Yanayojiri: Vita ya Syria na Waasi

Yanayojiri: Vita ya Syria na Waasi

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Jeshi la Syria limetangaza hatua ya "kuondoa majeshi kwa muda" katika mji wa kaskazini-magharibi wa Aleppo, ambako makundi ya waasi yalizindua shambulio la ghafla dhidi ya maeneo yanayoshikiliwa na serikali kwa mara ya kwanza katika miaka mingi.

Jeshi lilisema Jumamosi kuwa makumi ya wanajeshi wake wameuawa au kujeruhiwa katika mapigano makali na "makundi ya kigaidi yenye silaha" katika majimbo ya Aleppo na Idlib katika siku chache zilizopita. Liliongeza kuwa sasa linafanya marekebisho ya vikosi vyake, likirekebisha msimamo na kuimarisha mistari yake ya ulinzi huku likijiandaa kwa "shambulio la kujibu."
==================

Syria’s military has announced a “temporary troop withdrawal” in the northwestern city of Aleppo, where rebel groups launched a surprise offensive on government-held positions for the first time in years.

The military said on Saturday that dozens of its soldiers had been killed or wounded in fierce battles with “armed terrorist organisations” in the governorates of Aleppo and Idlib over the previous few days and that it was now regrouping, redeploying troops to strengthen its defence lines as it prepared a “counterattack”

Hali ni mbaya kwa majeshi ya Syria. Waasi wamefika mpaka katikati ya mji wa aleppo. Wanajeshi wengi wa Serikali wameuawa.

Nimeaikia ikulu ya Asad mjini Damascus imevamiwa na waasi hawajamkuta pengine keshasepa Iran au Urusi..
 
Ni bora mara 10 Assad abaki kuliko hao Al Qaeda, Assad analinda na kuyajali makundi madogo hasa wasio waislam, hao AL Qaeda ni story nyingine, hawana tofauti na Taleban
vita ilianza baada ya Assad kuua wakosoaji wake na kuwabagua Sunni pia kuwaua watu wa makabila fulani wakiwemo wakurdi
kiufupi huyo Assad umemwelezea ajawai kuwepo pale Syria , rudi ukaichambue vzr Syria
 
Kipindi kile Marekani wanapindua Serikali wasizozitaka huko Uarabuni wenyewe wakiita Arab Spring wakifadhili haya magenge na kutunga uongo mwingi Russia ndio ilimuokoa Assad!!

General Surovokin aliamuru watu wote wapishe huo mji wa Allepo...Akawapiga hao magaidi vibaya sana!! Sasa naona yanarudia yale yale
Russia anashambulia kwa ndege ila chini kwa maana ya askari wa miguu ni mhimu sanaa... lakini naamini Msaada wa Infantry ni mhimu na Hizbollah ndio walifanya hiyo kazi last time..Sasa Hizbollah wako hoi wameuwawa sana hasa viongozi wao na Pia Russia yungali ana vita kule kwake akipigana na NATO wote manake resouces na Millitarily yuko strained kwa maana hiyo safari hii vita itakua ngumu kwa Assad...

Ingawa naamini Iran atasaidia pia hivyo mji wa Allepo utakombolewa tena...
 
Kipindi kile Marekani wanapindua Serikali wasizozitaka huko Uarabuni wenyewe wakiita Arab Spring wakifadhili haya magenge na kutunga uongo mwingi Russia ndio ilimuokoa Assad!!

General Surovokin aliamuru watu wote wapishe huo mji wa Allepo...Akawapiga hao magaidi vibaya sana!! Sasa naona yanarudia yale yale
Russia anashambulia kwa ndege ila chini lakini naamini Msaada wa Infantry ni mhimu na Hizbollah ndio walifanya hiyo kazi last time..Sasa Hizbollah wako hoi wameuwawa sana hasa viongozi wao.
Kama kuna mtu anafikiri airstrikes zinateka miji basi akapimwe akili. Nilipoona Turkey imekaa kimya kwa moto aliokuwa anapelekewa Hezbollah nikajua hapa kuna kitu nyuma ya pazia,na kweli kimetokea maana baada ya ceasefire tuu kazi ya Allepo ikaanza.
 
Tunaomba data ya wanajeshi wa hizbollah walio uawa Sana kutokana na vita ya Israel
 
Pale hao waasi watakubali TU, resistance zote za Iraq zimeelekea Syria zimesimama na Assad
 
Kama kuna mtu anafikiri airstrikes zinateka miji basi akapimwe akili. Nilipoona Turkey imekaa kimya kwa moto aliokuwa anapelekewa Hezbollah nikajua hapa kuna kitu nyuma ya pazia,na kweli kimetokea maana baada ya ceasefire tuu kazi ya Allepo ikaanza.
Hezbollah wapo apo Syria shuhuri imeanza kupitia ardhini na Anga pia yupo mrusi akuna waoga apo. kumbe Wanjiru unajuaga ukweli majeshi ya anga pekeyake ayawezi kuleta mafanikio!!! napitaa tu.
 
Kama kuna mtu anafikiri airstrikes zinateka miji basi akapimwe akili. Nilipoona Turkey imekaa kimya kwa moto aliokuwa anapelekewa Hezbollah nikajua hapa kuna kitu nyuma ya pazia,na kweli kimetokea maana baada ya ceasefire tuu kazi ya Allepo ikaanza.
Nliwaambia watu flani jambo hili wakaleta mihemko. Kila kitu kimekuwa calculated. Watu hawajui kuwa huwa ni mipango ya watu wenye akili wanafanya
 
Kipindi kile Marekani wanapindua Serikali wasizozitaka huko Uarabuni wenyewe wakiita Arab Spring wakifadhili haya magenge na kutunga uongo mwingi Russia ndio ilimuokoa Assad!!

General Surovokin aliamuru watu wote wapishe huo mji wa Allepo...Akawapiga hao magaidi vibaya sana!! Sasa naona yanarudia yale yale
Russia anashambulia kwa ndege ila chini lakini naamini Msaada wa Infantry ni mhimu na Hizbollah ndio walifanya hiyo kazi last time..Sasa Hizbollah wako hoi wameuwawa sana hasa viongozi wao.
Hezbollah wenyewe wamechoka wamekula kipondo cha muisrael
 
Tunaomba data ya wanajeshi wa hizbollah walio uawa Sana kutokana na vita ya Israel
Huwezi kuipata data ya ukweli maana wanavaa kiraia kipindi cha mapigano, na wamejenga miundombinu yao maeneo ya raia na hutangaza vifo vya hezbollah kama vya wanawake na watoto
 
Hali ya Syria ni mbaya. Israel inachekelea
Screenshot_2024-12-02-08-53-04-653_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2024-12-02-08-53-49-766_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2024-12-02-08-53-10-701_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2024-12-02-08-53-57-307_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2024-12-02-08-54-08-841_com.android.chrome.jpg
 
Back
Top Bottom