Yanayosemwa huko Algeria kuhusu tuhuma za kufix mechi ya Tanzania vs Algeria

Haishtui saana hata hivyo siku hizi tunakaukaribu flani na waarabu.
 
Mbona iko wazi kwamba taifa stars walipaki bus walijua tu hata sare itawaokoa ni game plan ya kocha huwezi kucheza na timu bora ukaacha mianya utapigika goli saba kama kipindi kile
 
Wanaojua mpira hata hawawezi kushangaa, tatizo ni wale wachambuzi maandazi na mashabiki mkumbo.
 
Ningekuwa natunga sheria za soka, ningesema away team iwe inakuwa na players 13 kwenye pitch while home team iwe na players 12.
 
Labda hawaujui mchezo wa mpira mkuu, unaikumbuka inter ya Mourinho? Au the special one mwenyewe team zote alizofundisha na mifumo yake, anashinda sana game za hivi, possession zako ushindi wangu,

Micho aache kulia kulia. Ishaenda hiyo
Kwa Micho hata simlaumu kwasababu ni anatetea ugali wake.
Ila hao wanaosema ety tz imeachiwa tu, either hawakuona mpira ama wameuona ila hawaujui mpira manake mpira wa sasa ni matokeo maswala ya kumiliki mpira ni ziada tu. Mfano mzuri ni timu za Mourinho kama ulivyotolea mfano, hazina historia ya umiliki wa mpira ila zina makombe.
 
Taifa Stars imefuzu hayo mengine ni upuuzi
 
Hivi kipindi International Milan inachukua UEFA champions league alicheza final na team gani vile?
 
Hao Wana hasira ya kumnyima bandari binamu Yao wa Dubai ndio maana wameamua kutuchafua,ni wivu tu😁
 
Kama yanga itakavyobebeshwa magoli na el merekh pale rwanda
 
Hao ni raia wa Uganda wanaofanya kazi za ndani algeria lakini wa algeria wenyewe hawana mda huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…