ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iran ni sawa na Mbwa anayebweka lakin hang'ati ana silaha ila ni Muoga kupindukia, Hana reaction yeyote ile... Mara ngapi anatishiwa Israel hatua gani aliwai chukua kwa Israel. Juzi hapa mawaziri wake wameshindwa kutua kwenye Viwanja vya Ndege sabab ya Israel kulipua hivyo viwanja lakin hakua hatua yeyote alio ichukua.Mikwala mingine bana! Yaani mtu alieshindwa kuvipiga vinu vya nyuklia vya Irani, na kuishia kufanya assassination kwa wanasayansi wa Irani kutokana na uoga wa kijinga ety Leo ndio anamtishia Irani ambae yupo kwenye sanctions zaidi ya miaka 40 na bado hapo mashariki ya kati ndio anaogopwa hadi na marekani
Umelewa mada au unakurupuka tu kuniquote kwa mtazamo wako.Sasa mpaka hapa kati ya Palestine na Israel nani ana damage kubwa ?
Gaza yote imekuwa caged na imebomolewa vya kutosha
Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
Ni lini Israeli alivilipua vinu vya nyuklia vya Irani, na hii habari umeitolea wapi ebu leta ushaidi tuone au ndio ile kuongozwa na mahaba kwa wayahudi feki wa kizungu.Iran ni sawa na Mbwa anayebweka lakin hang'ati ana silaha ila ni Muoga kupindukia, Hana reaction yeyote ile... Mara ngapi anatishiwa Israel hatua gani aliwai chukua kwa Israel. Juzi hapa mawaziri wake wameshindwa kutua kwenye Viwanja vya Ndege sabab ya Israel kulipua hivyo viwanja lakin hakua hatua yeyote alio ichukua.
Hivyo vinu vyao vya Nyukilia Israel alivilipua pamoja na kuua watalamu wake but no reaction taken.
Sasa kama wanajiamin wajaribu kwa Israel ila Cha Moto watakuona
Mkuu umenikumbusha usemi wa raisi marehemu wa misri Gamar nasri kwamba " mliondoka mkiwa weusi Leo mmerudi wazungu".waliondoka wakiwa weusi ?.na isibakie kizaz hata komoja dunian , je walinufaikaje kuuliwa na Hitler kwa kuvaa uyaud wa mtu mweusi , AKILI KUMKICHWA
No. Hiyo assassination ya watalamu aliyo ifanya Israel mbona Iran hakufanya reaction yeyote juu ya hilo.Ni lini Israeli alivilipua vinu vya nyuklia vya Irani, na hii habari umeitolea wapi ebu leta ushaidi tuone au ndio ile kuongozwa na mahaba kwa wayahudi feki wa kizungu.
Naona unakimbia swali langu ngoja nikujibu jinsi Irani inavyolipa kisasi ili tuendelee na mjadala ipo hivi.No. Hiyo assassination ya watalamu aliyo ifanya Israel mbona Iran hakufanya reaction yeyote juu ya hilo.
Kule Syria mawaziri wake wameshindwa kutua sabab ya kulipuliwa kwa viwanja vya Ndege mbona hajasema na kuchukua hatua yeyote ile.
Huyo Iran Hana chochote tu anabweka tu lakin Muoga kupindukia hang'ati
Hahaha.... Kwaiyo hapo Iran ndo analipa Kisasi siyo? Unazidi kudhihirisha Kuwa Iran anapigwa na huu ndo Ukweli Hamas Akipigwa mataifa yote ya wavaa Makobasi (Warabu) yamepigwa.Naona unakimbia swali langu ngoja nikujibu jinsi Irani inavyolipa kisasi ili tuendelee na mjadala ipo hivi.
""Irani analipa kisasi mara nyingi mno kwa kuwapatia siraha zake hamasi na teknolojia ya maroketi, ambayo imekua ikisababisha hasara na vifo kwa wayahudi feki wa kizungu ili hata waziri Netanyau ameshakiri mara nyingi mno aya njoo kwa Hezbollah nayeye siraha zake anapewa na huyo huyo Iran. Tena mpaka alishawapiga hao wayahudi feki wa kizungu 2006 mpaka baadhi ya viongozi wao wakajiudhuru kwa aibu kubwa mno.
Iran anatumia proxy war kuisogelea na kuipiga Israeli inayoongozwa na wayahudi feki wa kizungu wew huoni hicho pia ni kisasi tosha na hujiulizi kwanin wayahudi feki na baba yao marekani wanaogopa kumvamia kijeshi.
