu unakusumbua.umeshindwa hata kujiridhisha kwa kusoma na kutafuta ukweli?!.Udini unakusumbua
Misri imepigana mara mbili. mwaka 1967 na 1973 na kushindwa. Huwezi kuwaita wanafiki.Kinacho waponza wa Parastine ni hypocrcy ya waarabu na kukosa umoja, nchi ya misiri ina resources kuliko israel ina uwexo wakusimamia vita dhidi ya Israel kwa mda mrefu, kitu ambacho kitapunguza nguvu ya hiyo nchi ya Israel.
Misiri ya mwaka 1967 na 1973 sio misiri ya 2023 tena ilijaribu tu kdgo baada ya kusalituwa na israel kuiwahi na kuharibu ndege zake za kivita zote.Misri imepigana mara mbili. mwaka 1967 na 1973 na kushindwa. Huwezi kuwaita wanafiki.
Mwaka 1973 Msiri ilijipanga hasa, kidogo Israeli ishindwe. Leo hii Misri hawezi kuigusa Israeli yenye Nuclear.Misiri ya mwaka 1967 na 1973 sio misiri ya 2023 tena ilijaribu tu kdgo baada ya kusalituwa na israel kuiwahi na kuharibu ndege zake za kivita zote.
Mwaka 1973 Msiri ilijipanga hasa, kidogo Israeli ishindwe. Leo hii Misri hawezi kuigusa Israeli yenye Nuclear.
Unafikiri mabomu ya nyuklia ni mapambo!?Huwa mnakimbilia kwny matumizi ya Nuclear kwlikwli...kwni Israel na Russia nani ana ma nuclear mengi....mbona Russia mpk leo hajatumia hizo Nuclear pamoja na kusumbuliwa na Ukraine mda mrefu Sasa....it's simple...unapotumia Nuclear maana yake umetangaza ugomvi na Dunia sio ugomvi tena na yule unayepigana naye....muwe mnasoma vitu sio mnaongeaongea tu
Yangekuwa sio mapambo kuna vita ngapi zimetokea na hayajatumika...mbona mabomu mengine yametumika...ndo tunarudi palepale kuna mstari mwekundu kuuvuka ni hatari sana...na siku ukivukwa Dunia inaweza isiwe hii tunayoiona Sasa....ndo maana mtu mi akianza kuzungumzia Nuclear namuona anapoteza mda tuUnafikiri mabomu ya nyuklia ni mapambo!?
Inabidi urudi kwenye makabrasha upitie haya mambo. Kitendo chako tu cha kuuliza kwa nini Urusi hatumii mabomu ya Nyuklia Ukraine nikaona kuwa huelewi kinachoongelewa.Yangekuwa sio mapambo kuna vita ngapi zimetokea na hayajatumika...mbona mabomu mengine yametumika...ndo tunarudi palepale kuna mstari mwekundu kuuvuka ni hatari sana...na siku ukivukwa Dunia inaweza isiwe hii tunayoiona Sasa....ndo maana mtu mi akianza kuzungumzia Nuclear namuona anapoteza mda tu
Leta hayo makabrasha nipitie mkuu....maana inaonekana ww umeyasoma na kuyaelewa kwlikwli na mm niyasome nipate elimu labda hlafu nikurudie tuje tuongee zaidiInabidi urudi kwenye makabrasha upitie haya mambo. Kitendo chako tu cha kuuliza kwa nini Urusi hatumii mabomu ya Nyuklia Ukraine nikaona kuwa huelewi kinachoongelewa.
Silaha za nyuklia hazitumiki kiholela. Lakini nchi yoyote yenye silaha za nyuklia haiwezi kusita kuzitumia pale inapotishiwa uwepo wake. Ndiyo maana nikakuambia yale siyo mapambo. Misri ikiivamia Israeli na Israeli ikiona uwepo wake upo mashakani lazima itatumia mabomu ya Nyuklia. Lakini Israeli haiwezi kutumia silaha za Nyuklia kwa Hamas. Pia Kuna strategic na tactical nuclear weapons. Hizo tactical zinatumika kama convetional weapons ila moto wake ndiyo balaa. startegic ndiyo hizo za kuangamiza miji mizima mizima. Kwa hiyo Misri haiwezi kushambulia Israeli yenye Nuclear kwa sababu hizo. Maana hata kama israeli haitatumia strategic nuclear wepaons, na kutumia tactical, moto wake ni mkubwa mno.Leta hayo makabrasha nipitie mkuu....maana inaonekana ww umeyasoma na kuyaelewa kwlikwli na mm niyasome nipate elimu labda hlafu nikurudie tuje tuongee zaidi
waliondoka wakiwa weusi ?.na isibakie kizaz hata komoja dunian , je walinufaikaje kuuliwa na Hitler kwa kuvaa uyaud wa mtu mweusi , AKILI KUMKICHWAMkuu, hio UN haikuwekwa hapo kwa bahati mbaya hata kidogo, maana walioiweka ndio hao hao waliopika vita vya dunia vya 1 na 2, ili kufanikisha malengo yao maalumu mfano ni kuanzishwa kwa taifa feki la Israeli ya leo yenye wayahudi wa kizungu. Marehemu raisi wa misri Anwar sadat hakuwa mpumbavu kuwambia hao wayahudi feki wa kizungu kwamba mliondoka mkiwa weusi Leo mmerudi wazungu.
Lakin cha muhimu ni kumwomba MUNGU wahishi kwa amani ijapokua ni suala gumu kutokea.
Uliongea na imekuwaMuda wa Israel kulaumiwa umefika. UN, Human Rights Watch, Save The Children na mashirika kibao ya haki za binadamu muda wao huu wa kuandika nyaraka nyingi.
Collateral damage itakuwa kubwa soon kuna watu watalalamika Israel ikijibu mashambulizi.
Ulisema na imekuwaThey will bounce back heavily, dangerous and the World shall know how Powerful and Disastrous Israel ( the Country GENTAMYCINE I love mostly ) is.
Revenge is a must and our doctrine.
Uliona mbali sanaKifuatacho baada ya haya mashambulizi ndio cha kupasa kuomba kisitokee...
Israel lazima atajibu na majibu yake yatakuwa makubwa zaidi ya haya...
Uliona mbaliDawa inakaribia kuiva,Maturubai yaongezeke pale GazaView attachment 2774185
Sasa mpaka hapa kati ya Palestine na Israel nani ana damage kubwa ?Irani alipize kisasi mara ngapi wew hujiulizi hizo siraha za hamasi hasa hayo maroketi ni nani anayewapa hio teknolojia, aya njoo kwa Hezbollah siraha zake anapewa na huyo huyo Iran. Tena mpaka alishawapiga hao wayahudi feki wa kizungu 2006 mpaka baadhi ya viongozi wao wakajiudhuru kwa aibu kubwa mno.
Iran anatumia proxy war kuisogelea na kuipiga Israeli inayoongozwa na wayahudi feki wa kizungu wew huoni hicho pia ni kisasi tosha na hujiulizi kwanin wayahudi feki na baba yao marekani wanaogopa kumvamia kijeshi. Cha muhimu ni kuowaombea wote waishi kwa amani hapo mashariki ya kati, ijapokua Hilo ni jambo gumu kutokea.
Kim, huyo jamaa unaye bishana naye ameishia darasa la ngapi?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sasa mpaka hapa kati ya Palestine na Israel nani ana damage kubwa ?
Gaza yote imekuwa caged na imebomolewa vya kutosha
Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app