Andiko ili natamani liwe kipimo cha uhadirifu wa Taasisi ya Kupambana na Rushwa Nchini Tanzania katika moja mambo ambayo yalikuwa yananifikilisha kuhusu Afande Fatuma Kigondo ambae anadaiwa kuwa alifadhiri genge la wahuni kumbaka na kumrawiti binti wa yombo ambae kwenye kesi namba 23476 ya mwaka 2024 ilianza August 19 2024 ambapo washtakiwa walisomewa mashtaka mawili ya kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume na maumbile binti wa Yombo Dovya.katika mahakama ya hakimu mkazi Dodoma alipewa jina la Yx
mimi binafisi namtaja kila lake halisi Binti huyu Mwanaidi Mkazi wa Yombo ambae alikuja Dodoma kufanya kazi katika Pub ya Fatuma Kigondo maeneo ya Ilazo Dodoma ambapo baada ya Mwanaidi kujiingiza Katika Mahusiano ya Kimapenzi na Bwana wa Afande Fatuma Kigondo alikasirika na kuwa tuma vijana Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), MT 140105 Clinton Damas, maarufu Nyundo, Askari Magereza C.1693 Praygod Mushi, Nickson Jackson ‘Machuche’ na Amin Lema anayejulikana pia kwa jina la Kindamba kufanyia tukio ilo la kikatili
Yapo mengi yanazungumza kuhusu tukio lile kuwa Mwanaidi alikuwa ni mdangaji anaedanga katika Bar mbili maarufu Dodoma Rainbow na Bambaraga, Ili la kudanga limekuwa likishikiliwa na maafisa wengi wa Polisi ambao ni marafiki wa Fatuma Kigondo akiwemo aliyekuwa Rpc wa Mkoa wa Dodoma Theopista Mallya ambae yeye kwa ushoga wake na Afande Fatuma Kigondo alijitoa kimasomaso kumtetea na lilimkuta kwa sasa wote makao makuu ya Polisi wanasoma magazeti baada ya Kigondo nae kuhamishwa kuwa Mkuu wa Kituo cha Polisi Bungeni na kwenda Makao Makuu ya Polisi
Unaweza kujiuliza kwanini Afande Fatuma mpaka sasa yupo makao makuu anasoma magazeti na kwanini hayupo jera au mahakamani, Jibu ni RUSHWA aliyotumia fatuma kigondo kujiondoa katika kesi ya Kina nyundo na ile iliyofunguliwa na Wakili Paul Kisibo
Fatuma Kigondo baada ya msala ule alichofanya ni kuanza mawasiliano na familia ya binti wa Yombo Mwanaidi ambapo kwa msaada wa baadhi ya maafisa wa ustawi wa jamii walifanya makubaliano na wazazi wa Binti wa Yombo na Yeye Mwenyewe Mwanaidi ambapo walikubaliana kupokea Rushwa ya kiasi cha shilingi milioni mia moja na sabini na tano, 175 ambapo familia walitaka milioni mia mbili ambazo zilishindakanika kupatikana
Rushwa hii ya Milioni mia moja na Sabini 175 aliyopokea Mwanaidi na Wazazi wake ilikuwa na masharti kuwa siku ambayo ataenda mahakamani kutoa Ushahidi asimtaje kabisa Afande Fatuma kigondo kama alikuwa boss wake wala kumfam au kuhusu kwa lolote lile katika tukio alilofanyiwa na ndio maana kwa maelezo ya wakili wa utetezi Wasonga aliyekuwa anawatetea kina nyundo alisema katika Ushahidi aliotoa Binti wa yombo
alisema kuwa alikutana na mmoja ya washtakiwa akaelewana nae lakini baada akashangazwa wakiongezeka wangine Zaidi na kumpiga vibao ambapo walianza kumbaka na kumalawiti, kwa maana hiyo binti wa yombo alitekeleza makubaliano mahakamani waliyokubaliana na Fatuma Kigondo ya Kumtoa kwenye Kesi
