Yanayojiriri katika vita mpya ya Thailand na Cambodia

Yanayojiriri katika vita mpya ya Thailand na Cambodia

Tension za mpaka kati ya hizo nchi mbili sawa tu na ilivyo kati ya India na Pakistan, Tanzania na Uganda (Kagera war)...
Kwa hio wanagombea mpaka, je huo mpaka ni wa thamani kiasi cha wao kumwagana damu au basi tu kinawawasha na wao wanataka watumie silaha zao za kivita na kuzifanyia majaribio km anavyofanya Marekani?
 
mi mtailand mtupu hata nilivyo embu nicheki hapa.
👇
images.jpeg
 
Sasa Cambodia ilivyo masikini, si itachapwa haraka sana kwa maana mataifa ya Asia hayana mambo ya kushikana mikono kama ilivyo Ulaya na NATO yao...
MCHINA KASIMAMA NA CAMBODIA.

marekani yupo na Thailand
 
Hivi wadau kuna katika historia ya dunia ni kwa kipindi kipi kirefu kimewahi kupita bila ya vita ya taifa moja na lingine?
 
Hawa jamaa wameanza tena mambo yao. Kweli vita haviishi vinapumzika tu.
 
I
Kwa hio wanagombea mpaka, je huo mpaka ni wa thamani kiasi cha wao kumwagana damu au basi tu kinawawasha na wao wanataka watumie silaha zao za kivita na kuzifanyia majaribio km anavyofanya Marekani?
Ivi unazani mpk watu wanapigana ni wanapenda?
Ukiwa mnyonge huna chako
 
Back
Top Bottom