Yanayompata Ndugai ni onyo kwa wengine "usimchezee chatu(taasisi ya Urais), gongo usimtupie, utaukosa ushindi"

Nguvu ya Rais haipimwi kwa kuingilia mihimili mingine.Nguvu ya Rais huwa inapimwa kwa kuleta maendeleo ya watu,haki,demokrasia na uhuru wa watu kwa kasi.
Hebu mtuache tumalize kazi yetu, hayo unayosema ni mambo academic
 
Acha kuupinga ukweli. Urais ni habari nyingine.
Ukweli upi huo napinga?

Hapa ni Speaker wa Bunge la Marekani Nancy Pelosi akichana hotuba ya Rais Trump huko Bungeni Marekani mbele ya Rais Trump baada ya kupishana na Rais Trump,akionyesha uma kuwa mhimili wake upo huru.
Your browser is not able to display this video.
 
Nguvu ya Rais haipimwi kwa kuingilia mihimili mingine.Nguvu ya Rais huwa inapimwa kwa kuleta maendeleo ya watu,haki,demokrasia na uhuru wa watu kwa kasi.

Rais ambae hataki mihimili mingine kuwa huru na ifanye kazi zake ni hopeless fool.
Hiyo mifano yote inamuhusu magufuli,Samia hayupo hivyo
 
Acha kutisha watu, hiyo taasisi kama ina nguvu imeshidwaje kupambana na umaskini na ujinga kwa miaka 60? Angalia taasisi kama hizo kwenye nchi za mashariki ya mbali
 
Hakuna uhuru usio na mipaka, uhuru wa kuharibu nchi?
Speaker hajaharibu nchi.Alitoa maoni yake kama mhimili huru.

Anaeharibu nchi ni huyu anaejiita kuwa ni Rais ambae hataki mihimili mingine kuwa huru.
Your browser is not able to display this video.
 
Ukweli upi huo napinga?

Hapa ni Speaker wa Bunge la Marekani Nancy Pelosi akichana hotuba ya Rais Trump huko Bungeni Marekani mbele ya Rais Trump baada ya kupishana na Rais Trump,akionyesha uma kuwa mhimili wake upo huru.View attachment 2070865
Mbona umekuwa mpumbavu sana? Idadi ya wabunge wa upinzani kwenye bunge la USA unajua ikoje? Baraza la seneti? Jipe muda usome kuhusu mfumo wa serikali ya USA kabla hujaifananisha na ya Tanzania.
 
Mbona umekuwa mpumbavu sana? Idadi ya wabunge wa upinzani kwenye bunge la USA unajua ikoje? Baraza la seneti? Jipe muda usome kuhusu mfumo wa serikali ya USA kabla hujaifananisha na ya Tanzania.
Mpumbavu ni wewe ambae hujajua nimeandika kitu gani.Idadi ya wabunge wa upinzani inahusiana nini na mhimili wa Bunge kuwa huru?
 
Acha kutisha watu, hiyo taasisi kama ina nguvu imeshidwaje kupambana na umaskini na ujinga kwa miaka 60? Angalia taasisi kama hizo kwenye nchi za mashariki ya mbali
Madarasa uliyosoma na walimu waliokufundisha, ni matunda ya CCM, ndio maana unaweza kuandika hapa JF, japo unaandika makorokocho
 
Hakuna uhuru usio na mipaka, uhuru wa kuharibu nchi?
In fact sasa hivi ndiyo nchi inaharibika zaidi na hakuna hata mbunge mmoja wa CCM atakayehoji jambo lolote serikalini. Zamani zile rais alikuwa anatishia kuvunja bunge tu, lakini siyo hii ya sasa ya kufikia CCM kumtishia spika kumvua uanachama na ubunge wake. Ingekuwa hali iko kama hivi enzi zile, lile grupu G70 lisingefurukuta na kutikisa serikali kama ilivyokuwa. Ngoja uone huko tunakokwenda. Kumbe ulikuwa mkopo wa covid unatakiwa kulipwa kwa miaka 20 ndio umekuwa unatumika hivyo!
 
Sukuma gang ndiyo watu gani hao? Mimi ni pro-Magufuli and yet namsupport mama kama Rais wetu.

Ninyi ndio mnaotaka kumpoteza mama kwa kufikiri adui yake ni team Magufuli.
 
Sukuma gang ndiyo watu gani hao? Mimi ni pro-Magufuli and yet namsupport mama kama Rais wetu.

Ninyi ndio mnaotaka kumpoteza mama kwa kufikiri adui yake ni team Magufuli.
Kazi iendelee
 
Dah umeongea kwa hisia Kali na kwa weledi
 
Walizoea jitu linalofokafoka ovyo wakamdharau mama wakidhani ni soft hivyo watamchezea watakavyo lakini mambo yamekuwa kinyume chake.
 
Madarasa uliyosoma na walimu waliokufundisha, ni matunda ya CCM, ndio maana unaweza kuandika hapa JF, japo unaandika makorokocho
Ndio maana nasema ujinga umeshindikana, wewe umethibitisha hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…