Yanayonikuta London, Uingereza - Part 1

Yanayonikuta London, Uingereza - Part 1

Jaribu kutafuta mtu ukae nae, lakini pia angalia uwezekano wa kufuatilia hao jamaa uliokuwa ukifanya nao kazi, hao ndio wabaya wako na ndio wanakuchezea huo mchezo.

Najaribu kujiuliza, how waliconnect hicho kifaa na mwili wako, kuna process uliwahi kufanya wakati unaanza ajira hapo kwao, labda ukatumia finger print or anything else of such kind?

If the answer is yes, basi inaonekana hapo ndipo walipokupatia mpaka sasa wanakuchezea, ukienda polisi next time hakikisha unatoa maelezo yako kuhusu hilo jambo na kwanini unahisi wao ndio wabaya wako, ili kama kuna uwezekano wa polisi kufanya uchunguzi wao waufanye .

Amini, hakuna ubaya usio na kikomo, just a matter of time ukitoa ushirikiano mzuri kwa polisi, tatizo lako litakwisha.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kaunganishwa na nin??tuelewesheni
 
Mimi nimeishi London - UK kwa muda mrefu sasa hivi. Kufanya stori ndefu kuwa fupi, ninaishi kwenye share accommodation na watu kutoka West Africa na mmoja kutoka Asia.

Miaka ya karibuni nimekuwa bullied. Hii nilianza ku experience kutoka kwenye organisation mojo kubwa hapa UK. Nikaamua kuacha kazi na kutafuta kwenye sector nyingine. Lakini bado wakanifuata kwenye communities kuendeleza psychological bullying(Kwa nını wana ni bullied, hii ni story ndefu).

Lakini kilichoni affect na kunisukuma kuandika hapa ni hii. Mwezi March 23 nilianza ku experience balance issue, headaches plus other health issues( nina sababu za kutoziweka wazi kwa sasa). Nikaenda kwa GP(Doctor) akaoda vipimo vya damu lakini hawakukuta chochote kilichokuwa kinasababisha hizo episodes.

Kabla ya March, nilikuwa nina spend muda mrefu nyumba wakati applications za kazi zikiwa process.
Around March nikaanza kazi nyingine kwa hüyo muda mrefu nilikuwa sipo nyumbani. Zile health issues nazo zikapotea wakati huo nikadhania labda ilikuwa ni lack of exercise na lishe.

Lakini around August nikaanza ku experience intermittently kama electrical shocks nikiwa chumbani, haşa kwenye maeneo ya kichwa na baadae ikawa kawa sharp pain ya sindano (hii ni mara chache) pamoja na shock. Pia kuna hissing sound. Halafu baadae zile health issues nazo zikarudi.

Nikahisi itakuwa ni electromagnetic fields. Nikanunua EMF detector nilipoanza kuitumia ili detect presence of EMF mpaka 564v/m. Kwa sababu readings zilikuwa juu sana nikaona labda hiki chombo kinanidanganya. Lakini baada ya muda nikipima yale maeneo kunakuwa hakuna tena EMF.

View attachment 2823423
In meantime, strength ikawa inaongezezeka nikawa nina feel hizo shocks very strong.
Zimekuwa zinanifanya nashindwa kulala vizuri. Na nina feel effect zake nikiwa
mitaani hata kazini.
Nina amini kuna mtu au watu anakifaa ambacho kina emit hizo waves. Kuna mara mbili niliamka usiku sana nikigeuka ninasikia hatua za mtu akiwa anatembea
kutoka kwenye mlango wangu wa chumba(nikiwa nimelala huwa mlango wa chumba ninafunga kwa madani).
Mara kibao nimekuwa ninaamshwa na coughs na hewa chumbani na hisi tofauti mpaka niwanje mlango wazi kwa muda ndio na kikoozi kinapungua. KUNA SIKU NINAHISI SITA HAMKA LAKINI MUNGU MKUBWA.
Nimetilia mkazo kwenye kutafuta nyumba nyingine lakini bado sijapata.

Nimesharipoti Police mara tatu.

Ninahisi kiini cha haya yote ni research ambayo wame incite racism kama ngao, kujificha na kuwasadia ku achieve wanachotaka. Wengine ni entertainment na financial gain. SOME PEOPLE ARE PURE EVIL AND SADISTIC!!
Sijakuelewa? Au, Kwa hiyo unataka kutuambia nini?
 
Wakuu.
Kuna watu wameshindwa kunielewa. Sasa hivi nipo kwenye misuko suko ya kutafuta nyumba na pia kazini ni busy.

Kipata muda nitaelezea kwa kifupi tangu ilipoanzia(bullyings, wrong belief etc) wakati ninafanya kazi kwenye hospital London mpaka kwenye issue ya emf
Utatusadia kwa kiswahili fasaha maana hata hizo emf sisi wa saint kayumba hatujaelewa na mbaya zaidi tulisoma sanaa
 
Kwanini usihame hio shared accomodation ukaishi na wadau wengine ?

