Yanayonikuta London, Uingereza - Part 1

Yanayonikuta London, Uingereza - Part 1

Mimi nimeishi London - UK kwa muda mrefu sasa hivi. Kufanya stori ndefu kuwa fupi, ninaishi kwenye share accommodation na watu kutoka West Africa na mmoja kutoka Asia.

Miaka ya karibuni nimekuwa bullied. Hii nilianza ku experience kutoka kwenye organisation mojo kubwa hapa UK. Nikaamua kuacha kazi na kutafuta kwenye sector nyingine. Lakini bado wakanifuata kwenye communities kuendeleza psychological bullying(Kwa nını wana ni bullied, hii ni story ndefu).

Lakini kilichoni affect na kunisukuma kuandika hapa ni hii. Mwezi March 23 nilianza ku experience balance issue, headaches plus other health issues( nina sababu za kutoziweka wazi kwa sasa). Nikaenda kwa GP(Doctor) akaoda vipimo vya damu lakini hawakukuta chochote kilichokuwa kinasababisha hizo episodes.

Kabla ya March, nilikuwa nina spend muda mrefu nyumba wakati applications za kazi zikiwa process.
Around March nikaanza kazi nyingine kwa hüyo muda mrefu nilikuwa sipo nyumbani. Zile health issues nazo zikapotea wakati huo nikadhania labda ilikuwa ni lack of exercise na lishe.

Lakini around August nikaanza ku experience intermittently kama electrical shocks nikiwa chumbani, haşa kwenye maeneo ya kichwa na baadae ikawa kawa sharp pain ya sindano (hii ni mara chache) pamoja na shock. Pia kuna hissing sound. Halafu baadae zile health issues nazo zikarudi.

Nikahisi itakuwa ni electromagnetic fields. Nikanunua EMF detector nilipoanza kuitumia ili detect presence of EMF mpaka 564v/m. Kwa sababu readings zilikuwa juu sana nikaona labda hiki chombo kinanidanganya. Lakini baada ya muda nikipima yale maeneo kunakuwa hakuna tena EMF.

View attachment 2823423
In meantime, strength ikawa inaongezezeka nikawa nina feel hizo shocks very strong.
Zimekuwa zinanifanya nashindwa kulala vizuri. Na nina feel effect zake nikiwa
mitaani hata kazini.
Nina amini kuna mtu au watu anakifaa ambacho kina emit hizo waves. Kuna mara mbili niliamka usiku sana nikigeuka ninasikia hatua za mtu akiwa anatembea
kutoka kwenye mlango wangu wa chumba(nikiwa nimelala huwa mlango wa chumba ninafunga kwa madani).
Mara kibao nimekuwa ninaamshwa na coughs na hewa chumbani na hisi tofauti mpaka niwanje mlango wazi kwa muda ndio na kikoozi kinapungua. KUNA SIKU NINAHISI SITA HAMKA LAKINI MUNGU MKUBWA.
Nimetilia mkazo kwenye kutafuta nyumba nyingine lakini bado sijapata.

Nimesharipoti Police mara tatu.

Ninahisi kiini cha haya yote ni research ambayo wame incite racism kama ngao, kujificha na kuwasadia ku achieve wanachotaka. Wengine ni entertainment na financial gain. SOME PEOPLE ARE PURE EVIL AND SADISTIC!!

Huna kwenu?
 
Kwaufupi mkuu hauna tatizo lolote isipokuwa akili yako inakuchezea minds game kwavile ulikwisha tegeneza tatizo kati yako na akili yako.

Electric shock na hissing sound study hii pattern vizuri don't get Punic relax ijapokuwa utakuwa unaona au sometimes unahisi kama kuchanganyikiwa maana unaona vitu haviko normal. If you pay attention kwenye hili kuna siku utakuja kunishukuru

Relax just studying the patterns n behavior kwenye electric n sounds
 
Mimi nimeishi London - UK kwa muda mrefu sasa hivi. Kufanya stori ndefu kuwa fupi, ninaishi kwenye share accommodation na watu kutoka West Africa na mmoja kutoka Asia.

Miaka ya karibuni nimekuwa bullied. Hii nilianza ku experience kutoka kwenye organisation mojo kubwa hapa UK. Nikaamua kuacha kazi na kutafuta kwenye sector nyingine. Lakini bado wakanifuata kwenye communities kuendeleza psychological bullying(Kwa nını wana ni bullied, hii ni story ndefu).

Lakini kilichoni affect na kunisukuma kuandika hapa ni hii. Mwezi March 23 nilianza ku experience balance issue, headaches plus other health issues( nina sababu za kutoziweka wazi kwa sasa). Nikaenda kwa GP(Doctor) akaoda vipimo vya damu lakini hawakukuta chochote kilichokuwa kinasababisha hizo episodes.

