Yanayonikuta London, Uingereza - Part 1



Huna kwenu?
 
Kwaufupi mkuu hauna tatizo lolote isipokuwa akili yako inakuchezea minds game kwavile ulikwisha tegeneza tatizo kati yako na akili yako.

Electric shock na hissing sound study hii pattern vizuri don't get Punic relax ijapokuwa utakuwa unaona au sometimes unahisi kama kuchanganyikiwa maana unaona vitu haviko normal. If you pay attention kwenye hili kuna siku utakuja kunishukuru

Relax just studying the patterns n behavior kwenye electric n sounds
 
Naona watu wengi hawajaelewa vizuri kuhusu mada hii japokuwa ni kitu/elimu muhimu sana kwao kujua (hususani kwa Watanzania ambao kwenye nchi yao kuna mfumo wa utawala ambao unafuata "mkondo wa utawala wa nchi ya Urusi, China na Korea ya Kaskazini").
Katika nchi zenye tawala za kidikteta au tawala za kiimla ambako hakuna demokrasia kama vile Urusi (pamoja na nchi Washirika wake, e.g, Belarus, Bulgaria, China, Korea ya Kaskazini, Zimbabwe, Uganda, Rwanda, Burundi, na hata nchi ya "Uruguay iliyopo Afrika ya Mashariki"), Makachero wa nchi hizo wamekuwa wakitumia sana mbinu hii ya kijasusi katika kuwaua watu kwa Siri kubwa bila watu hao kujua au jamii nzima inayowazunguka kujua na kushitukia. Walengwa ktk jamii huwa wanaonekana kama wamefariki dunia kutokana na vifo vya kawaida kumbe kiuhalisia wamekufa kutokana na vifo vya kutengenezwa. That's one of the most common assassination tactics/method used by Spies or Secret Police officers in eliminating their targets clandestinely. Walengwa wakuu wa operesheni za mbinu za namna hii mara nyingi huwa ni Wanasiasa Wapinzani au Wakosoaji wa Serikali, Wanaharakati wa kisiasa au wa haki za binadamu, Waandishi wa Habari za Kiuchunguzi (zile zinazofichua uozo wa watawala), Watafiti, Wahadhiri wa Vyuo Vikuu/Maprofesa Wakosoaji wa Watawala, n.k.
Chukua tahadhari kubwa sana.
 
Pole Mkuu Kuna Mahali umetufunga kamba hujawa wazi ila tumeelewa hivyohivyo....Rudi zako asee uhai haununie dukani.
 
Mtafute Mtaalamu wa Saikolojia
Pia mtafute Mtaalamu wa kiroho


Then Kasome na ujifunze kuhusu Ego jinsi inavyofanya Kazi na ujifunze ku-play low key or small kwa hizo tabia hata ukija huku Tz watu watakudhuru as the same huko abroad.

Pray kwa imani yako ila Game kubwa ipo katika AKILI yako trust me ukiongoza vyema Akili YAKO utapata matokeo mazuri
 
Mkuu ningekushauri vyema kama ningejua uliwafanyia nn Hadi wakaanza kukuchukia.Tell us why the folks starts that bullying shit.
 
Ulikuwa unafanya kazi na mafreemoson au illuminator,umekula pesa zao alafu unaondoko kiana aina..Jiconnect na Imani
 
Hamna Watanzania au wana EAC huko uishi nao mpaka ufuate hayo majitu na yalivyo na maushirikina yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…