Hata kama hakuna wanalofanya Mind is very Powerful huwezi kuishi kwa Amani sehemu ambayo hauna amani..., Sidhani kama accomodation zimekwisha kama vipi hama hata mji mbona UK kubwa ? after all sehemu nyingine ni cheaper
 
Mimi nimeishi London - UK kwa muda mrefu sasa hivi. Kufanya stori ndefu kuwa fupi, ninaishi kwenye share accommodation na watu kutoka West Africa na mmoja kutoka Asia.

Miaka ya karibuni nimekuwa bullied. Hii nilianza ku experience kutoka kwenye organisation mojo kubwa hapa UK. Nikaamua kuacha kazi na kutafuta kwenye sector nyingine. Lakini bado wakanifuata kwenye communities kuendeleza psychological bullying(Kwa nını wana ni bullied, hii ni story ndefu).

Lakini kilichoni affect na kunisukuma kuandika hapa ni hii. Mwezi March 23 nilianza ku experience balance issue, headaches plus other health issues( nina sababu za kutoziweka wazi kwa sasa). Nikaenda kwa GP(Doctor) akaoda vipimo vya damu lakini hawakukuta chochote kilichokuwa kinasababisha hizo episodes.

Kabla ya March, nilikuwa nina spend muda mrefu nyumba wakati applications za kazi zikiwa process.
Around March nikaanza kazi nyingine kwa hüyo muda mrefu nilikuwa sipo nyumbani. Zile health issues nazo zikapotea wakati huo nikadhania labda ilikuwa ni lack of exercise na lishe.

Lakini around August nikaanza ku experience intermittently kama electrical shocks nikiwa chumbani, haşa kwenye maeneo ya kichwa na baadae ikawa kawa sharp pain ya sindano (hii ni mara chache) pamoja na shock. Pia kuna hissing sound. Halafu baadae zile health issues nazo zikarudi.

Nikahisi itakuwa ni electromagnetic fields. Nikanunua EMF detector nilipoanza kuitumia ili detect presence of EMF mpaka 564v/m. Kwa sababu readings zilikuwa juu sana nikaona labda hiki chombo kinanidanganya. Lakini baada ya muda nikipima yale maeneo kunakuwa hakuna tena EMF.

View attachment 2823423
In meantime, strength ikawa inaongezezeka nikawa nina feel hizo shocks very strong.
Zimekuwa zinanifanya nashindwa kulala vizuri. Na nina feel effect zake nikiwa
mitaani hata kazini.
Nina amini kuna mtu au watu anakifaa ambacho kina emit hizo waves. Kuna mara mbili niliamka usiku sana nikigeuka ninasikia hatua za mtu akiwa anatembea
kutoka kwenye mlango wangu wa chumba(nikiwa nimelala huwa mlango wa chumba ninafunga kwa madani).
Mara kibao nimekuwa ninaamshwa na coughs na hewa chumbani na hisi tofauti mpaka niwanje mlango wazi kwa muda ndio na kikoozi kinapungua. KUNA SIKU NINAHISI SITA HAMKA LAKINI MUNGU MKUBWA.
Nimetilia mkazo kwenye kutafuta nyumba nyingine lakini bado sijapata.

Nimesharipoti Police mara tatu.

Ninahisi kiini cha haya yote ni research ambayo wame incite racism kama ngao, kujificha na kuwasadia ku achieve wanachotaka. Wengine ni entertainment na financial gain. SOME PEOPLE ARE PURE EVIL AND SADISTIC!!
Unaajua nduguyangu tafuta kanisa la watu waliookoka wakuombee unahitaji maombi watu wanakuchezea akili
 
Naona hauko serious na maisha yako,umekuta hizo EMF ziko juu sasa kinachokufanya usipeleke hiyo taarifa police ni nini,ninavyojua mimi police wa wenzetu sio kama huku kwetu,tayari wangeshafika hapo kwako ili kufanya uchunguzi wa madai yako...
Mkuu
Nimeelezea nimesharipoti Police mara tatu. Nitaandika kwa kirefu zaidi nikiwa na muda
 
Utakuwa una matatizo ya afya ya akili. Watu wakufuatilie wewe kama nani? Una umuhimu gani au ukwasi upi hadi watu waanze kuku maindi?
Hii story wanayojenga hapa no very sensitive. Wangemjengea mweupe labda ingekuwa ni scandal na kuna watu wangekuwa wameshafukuzwa. Kumpachika Mr No body ni rahisi kutimiza wanachotaka
 
Unaajua nduguyangu tafuta kanisa la watu waliookoka wakuombee unahitaji maombi watu wanakuchezea akili
Mkuu,
Ukuhusishwa na haya mambo anza kuingiza makanisa uone kitachofuata. Hata hao watoto walio uliwa hapa UK kutokana na hizo beliefs. Walianza kuwapeleka uko uko kwenye maombi. Wachungaji nao wakawalisha matango pori. Huku kuna makanisa mengi yalishausishwa exorcism hasa wa Kongo
 
Naona hauko serious na maisha yako,umekuta hizo EMF ziko juu sasa kinachokufanya usipeleke hiyo taarifa police ni nini,ninavyojua mimi police wa wenzetu sio kama huku kwetu,tayari wangeshafika hapo kwako ili kufanya uchunguzi wa madai yako...
Sio kasema amesharipoti mara 3?
 
Hama hapo kwenye hiyo apartment mkuu mbona simple tu
 
Back
Top Bottom