Kabla ya March, nilikuwa nina spend muda mrefu nyumba wakati applications za kazi zikiwa process.
Around March nikaanza kazi nyingine kwa hüyo muda mrefu nilikuwa sipo nyumbani. Zile health issues nazo zikapotea wakati huo nikadhania labda ilikuwa ni lack of exercise na lishe.

Lakini around August nikaanza ku experience intermittently kama electrical shocks nikiwa chumbani, haşa kwenye maeneo ya kichwa na baadae ikawa kawa sharp pain ya sindano (hii ni mara chache) pamoja na shock. Pia kuna hissing sound. Halafu baadae zile health issues nazo zikarudi.

Nikahisi itakuwa ni electromagnetic fields. Nikanunua EMF detector nilipoanza kuitumia ili detect presence of EMF mpaka 564v/m. Kwa sababu readings zilikuwa juu sana nikaona labda hiki chombo kinanidanganya. Lakini baada ya muda nikipima yale maeneo kunakuwa hakuna tena EMF.

View attachment 2823423
In meantime, strength ikawa inaongezezeka nikawa nina feel hizo shocks very strong.
Zimekuwa zinanifanya nashindwa kulala vizuri. Na nina feel effect zake nikiwa
mitaani hata kazini.
Nina amini kuna mtu au watu anakifaa ambacho kina emit hizo waves. Kuna mara mbili niliamka usiku sana nikigeuka ninasikia hatua za mtu akiwa anatembea
kutoka kwenye mlango wangu wa chumba(nikiwa nimelala huwa mlango wa chumba ninafunga kwa madani).
Mara kibao nimekuwa ninaamshwa na coughs na hewa chumbani na hisi tofauti mpaka niwanje mlango wazi kwa muda ndio na kikoozi kinapungua. KUNA SIKU NINAHISI SITA HAMKA LAKINI MUNGU MKUBWA.
Nimetilia mkazo kwenye kutafuta nyumba nyingine lakini bado sijapata.

Nimesharipoti Police mara tatu.

Ninahisi kiini cha haya yote ni research ambayo wame incite racism kama ngao, kujificha na kuwasadia ku achieve wanachotaka. Wengine ni entertainment na financial gain. SOME PEOPLE ARE PURE EVIL AND SADISTIC!!
Naona watu wengi hawajaelewa vizuri kuhusu mada hii japokuwa ni kitu/elimu muhimu sana kwao kujua (hususani kwa Watanzania ambao kwenye nchi yao kuna mfumo wa utawala ambao unafuata "mkondo wa utawala wa nchi ya Urusi, China na Korea ya Kaskazini").
Katika nchi zenye tawala za kidikteta au tawala za kiimla ambako hakuna demokrasia kama vile Urusi (pamoja na nchi Washirika wake, e.g, Belarus, Bulgaria, China, Korea ya Kaskazini, Zimbabwe, Uganda, Rwanda, Burundi, na hata nchi ya "Uruguay iliyopo Afrika ya Mashariki"), Makachero wa nchi hizo wamekuwa wakitumia sana mbinu hii ya kijasusi katika kuwaua watu kwa Siri kubwa bila watu hao kujua au jamii nzima inayowazunguka kujua na kushitukia. Walengwa ktk jamii huwa wanaonekana kama wamefariki dunia kutokana na vifo vya kawaida kumbe kiuhalisia wamekufa kutokana na vifo vya kutengenezwa. That's one of the most common assassination tactics/method used by Spies or Secret Police officers in eliminating their targets clandestinely. Walengwa wakuu wa operesheni za mbinu za namna hii mara nyingi huwa ni Wanasiasa Wapinzani au Wakosoaji wa Serikali, Wanaharakati wa kisiasa au wa haki za binadamu, Waandishi wa Habari za Kiuchunguzi (zile zinazofichua uozo wa watawala), Watafiti, Wahadhiri wa Vyuo Vikuu/Maprofesa Wakosoaji wa Watawala, n.k.
Chukua tahadhari kubwa sana.
 
Pole Mkuu Kuna Mahali umetufunga kamba hujawa wazi ila tumeelewa hivyohivyo....Rudi zako asee uhai haununie dukani.
 
Mtafute Mtaalamu wa Saikolojia
Pia mtafute Mtaalamu wa kiroho

Then Kasome na ujifunze kuhusu Ego jinsi inavyofanya Kazi na ujifunze ku-play low key or small kwa hizo tabia hata ukija huku Tz watu watakudhuru as the same huko abroad.

Pray kwa imani yako ila Game kubwa ipo katika AKILI yako trust me ukiongoza vyema Akili YAKO utapata matokeo mazuri
 
Mkuu ningekushauri vyema kama ningejua uliwafanyia nn Hadi wakaanza kukuchukia.Tell us why the folks starts that bullying shit.
 
Ulikuwa unafanya kazi na mafreemoson au illuminator,umekula pesa zao alafu unaondoko kiana aina..Jiconnect na Imani
 
Hamna Watanzania au wana EAC huko uishi nao mpaka ufuate hayo majitu na yalivyo na maushirikina yao.
 
Back
Top Bottom