kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Wapigwee hata wakiomba pooh hakuna huruma!Mabwana zao walienda wazima baada ya kuuwa watoto wanarudi kwenye masanduku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapigwee hata wakiomba pooh hakuna huruma!Mabwana zao walienda wazima baada ya kuuwa watoto wanarudi kwenye masanduku.
Kipigo walicho kipata Israel wakapeleka hasira kwa watoto wakicheza mpira kwenye StreetWanaukumbi.
Majeshi ya Israel yanapata haki yao huko Gaza , Hamas wanachofanya ni kulipiza kisasi cha kuwawa kwa watoto wa Palestina na raia wasiyokuwa na hatia agalia video wanachafanyiwa na Hamas walidhani watakuwa salama baada ya kuuwa watoto..
View: https://x.com/me_observer_/status/1811068496303865864?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Vyombo vya habari vya Kiebrania:
Helikopta 5 zimetua katika hospitali nyingi za Israel kutoka Gaza, zikiwa zimebeba wanajeshi wa Israel waliokufa na kujeruhiwa tangu asubuhi ya leo, Zikiwa zimetua katika hospitali zifuatazo:
View: https://x.com/currentreport1/status/1810968329852436937?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Kipigo walicho kipata Israel wakapeleka hasira kwa watoto wakicheza mpira kwenye Street
View: https://x.com/Afcq1954/status/1810995969653133346?s=19
Israel toka lini akapigana vita, yeye vita vyake kuvunja majumba, kuwauwa watoto, kuwauwa wanawake, vizee, sehemu akisikia wako Hamasi anakimbia.Jeshi la Mashoga wameshindwa kupambana na Hamas wanashambulia watoto shule wakiwa wanacheza mpira.
View: https://x.com/qudsnen/status/1811122853351133340?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Uwa nikisikia kuaulia Muisrael hata 1 uwa nafurahi sana angalia wamemua huyu kijana mlemavu.Israel toka lini akapigana vita, yeye vita vyake kuvunja majumba, kuwauwa watoto, kuwauwa wanawake, vizee, sehemu akisikia wako Hamasi anakimbia.
Kule Shujaiya alienda kwanza akapigwa akakimbia, ndege zikanza kuvunja majumba walipo ona wamemaliza kuvunja majumba, walijidai kurudi ili waonyeshe wamewamaliza Hamasi
Kurudi wamepewa kipigo wamekimbia tena wakaenda mitaa mingine, wakakuta vitoto vinacheza mpira vyenye umri chini ya miaka 8 wakavimiminia risasi hilo ndio jeshi la taifa teule.
Mkuu hilo jeshi halina utu kabisa, we tazama Hamasi alivyo wa treat wale mateka wao, lakini uliza mateka wa Palestine wanavyo teswa.Uwa nikisikia kuaulia Muisrael hata 1 uwa nafurahi sana angalia wamemua huyu kijana mlemavu.
View: https://x.com/qudsnen/status/1811088759162560714?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hezbollah kawaambia tunapigana vita mkifanya kama Gaza kuuuwa raia wasiyokuwa na hatia na watoto na sisi tufaanya hivyo hivyo tuwauwa walowezi wote Palestina, israel mavi yanagomga Pempes.Mkuu hilo jeshi halina utu kabisa, we tazama Hamasi alivyo wa treat wale mateka wao, lakini uliza mateka wa Palestine wanavyo teswa.
Kuna msemo unasema kama ufanyavyo utafanyiwa, siku zao zinakaribia.
Jana Nasurlah anawacheka ikiwa mlisema mnaenda Rafah kumaliza kazi 25 KM Sq hamja shinda Mtaweza Lebanon 🇱🇧Hezbollah kawaambia tunapigana vita mkifanya kama Gaza kuuuwa raia wasiyokuwa na hatia na watoto na sisi tufaanya hivyo hivyo tuwauwa walowezi wote Palestina, israel mavi yanagomga Pempes.
Enyi ndugu zangu, tuwaombee dua ndugu zetu wa FALASTIIN 🇵🇸 ♥ mitihani wanayopitia dhidi ya Mazayuni
Kama viongozi wetu wa dini hawalizungumzii wapo kimyaa kama hakijatokea kitu, hata kutenga muda tu siku moja, tukajumuika waislamu na kuwaombea hawa ndugu zetu wameshindwa kufanya hivyo.
Basi sisi kama waislamu tunaojitambua na wenye huruma tuendelee kuwaombea dua hawa ndugu zetu, kesho tutakuja kuulizwa.
