Yanayonikuta London, Uingereza - Part 2

Asante
Nina mwomba Mungu aendelee kusaidia kila hatua.
 
Mkuu, na hii ya doctor kuandika uongo kwenye report yake unasemaje?
 
Nakuunga mkono kabisa,huyu ndugu yetu bora arudi home.Ingawa inawezekana ana Msongo wa mawazo unaompelekea kupata shida anayolalamikia
Doctor kuandika "He spoke about other residents in the previous placements and how they might have place black magic on him.". Hii ni uongo na maneno ambayo watu wamekuwa wanataka kunilisha kwa muda mrefu. Mambo kama haya ndio yanachangia masongo wa mawazo.

Pia kwenye report sehemu risk aliandika: risk of retaliation. Nilipomwuliza kwenye simu afafanue aka jiuma uma bila kutoa jibu la kueleweka
 
Ninachohisi hawa watu walioko nyuma ya huu mpango wametumia mda mrefu, resources na pia pesa kutengeneza mambo ya uongo kwa hiyo hawawezi ku back down now. Wataendelea kusigini mpaka wanimalize.
Mie nakuomba useme wazi tu kuwa huna nauli ili tukuchangie urudi nyumbani.

Tanzania hakunaga hizo mambo rudi nyumbani utapata kazi pale SERIANI HOSPITAL Arusha na maisha yatakuwa mapya.
 
Hakuna cha bullying wewe una matatizo ya akili,Trustme nina ndugu yangu unayoandika hapa ni kama namsoma yeye,nenda katibiwe afya ya akili
Wacha ku divert mambo.
Ficha ujinga wako
Wewe umehitimishaje hakuna anaye ni buli. Haujuwi maisha yangu ya kila siku zaidi ya kunisoma hapa!
Again ficha upumbavu wako
 
Mkuu, na hii ya doctor kuandika uongo kwenye report yake unasemaje?
Usiwalaumu hao maana nao ni kama wewe unaweza kukosea vilevile, jaribu kuchukulia mambo katika usawa hata kama waona sio sawa, wewe wekeza nguvu yako na energy yako katika kutatua au kupata namna waweza kujua nini chanzo na tiba ya tatizo lako,

Hayo mengine yatakupotezea energy na rasilimali fedha vile vile . Jaribu hiyo njia niliyokupa huku ukifanyia maboresho kidogo kidogo kuna siku utapata majibu yake, just be patient bra
 
Bullying ilianzia wakati nina fanya kazi hospitali. Nina hisi kuna kikundi cha watu walitengeneza stori kwa mwili wangu kama vile una nguvu fulani inayo influence mambo kutokea. Mungu alivyo mkubwa kila bay niliyokuwa nimepangiwa kulikuwa hakuna matatizo makubwa yanayotokea. Lakini yalikuwa yakitokea sehemu nyingine kama crash call walikuwa kiaina wana nihusisha mimi. Wakati huo nilikuwa sina uhakika kwa asilimia mia moja kwa sababu hakuna mtu yoyote aliye nituhumu mimi moja kwa moja. Sikuweza ku report au kutafuta msaada.

Nilikuja kupata uhakika zaidi nilipoacha kazi NHS, miezi ya karibuni. Na nimekuwa nina fuatiliwa sana na watu mitaani kutoa maneno ya kuni zalilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…