LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Hao wamepakwa makeup.... Siku izi Kila kitu propaganda tu, media zimejaa upoteshaji... Israel anapiga propaganda kuleta picha za kuhuzunisha, palestina nae anafanya Ivo ivo....


Japokua maafa yapo ila propaganda zimezidi

#i don't condemn what's happening between Israel&palestina
 
Wazazi wao wana ubaya gani???
Kwenye kijijini chenu, mdogo wako na vijana wengine wameenda kuvamia kijijini cha jirani, wameua na kuwachukua mateka na kuwaleta kwenye kijijini chenu.
Unafikiri, wewe hapo kwenye kijiji chenu mtakuwa salama kuanzia mtoto wako, baba yako, mke wako, mama yako, ndugu zako, marafiki zako na majirani zako?
Unaanzishaje vita ambayo huiwezi?
 
israel akifanya ground offensive kwenye vita hii atarudisha maeneo alochukua 1948, israel hawamtegemei Mungu tena wanamtegemea marekani, unawezaje ua watoto zuia chakula kwa raia wa kawaida, israel na marekani hawana uwezo wa kuwapiga mataifa ya middle east wakiungana ndio maana marekani amekua akihakikisha waarabu hawana umoja, yaani marekani hataki kabisa irani ahusike kwenye vita ambayo us atakuepo anajua moto wa drones na balistic missile za iran.
Okay, kwa hiyo unakubali kwamba hao waarabu na huyo Iran hawana akili na mwenye akili ni Marekani, tukubaliane hapo kwanza.
 
Hamna lolote hizo ni kelele tu, toka lini hao wanaojita Israel wakawa wakusema ukweli.

Kwanza nashangaa vipi waliruhusiwa kutumia jina la Mtume liwe inchi, wana lana kweli hawa, kutumia jina la Mtume ambaye hakuwahi kuasi wakaenda itwa hao walio laniwa jina lake.

Punguza makasiriko. Acha waarabu wale dozi akili iwakae sawa.
 
Umeona hao watoto na wanawake?
Unataka kusema nini kwamba Gaza wanaoishi pale ni wanawake na watoto tu.
Acheni kuomba huruma ya Dunia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole sana
 
Magaidi ya dini yenu sio wanamgambo wa kawaida, huwa yanasumbua hata jeshi bora duniani, maana yameaminishwa kufa yakawahi mabikira, hivyo lazima utumie jinsi ya kuwaua bila wewe kufia humo, kumbuka hata Putin mnayemshabikia leo kuna kipindi alihangaika sana kuyaua.
Pole sana
 
Sasa si ndo maana nimekuambia ya kuwa alimbaka mama yako ndo ukaziliwa ww tahira.

Hata hivyo usimlaumu mudi kwa sababu hakuna aliye mtuma mama yako awe mgawa nyapu hovyo hovyo akiwa bado mdogo, mbaya zaidi ww ulirithi tabia ya mama yako kwa sababu na ww umeanza kuliwa kudu lako ukiwa mdogo kama mama yako fala ww.
Sawa endelea na matusi mamako alikuzaa kwa kunywa maji si ndio..? Mpumbavu mkubwa ww unamtukana mzazi wangu anahusikaje hapa. Msenge mkubwa wewe. Ndio maana unavaa pedo kaoshe mataqo hayo yananuka kachambe ukasujibinue mataqo yapapaswe kule fala sana wewe. Na matusi utayala leo k#m@m@k0 🖕
 
Mbona bado sana!! Watakufa sana!! HAMAS, waache kutumia watu kama ngao yao, zamu hii wala hata asilimia kubwa ya dunia haiwaonei huruma hao Wapalestina, kwani huwezi kutumia mbinu ile ile ukategemea majibu tofauti!! Na kibaya zaidi zamu hii ni kama wao ndio wachokozi!!! Hao wenzao tu wa ukingo wa magharibi, wanawakataa hao Hams kwa ujinga wao.
Pole sana
 
Hawa jamaa wanashangaza sana. Hebu ona hapa anavyofurahia Hamas wanaporusha maroketi kwenda kupiga Israeli. Allahu Akbar za kutosha....

View attachment 2793794

Muone hapa anavyolia baada ya kukoswa koswa na makombora ya Israel walipojibu mapigo...Vita siyo lelemama. Natumaini watapata suluhisho la kudumu siku moja. Watauana na kuwindana hivi mpaka lini?

View attachment 2793795
Hii dunia aisee...!!
 
Back
Top Bottom