Yanayonikuta London, Uingereza - Part 2

Mkuu, hivi umenisoma kweli. Nimesema kwenye report ameandika ambacho sijamwambia na report ninay na nime faili malalmiko
Story ya kwanza niliisoma pia tena kitambo sasa
Na hii ni ya pili yaani kama hadithi yenye muendelezo tu
Nasubiri part 3
 
Mkuu pole kwa changamoto, je unahisi ni sababu ipi inapelekea watumie nguvu kubwa sana kukufuatilia maisha yako?
 
Hii ndio shida ya hawa ndugu zetu kurud hawataki wanaogopa kwa kua labda hawajafanya cha maana kwenye familia zao. Sisi tunajua uingereza tena London maisha yako juu sana hata kusave ni mtihani.
 
DR HAYA LAND naomba umshauri huyu ndugu pengine kuna kitu utaweza kumsaidia
 
NHS kuna mabaya yake lakini watu wanaogopa kuwa attack. Na pia mengi yanafukiwa bila kufika public. Mafano ile ya lucy Letby malalamiko yalianzia mda mrefu lakini yalikuwa yanafukiwa kwa chin . Mum of baby girl murdered by Lucy Letby thought nurse was an 'odd loner'

Pia Kuna hizi:

 
Cha msingi mkuu fanya mpango ubadili mazingira mara moja(Rudi nyumbani au toka tu U.K) ,,Afya ni mtaji wako WA kwanza katika kila jambo unalofanya.Mtumaini Mungu sana katika kipindi hiki na chote cha maisha yako.

Kimsingi mm nilivoelewa story yako inawezekana Kuna watu kadhaa wanakuonea wivu kwa ww kupiga hatua yaani from TZ to U.K hivyo progress Yako ni kama inawafanya wasiwe comfortable na kuamua kukufanyia vitimbwili tibwili hivyo
 
Ndugu ngoja nikupe ushari ambo utaweza kukusaidia kupata majibu ya nini chanzo cha hayo unayoyaona na unayoyapitia. Hao madaktari ndio wanatumia mfuu huhuu ninaokupa katika kupata majibu ya maswali yako.

Nunua kalamu na daftari, na kisha katika daftari piga mstari katika kurasa moja yakutenganisha, siku, saa, na experience uliyoipata na activities ulizozifanya hiyo siku mpaka hiyo experience uliyoipata ikakutokea.

Kuwa unafanya ku record kila kitu ya siku ya leo mfano ni ijumaa, saa 3 asubuhi, experience hissing sound, activity labda nilifanya jambo flani na flani ndani ya hii siku mpaka nikaja kupata hii hissing sound..

Sasa ukiweza kuwa unaweka record hizi katika daftari kuna siku utakuja kugundua ama kuona kuna kitu kimoja huwa kinajirudia rudia, na kitu hicho uki study further utakuja kuona ni source ya tatizo lako ...

Research hii itakuchukua muda na lakini utakuja kupata majibu wewe mwenyewe na nini kinachokusumbua kama hutokuwa mvivu waku record hayo hapo juuu..

Mwanga na ukuongoze
 
Rudi home utibiwe mkuu ushapigwa jini baya sana.....

Wazungu hawana ubaguz huo sema wew ndo upo na shida mkuu may be Black magic inakusumbua.......
Nakuunga mkono kabisa,huyu ndugu yetu bora arudi home.Ingawa inawezekana ana Msongo wa mawazo unaompelekea kupata shida anayolalamikia
 
Mkuu kuna siku nitaandika kwa undani yote. Kifanya hivyo sasa hivi kuna mambo mengine watu wanaweza kuona ni matatizo ya akili.
Hii kupata kama electrical shocks au sharp needle pain ni rahisi watu wengi kudikiria ni matatizo ya afya ya akili au kama ilo ulilosema hapo juu. Lakini kwangu mimi hii inahuhusiano na bullying. Ila kwa sasa hivi siwezi kusema zaidi ya hapo.
Incorrect beliefs - Hii wanaamini una dark spirit ambayo ina cause mambo kutokea. Hii miaka ya nyuma hapa UK walio kuwa wanaamini ni Wa Congo, Central na West Africa. Lakini wazungu ambao ni wabaguzi wameona ndio sehemu ya kututwanga na kututupia lawama lakini hawaweki wazi. Lakini nina uhakika miaka ijayo wataongea hazarani.
 
Huyu mwamba allikua na story za kichawi ulaya, watu wamemkariri, saiv ana revoke statement zake na zinamtesa, Rudi kwenu Tanzania wapo wajinga wanaamini upuuzi wako kidogo utatulia ukikutana nao(sorry kukutukana)
Mkuu hawezi kuniamini kwa sababu haunijui zaidi ya hapa. Mimi mambo ya waganga na uchawi ni vitu ambavyo nimekuwa naweka wazi ni UONGO. Mfano mdogo tu, timu zetu za mipira za africa wamekuwa wanaamini haya mambo sana lakini wakitoka nje ya africa wanapigwa mabao ya kutosha na timu zisizo amini hayo mambo.
Haya mambo ndio yanachangia umaskini africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…