View: https://www.instagram.com/reel/C9cqV2Hq_EK/?igsh=MThjMnZlczc4ajVlMw==
View: https://www.instagram.com/reel/C9Z3D55qC7a/?igsh=MXg3NXM1OHRob2pzYQ==
View: https://www.instagram.com/reel/C9Y9KODqIR1/?igsh=eXdlOXVnbXE5YTFu
Baadhi ya Dua 👇
"
اَللَّهُمَّ انْصُرْ إِخْوَانَنَا اْلمُسْتَضْعَفِيْنَ فِي غَزَّةَ وَفِيْ فِلِسْطِيْنَ
Allāhumma-nsur ikhwānanal-mustadh’afīna fī ghazzah (Gaza) wa fī filistīn (Palestine)
x3
وَفِيْ كُلِّ مَكَانٍ، يَا أَرْحَمَ الرّاحِمِيْنَ. اّللَّهُمَّ خُذْ بِأَيْدِيْهِمْ، وَاحْفَظْهُمْ، وَالْطُفْ بِهِمْ، وَكُفَّ أَيْدِيَ اْلمَاكِرِيْنَ بِهِمْ
Wa fī kulli makānin, yā Arhamar-Rāhimīn. Allāhumma khuz bi-aydīhim, wah-fazhum, wal-tuf bihim, wa kuffa aydil-mākirīna bihim
اللَّهُمَّ كُنْ عَوْنًا لَهُمْ مِنْ شُرُوْرِ الظَّالِمِيْن، وَارْفَعْ عَنْهُمُ اْلأَذَى وَالظُّلْمَ، وَجَمِيْعَ أَنْوَاعِ اْلفِتَنِ وَاْلمِحَنِ، مَا ظَهَرَ مِنْهَا وَمَا بَطَنَ، وَاْلطُفْ بِهِمْ فِيْ مَا جَرَتْ بِهِ اْلمَقَادِيْرُ، فِيْ عَافِيَةٍ وَسَلَامَةٍ، بِرَحْمَتِكَ يَا أَرْحَمَ الرَّاحِمِيْنَ
Allāhumma kun ‘aunan lahum min syururiz-zolimīn, war-fa’ ‘anhumul-azā waz-zulm, wa jamī’a anwa’il fitani wal-mihan, mā zohara minhā wa mā baton, waltuf bihim fī mā jarat bihil-maqādīru, fi ‘āfiyatin wa salāmatin, birahmatika yā Arhamar-Rāhimīn
اللَّهُمَّ تَقَبَّلْ شُهَدَاءَهُمْ، وَدَاوِ جَرْحَاهُمْ، وَأَنْزِلِ السَّكِيْنَةَ عَلَى قُلُوْبِهِمْ، وَبَدِّلْ خَوْفَهُمْ أَمْنًا، وَحُزْنَهُمْ فَرَحًا، وَهَمَّهُمْ فَرَجًا، يَا رَبَّ العَالَمِينَ
Allāhumma taqabbal syuhada-ahum, wa dāwi jarhāhum, wa anzilis-sakinata ‘alā qulubihim, wa baddil khaufahum amnā, wa huznahum farhā, wa hammahum farajā, yā Rabb-al-’ālamīn
اللَّهُمَّ حُلَّ بَيْنَهُمْ وَبَيْنَ مَنْ عَادَاهُمْ، اَللَّهُمَّ أَلْهِمْهُمْ رُشْدَهُمْ وَافْتَحْ عَلَيْهِمْ أَبْوَابَ الحِكْمَةِ وَالأَمَانَ، وَاْلعَفْوِ وَاْلغُفْرَانِ
Allāhumma hulla bainahum wa baina man ‘adāhum, Allāhumma alhimhum rusydahum waf-tah ‘alaihim abwabal-hikmati wal-amān, wal-’afwi wal-ghufrān
يَا حَنَّانُ يَا مَنَّانُ يَا بَدِيْعَ السَّمَوَاتِ وَاْلأَكْوَانِ
Ya Hannān, Ya Mannān, Ya Badi’as-samawāti wal-akwān
وَصَلَّى اللهُ عَلَى سَيِّدِنَا مُحَمَّدٍ النَّبِيِّ اْلأُمِّيِّ وَعَلَى آلِهَ وَصَحْبِهِ وَسَلَّمَ
Wa sallAllāhu ‘alā sayyidinā Muhammadin-nabiyyil-ummiyi wa ‘alā alihi wa sahbihi wa sallam"
Meaning👇
"O Allah, aid our vulnerable brothers and sisters in Gaza and Palestine (repeated three times) and in all places, O Most Merciful of the Merciful. Take them by their hand, protect them, be gentle with them, and suppress deceit. Grant them Your protection against aggressors, and remove harm, oppression, and all adversity—both apparent and hidden. Be gentle with them, in safety and well-being, by Your mercy, O Most Merciful.
O Allah, reward the victims, tend to the wounded, instil tranquillity in their hearts, allay their fears, turn their sadness to happiness, Lord of all the worlds.
O Allah, intervene between them and their adversaries. Inspire them with Your guidance and open the doors of wisdom, safety, pardon, and forgiveness. O Affectionate, Benefactor, Creator of the heavens and universe."
Nawaombeni ndugu zangu, kama mlikua mnatumia vinywaji kampuni ya Coca Cola na Pepsi n.k basi kwanzia leo acheni kutumia, maana kila mnaponunua bidhaa zao maana yake mnachangia pato lao, watanunua silaha na kuendelea kuuwa ndugu zetu.
Hasbiyallah wani'imal wakeel.
Lengo la mzayuni ni kumaliza kizazi, ndio maana anauwa watoto, wamama na wazeedah kuna bom moja Myahudi alirusha juzi, kutarget Mohamed Dief waliyemtafuta miaka mingi, alikuwa na walinzi wake wengi, wakapiga bomb lililochimba bonge la handaki utafikiri bonde, hajatoka hata mmoja. cha kuumiza moyo ni kwamba hata watoto na wanawake wasio na hatia walikufa, ila MOhamed Dief walimpata.
sasa na wenyewe wapalestina, kwanini wasiachie mateka ili vita iishe, ubishi unawaponza. watajuana wenyewe huko huko kwa kweli.Lengo la mzayuni ni kumaliza kizazi, ndio maana anauwa watoto, wamama na wazee