LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mpaka warudisheahekalu Yao mliyoyaita Al aksa etc mshikaji alipaa kwenda mbingu ya Saba kwa kutumia kiumbe Jin kiitwacho buraq
 
Si October 7 2023 ulikuwa ukikata mauno kwa weledi wa aina yake huku ukibweka allah akbar. Sasa hivi hata huko kubweka unashindwa na hata ukibweka unabweka huku umebanamarinda.

R.I.P our lovely brothers wakulima namba moja Joshua Mollel na Clemence Mtenga (mromboo)
Hii mada haiwahusu uliowataja
 
Watoto, wamama na wazee
Ila watoto aisee hapana,Mtoto hajafaidi chochote katika Dunia hii. Hajui Nini maana ya chuki na matukio mengine mabaya lkn anaingia katika dhoruba kubwa.

Ukiangalia Mtoto majeruhi anavyotolewa kwenye kifusi unaweza his maumivu makali ya ubongo.
 
Israel alichobakiza ni kufanya air strike, wasingeweza kutuma special forces kwenda eneo alipokuwa anadaiwa yupo Mohamed Deif, IDF wangemalizwa wote, kwa hasira wamepiga kombora nadhani toka vita imeanza hilo kombora ni la kipekee, ni kama kimtaa kizima kimepigwa, watu 90 wamekufa, majeruhi 300.

Vita inatisha, Hamas nao watalipa kisasi.
Usifikiri wanajeshi hawauawi, wanakufa sana, ndicho hamas anachokifanya na wala hauwi civilians.

Hawa mazayuni wanapiga tu bila kujali kuna nani mule watoto,
 
Mafilisti washauriwe kuacha uchokozi wa kijinga! Wakivuka mtihani huu wasipojifunza watakuwa wajinga wa milele.
Watu wapigania ardhi yao wewe unasema waache uchokozi! Omba sana yasitukute huku kama wao yaliyowakuta
 

View: https://youtu.be/jB9Vso18S0Y?si=fLOa6p8uEd-EQPLR
Ukanda wa Gaza: Makumi ya roketi yarushwa kuelekea Israeli.

Makumi ya roketi yamerushwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelekea Israel Jumamosi asubuhi, Oktoba 7, na kusitisha makubaliano ya usitishwaji mapigano yaliyoheshimishwa kwa ujumla tangu kumalizika kwa vita vya siku tano mwezi Mei. Tawi la kijeshi la Hamas limetangaza kuwa limeanzisha operesheni iitwayo "Mafuriko ya Al-Aqsa" dhidi ya Israel.

Ufyatulianaji wa risasi, kuanzia maeneo kadhaa katika Ukanda wa Gaza, ulianza kabla ya 6:30 asubuhi saa za Mashariki ya Kati na kuendelea karibu dakika arobaini na tano baadaye.

Nchini Israeli, ving'ora vya onyo vimesikika katika miji kadhaa karibu na Palestina, pia huko Jerusalemu lakini pia ndani zaidi katika eneo hilo, kaskazini na mashariki, kulingana na jeshi.

Roketi imeanguka kwenye mji wa Yavne, kusini mwa Tel Aviv, ambapo mtu mmoja amejeruhiwa kidogo, kulingana na Magen David Adom, sawa na shirika la Msalaba Mwekundu nchini Israel. Mwanamke mwenye umri wa miaka sitini ameuawa "kwa pigo la moja kwa moja", na watu wengine 15 wamejeruhiwa kusini mwa Israeli, linasema shirika la Magen David Adom.

Jeshi la Israel limeripoti kupenya kwa "idadi isiyojulikana ya magaidi" kwenye ardhi ya Israel kutoka Ukanda wa Gaza. "Wakazi katika maeneo jirani ya Ukanda wa Gaza wametakiwa kusalia nyumbani," jeshi limeongeza.

Mwezi Mei, Israel ilianzisha mashambulizi dhidi ya Islamic Jihad ya Palestina katika Ukanda wa Gaza, na kusababisha vita vya siku tano kati ya jeshi la Israel, Islamic Jihad na makundi mengine yenye silaha katika eneo hilo, na kugharimu maisha ya Wapalestina 34 na mwanamke mmoja wa Israel.

Zaidi ya roketi elfu moja zimerushwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelekea Israel, nyingi zikiwa zimenaswa na mfumo wa ulinzi wa anga wa Israel. Israel kwa upande wake ilikuwa imeongeza mashambulizi ya anga katika eneo hilo dogo.

Hamas, ambayo ilichukua mamlaka huko Gaza mwaka 2007, ilikuwa imejitenga na mzozo huu.

Imechapishwa: 07/10/2023 - 08:13 Na:RFI

Video na TRT AFRIKA
View attachment 2786228
 
Wanajeshi wanavaa pampers tutegemee nini mzee 😀
Mudy aliwafundisha waislam kutawadha kwa kutumia mawe matatu kinyero kinakuwa safi.. manii yakitoka unajifuta kwa kuburuza mikono kwenye ukuta ukuta wake wa home ulikuwa na michirizi ya manii zilizokauka
 
Wanaukumbi.

Kuvunja | Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu imetoa uamuzi kwamba nchi zote zisitambue uwepo haramu wa Israel katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.

⭕️Ni lazima Jimbo la Israeli litoe fidia kwa uharibifu kwa watu wote walioathiriwa katika maeneo yanayokaliwa.

⭕️Israel lazima ikomeshe mara moja shughuli za makazi na kuhamisha makazi yaliyopo.

⭕️Israel inawajibu wa kukomesha uvamizi na kukomesha uwepo wake haramu katika maeneo ya Palestina.


View: https://x.com/suppressednws/status/1814309242913861640?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw


View: https://x.com/jacksonhinklle/status/1814324738736423102?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Mods bana washangaza yaani uzi unaeleza kauli ya leo ya ICJ kuhusu Israe habari ni top story media zao naleta huo uzi JF mnauunganisha😂😂😂 nimeshangaa sana.
 
Wanaukumbi.

Kuvunja | Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu imetoa uamuzi kwamba nchi zote zisitambue uwepo haramu wa Israel katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.

⭕️Ni lazima Jimbo la Israeli litoe fidia kwa uharibifu kwa watu wote walioathiriwa katika maeneo yanayokaliwa.

⭕️Israel lazima ikomeshe mara moja shughuli za makazi na kuhamisha makazi yaliyopo.

⭕️Israel inawajibu wa kukomesha uvamizi na kukomesha uwepo wake haramu katika maeneo ya Palestina.


View: https://x.com/suppressednws/status/1814309242913861640?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw


View: https://x.com/jacksonhinklle/status/1814324738736423102?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Wapumbavu wanajichekesha.. since when Israel ikawa Arabs country ni kufuru Muslim ni satanic haiwezi ikawa na huo uchafu.. katika holly land.. siburini Majibu yenu mjiandae kuwapokea watu wenu mwapendao huko mlipo.. fukuza wote
 
Wapumbavu wanajichekesha.. since when Israel ikawa Arabs country ni kufuru Muslim ni satanic haiwezi ikawa na huo uchafu.. katika holly land.. siburini Majibu yenu mjiandae kuwapokea watu wenu mwapendao huko mlipo.. fukuza wote
Yemen’s army continues to display morality

“To the settlers and displaced in Tel Aviv you are in a dangerous combat zone, the Yemeni armed forces will work against terrorism in these areas, for your safety evacuate to the Humanitarian zone in Negev”

Or leave the land👋🏻😂
 
Back
Top Bottom