Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Uhuru wa mhimili unaambatana na busara binafsi na hekima. Huwezi kumkatisha tamaa kiongozi wako wa nchi kwa kigezo cha kuongoza mhimili ukawa unayo haki bado ya kuendelea na cheo chako.Ukweli upi huo napinga?
Hapa ni Speaker wa Bunge la Marekani Nancy Pelosi akichana hotuba ya Rais Trump huko Bungeni Marekani mbele ya Rais Trump baada ya kupishana na Rais Trump,akionyesha uma kuwa mhimili wake upo huru.View attachment 2070865
Sogeza kichwa magogoni au chamwino uonje joto ya jiwe, Rais ana dhamana ya usalama wa watu milioni 60, anatakiwa muda wote awe na utulivu, sio majitu ya hovyo yanamvurugaTOKA Bwana na maneno mepesi, elewa nchi yoyote zipo mifumo hata Rais hajui, wapo watu mtandao wao mkubwa hata Rais hajui , ACHA lisha watu ujinga, kwamba mtu ameamua jiuuzulu ndo mapambio yote ? Kuna watu tz wamewai jiuuzulu na badae kuwa watu wakubwa tu , kujiuzulu ni busara kubwa kuliko Jambo lolote sema Afrika ndo inaonekana ajabu
Mkuu siyo kwamba watu tunapenda mihimili kuingiliana,bali tunashangilia kwa fundisho hili la ndugai.Wewe ni tahira uliechanganyikiwa!Badala ya kupigania mihimili kuwa huru unapigania mhimili mmoja kutawala mihimili mingine?Unajua athari yake kwa nchi?
KabisaMkuu siyo kwamba watu tunapenda mihimili kuingiliana,bali tunashangilia kwa fundisho hili la ndugai.
Watu hatukuanza hivi karibuni kupiga kelele kuhusu bunge kutawaliwa na kuongozwa na serikali.
Kumbuka issue ya Prof Assad,na wengine kuitwa na kamati ya binge ya maadili.
Ndugai huyu ndiye alitumika kuwanyamazisha watu.
Kumbuka ya Lissu,ndugai huyuhuyu alifurahia kana kwamba aliyepigwa risasi ni ngiri.
Ktk uongozi wa magufuli unaeza sema toka magufuli alifuata ndugai kimamlaka.
Alitahadharishwa sana hakusikia wala kuelewa.
ÀCHA AVUNE ALICHOPANDA IWE FUNDISHO KWA WENGINE.
Alikuwa na maneno ya shombo sana
Kumuondoa Ndugai badala ya kuondoa mfumo haitaleta Bunge huru.Atakaekuja uzi utakuwa kama uleule wa Ndugai kwa sababu tatizo halikuwa Ndugai bali ni mfumo.Mkuu siyo kwamba watu tunapenda mihimili kuingiliana,bali tunashangilia kwa fundisho hili la ndugai.
Watu hatukuanza hivi karibuni kupiga kelele kuhusu bunge kutawaliwa na kuongozwa na serikali.
Kumbuka issue ya Prof Assad,na wengine kuitwa na kamati ya binge ya maadili.
Ndugai huyu ndiye alitumika kuwanyamazisha watu.
Kumbuka ya Lissu,ndugai huyuhuyu alifurahia kana kwamba aliyepigwa risasi ni ngiri.
Ktk uongozi wa magufuli unaeza sema toka magufuli alifuata ndugai kimamlaka.
Alitahadharishwa sana hakusikia wala kuelewa.
ÀCHA AVUNE ALICHOPANDA IWE FUNDISHO KWA WENGINE.
Alikuwa na maneno ya shombo sana
Kumuondoa Ndugai badala ya kuondoa mfumo haitaleta Bunge huru.Atakaekuja uzi utakuwa kama uleule wa Ndugai kwa sababu tatizo halikuwa Ndugai bali ni mfumo.Ungemlaumu Ndugai kwanza kwa kulewa sifa na kuwa arrogant. Muda wote anayo spirit ya ushindani na ninaweza kuamini maneno kwamba anautaka urais ingawa sio dhambi hata kidogo.
Binafsi nakubali,ila kujiuzulu sio Jambo jipya chini ya jua ,kwamba Ndugai amefanya lipi kubwa mpaka kushambuliwa kiasi ichiSogeza kichwa magogoni au chamwino uonje joto ya jiwe, Rais ana dhamana ya usalama wa watu milioni 60, anatakiwa muda wote awe na utulivu, sio majitu ya hovyo yanamvuruga
Tatizo ni rais wa kwanza mwanamke na walimdharau tangu akiwa makamu wa rais. Ndugai akaota mapembe kwa uspika wake akawa anaongea hadharani maneno ya dharau kwa wanawake na alimshambulia SSH.Kumuondoa Ndugai badala ya kuondoa mfumo haitaleta Bunge huru.Atakaekuja uzi utakuwa kama uleule wa Ndugai kwa sababu tatizo halikuwa Ndugai bali ni mfumo.
Sisi kama wananchi tulipaswa kulinda mihimili kuhakikisha kuwa inakuwa huru pamoja na kuhakikisha kuwa tunakuwa na mfumo unaolinda mihimili badala ya kuhangaika na mtu(Ndugai).
Ujinga uliofanyika wa Ndugai kujiuzulu kwa sababu tu alitoa maoni yake kama mhimili huru itampa Rais kiburi zaidi cha kuendelea kunyanyasa mhimili wa Bunge pamoja na mihimili mingine.
Pia kitendo hiki kitaifanya mihimili ya Bunge pamoja na mhimili wa mahakama kuwa waoga zaidi na kutokujiamini mbele ya mhimili wa Rais.
Yani kuzungumza deni la taifa ndo iwe shida kubwa kiasi ichiHujalijua