kwa sababu kama angekili kuwa vijana hao walitumwa na Afande Fatuma basi hakimu alieyekuwa anasikiliza kesi hiyo angemuunganisha katika mashtaka afande fatuma, na huu ndio mtego uliotegwa na waandaa mashatka ili kumuondoa katika kesi hiyo Afande, ambapo mpango ulianzia wakati wa kuandaa mashatka dhidi ya kina Nyundo
Baada ya Rushwa Hii ya Milioni 175 aliyoitoa kwa familia ya Binti wa Yombo Afande alihamishia nguvu zake kwenye kesi iliyofunguliwa na Paul Kisabo ambapo wakili wake alikuwa Pater Madereka katika kesi hii iliyopigwa danadana sana mara hakimu amebadilishwa kituo na baadae kupangiwa hakimu ambae mwisho aliifuta kesi hii ambae na yeye alipokea rushwa ya Kiasi cha shilingi Milioni 30 ambazo alizipokea kutoka kwa Afande Fatuma Kigondo na mpaka sasa afande Rushwa Hii imemfanya yupo huru makao makuu ya polisi anasoma magazeti
Unaweza kujiuliza pesa zote hizi kigondo alizipata wapi, Afande fatuma alilazimika kuuza nyumba yake na kuingia mkopo katika moja ya bank nchini ili kuweza kulipa pesa hizo
Usariti dhidi ya Kina nondo Fatuma kigondo Baada ya kumaliza na Binti wa yombo aliwatumia pia wawakilishi wake kuzungumza na kina. Nyundo wakiwa mahabusu wakati kesi inaendelea ambapo walikubaliana kabisa katika kesi yao
Unaweza kujiuliza Kina Nyundo walipata wapi Mawakili wa Kuwatete kwa Haraka ipo Hivi Afande Fatuma Kigondo alitafuta Mawakili wa Kuwatetea Nyundo na Wenzie na yeye ndie aliyekuwa akimlipa mawakili malipo yote ya kesi hiyo kama wakili wa utetezi ambapo waliwadanganya Nyundo na wenzao kuwa kesi ili wanashinda kwa sababu Ushahidi wa Video Mahakamani akubaliki
na hali hii ya kuwapa matumaini Nyundo na wanzie ndio iliwafanya kujiamini kupita kiasi mpaka kufikia kutishia waandishi wa habari mahakani wakiamini watashinda kesi, lakini kumbe Mawakili Wale walikuwa kwenye kesi hiyo kwa ajili kumlinda Afande fatuma Kigondo
RUSHWA alizotoa Afande kigondo zinanipa mashaka pia dhidi ya Paul Kisabo na Wakili Madereka na wao kupokea Chochote inanifikilisha pia kuhusu ofisi ya Dpp ambapo kwa taarifa za Msemaji wa Jeshi la Poliso David Masime kuwa File la Mashtaka la Fatuma Kigondo limeshafika kwa Dpp lakini mpaka sasa kesi hiyo aijapelekwa mahakamani hii inanitia mashaka kuwa kuwa harufu ya Rushwa pia ofisi ya Dpp
Chama cha wakili ipo sababu pia kuwahoja Mawakili Pater Madereka, Wasonga na Wenzie pamoja na Paul Kisabo kwanini Walijiusisha na Sakata la Fatuma Kigondo
Kwa Leo naishi hapa, kwanini nimemtaja Mwanaidi kwa kweli nimeumizwa kwa jinsi tulivyopambana kuhakikisha haki inapatikana kumbe uku nyuma anapokea rushwa yeye na wazazi wake, watanzania walitamani pia fatuma kigondo awe nyuma ya magereza awezi kuhamishia Maisha ya Kina Nyundo magareza alf yeye akiwa mtaani akiwa kizee uku kina nyundo wakiwa wadogo wapo magareza