makorere
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 1,970
- 1,480
OkRudi home utibiwe mkuu ushapigwa jini baya sana.....
Wazungu hawana ubaguz huo sema wew ndo upo na shida mkuu may be Black magic inakusumbua.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkRudi home utibiwe mkuu ushapigwa jini baya sana.....
Wazungu hawana ubaguz huo sema wew ndo upo na shida mkuu may be Black magic inakusumbua.......
AsanteCha msingi mkuu fanya mpango ubadili mazingira mara moja(Rudi nyumbani au toka tu U.K) ,,Afya ni mtaji wako WA kwanza katika kila jambo unalofanya.Mtumaini Mungu sana katika kipindi hiki na chote cha maisha yako.
Kimsingi mm nilivoelewa story yako inawezekana Kuna watu kadhaa wanakuonea wivu kwa ww kupiga hatua yaani from TZ to U.K hivyo progress Yako ni kama inawafanya wasiwe comfortable na kuamua kukufanyia vitimbwili tibwili hivyo
Mkuu, na hii ya doctor kuandika uongo kwenye report yake unasemaje?Ndugu ngoja nikupe ushari ambo utaweza kukusaidia kupata majibu ya nini chanzo cha hayo unayoyaona na unayoyapitia. Hao madaktari ndio wanatumia mfuu huhuu ninaokupa katika kupata majibu ya maswali yako.
Nunua kalamu na daftari, na kisha katika daftari piga mstari katika kurasa moja yakutenganisha, siku, saa, na experience uliyoipata na activities ulizozifanya hiyo siku mpaka hiyo experience uliyoipata ikakutokea.
Kuwa unafanya ku record kila kitu ya siku ya leo mfano ni ijumaa, saa 3 asubuhi, experience hissing sound, activity labda nilifanya jambo flani na flani ndani ya hii siku mpaka nikaja kupata hii hissing sound..
Sasa ukiweza kuwa unaweka record hizi katika daftari kuna siku utakuja kugundua ama kuona kuna kitu kimoja huwa kinajirudia rudia, na kitu hicho uki study further utakuja kuona ni source ya tatizo lako ...
Research hii itakuchukua muda na lakini utakuja kupata majibu wewe mwenyewe na nini kinachokusumbua kama hutokuwa mvivu waku record hayo hapo juuu..
Mwanga na ukuongoze
Doctor kuandika "He spoke about other residents in the previous placements and how they might have place black magic on him.". Hii ni uongo na maneno ambayo watu wamekuwa wanataka kunilisha kwa muda mrefu. Mambo kama haya ndio yanachangia masongo wa mawazo.Nakuunga mkono kabisa,huyu ndugu yetu bora arudi home.Ingawa inawezekana ana Msongo wa mawazo unaompelekea kupata shida anayolalamikia
Mkuu sasa hivi sina hamu ya kuendelea kuishi hapaHuyu nawaza tukambebe kwa nguvu tu maana naona anapiga chenga kurudi home .
Shida ni upweke aisee yaani maisha ya kuishi hakuna kwenda kijiweni kupata stori za hapa na pale lazima udate
Asante sanaHapo sawa.Uhai hauuzwi popote pesa zinatafutwa kaka
Ni wapi ujaelewa ni jaribu kukuelewesha?Huu Uzi nigumu sana kuuelewa. Leo kichwa kinauma sana
Mie nakuomba useme wazi tu kuwa huna nauli ili tukuchangie urudi nyumbani.Ninachohisi hawa watu walioko nyuma ya huu mpango wametumia mda mrefu, resources na pia pesa kutengeneza mambo ya uongo kwa hiyo hawawezi ku back down now. Wataendelea kusigini mpaka wanimalize.
Wacha ku divert mambo.Hakuna cha bullying wewe una matatizo ya akili,Trustme nina ndugu yangu unayoandika hapa ni kama namsoma yeye,nenda katibiwe afya ya akili
Usikute ndugu zake huku tz ndio wanampiga kipapai , acha kabisaHata kama hutaki kurudi bongo kwa muda , umeshindwa hata kuhama hilo eneo au kuepuka na kutokuwapa ushirikiano watu unaoona wanakuathiri
Usiwalaumu hao maana nao ni kama wewe unaweza kukosea vilevile, jaribu kuchukulia mambo katika usawa hata kama waona sio sawa, wewe wekeza nguvu yako na energy yako katika kutatua au kupata namna waweza kujua nini chanzo na tiba ya tatizo lako,Mkuu, na hii ya doctor kuandika uongo kwenye report yake unasemaje?
Mkuu sasa hivi sina hamu ya kuendelea kuishi hapa
Nitachangia tiketi ya kurudi nae pls. 😁Pole sana ndiyo maana nimesema kaa tayari jumamosi ,nakuja kukubeba kikubwa useme hapa Tanzania kwenu ni sehemu gani ili nikikuchukua huko ni direct mlangoni kwenu kaka
Eee kaka nitashukuru lazima arudishwe nyumbaniNitachangia tiketi ya kurudi nae pls. 😁
Bullying ilianzia wakati nina fanya kazi hospitali. Nina hisi kuna kikundi cha watu walitengeneza stori kwa mwili wangu kama vile una nguvu fulani inayo influence mambo kutokea. Mungu alivyo mkubwa kila bay niliyokuwa nimepangiwa kulikuwa hakuna matatizo makubwa yanayotokea. Lakini yalikuwa yakitokea sehemu nyingine kama crash call walikuwa kiaina wana nihusisha mimi. Wakati huo nilikuwa sina uhakika kwa asilimia mia moja kwa sababu hakuna mtu yoyote aliye nituhumu mimi moja kwa moja. Sikuweza ku report au kutafuta msaada.Hapo kweye bullying ndio ninaposhindwa kukuelewa ...nani anakufanyia bullying na kwa sababu gani? Na kuna uhusiano gani wa kufanyiwa hyo bullying na mwili wako kupata hayo maumivu? Haya ndiyo maswali yamekosa majibu ndio maana watu wengi wanakuona km una matatizo ya akili.