Aya turudi kwenye swali langu naomba unijibu ni lini Israeli ilishambulia vinu vya nyuklia vya Irani.
sawaHahaha.... Kwaiyo hapo Iran ndo analipa Kisasi siyo? Unazidi kudhihirisha Kuwa Iran anapigwa na huu ndo Ukweli Hamas Akipigwa mataifa yote ya wavaa Makobasi (Warabu) yamepigwa.
Sasa Kaa ujue Kuwa Hamas na Hezbollah wakipigwa maana ake hao wavaa makobasi wanapigwa, Kingine ujue ni Ujinga kama anajiamini aingie uwanja wa Vita siyo kutumia watu. Na kama n kweli Iran anawatumia hao wapumbavu basi na Iran naye n Mpumbavu maana anagharimu maisha ya wapalestina na siyo Njia ya Ku-solve matatizo au Yale yanayo endelea pale Palestine.
Point of correction, Israel iliwaua watalamu wa Iran wa Nyukilia siyo kulipua vinu
Sasa ulikua unazunguka zunguka niny ! Yaan umeandika pumba nyingi na kushindwa kuleta uthibitisho wa lini Hilo taifa lenye wayahudi feki wa kizungu wameshambulia vinu vya nyuklia vya Irani. Nitaka tu ujibu swali langu mengine yalikua hayanihusu.Hahaha.... Kwaiyo hapo Iran ndo analipa Kisasi siyo? Unazidi kudhihirisha Kuwa Iran anapigwa na huu ndo Ukweli Hamas Akipigwa mataifa yote ya wavaa Makobasi (Warabu) yamepigwa.
Sasa Kaa ujue Kuwa Hamas na Hezbollah wakipigwa maana ake hao wavaa makobasi wanapigwa, Kingine ujue ni Ujinga kama anajiamini aingie uwanja wa Vita siyo kutumia watu. Na kama n kweli Iran anawatumia hao wapumbavu basi na Iran naye n Mpumbavu maana anagharimu maisha ya wapalestina na siyo Njia ya Ku-solve matatizo au Yale yanayo endelea pale Palestine.
Point of correction, Israel iliwaua watalamu wa Iran wa Nyukilia siyo kulipua vinu
Muachage propaganda, wayahudi hawawezi kupingana wenyewe kwa wenyewe. Waislam mna vituko sana juu ya taifa la israel. Unajua maana ya zion? Pia sema sayuni, kasome maana ya sayuni ndio utajua ilikuaje wayahudi walitumia neno zion kama ni brand name katika harakati za kuunda taifa lao upya baada ya kusambaa kwenye mataifa mengi duniani miaka mingi. Mnaitaje akina netanyahu ni wayahudi feki? Mnahangaika sana kugawanya waisrael na kujitoa ufahamu kuwa hamjui jamii za waisrael/wayahudi zilizotapakaa duniani mpaka wengine ni raia kindakindaki wa mataifa maarufu duniani huku wakiwa na vinasaba vya kiyahudi. Mwisho wa propaganda zenu mnaishia kuumbuliwa na biblia tu yenyewe inatosha. Hao walioandamana ni waarabu waishio kwenye mataifa ya kigeni yanayoruhusu raia wao kuandamana kama demokrasia. Hata tanzania ingeruhusu maandamano ya kuunga mkono vitendo vya kishenzi wangeandamana
the same, kuna wapalestina pia ambao wangeweza kuandamana kupinga vitendo vya wapalestina wenzao kuanzisha mapambano dhidi ya israel wakitaka amani. Huwaoni akina saed erakat na mahmoud abbas? Enzi za kutaka uhuru tanganyika akina nyerere wa TANU na mtevu wa UTP hawakuwa pamoja ili hali ni taifa moja, sera zao zilitofautiana kuhusu kupata uhuru katika tanganyika mpya. Kwa hiyo hata hao wayahudi kutofautiana na wenzao kuhusu mzozo wa israel na palestina si ajabu ni kawaida, unajuaje pengine ni wanachama wa chama siasa za israel ambacho hakipo kwenye serikali inayoongozwa na waziri mkuu Netanyahu? Hata hapa kwetu hatuwezi kukubaliana wote kwa pamoja namna ya kushughulikia matatizo fulani ya kitaifa na kila upande ukawa na hoja maridhawa