mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Siku mbili kabla ya derby kulifanyika kikao kati ya Kayoko,afisa wa TFF na afisa toka GSM
Bila kujua kulikuwa na mtu anawarekodi kwenye simu.
Siku ya mechi kuna maamuzi ya utata yalitokea.
Wazee wa Simba wajaja juu kuwa Kayoko aliwahujumu
TFF wanawaita wazee wa Simba kuwa wanaharibu brand ya ligi kwa kuisema vibaya.
Wazee wanatoa ushahidi wa clip
Tff wanaufyata na kumfungia Kayoko kinya kimya
Kama stori hizi ni za kweli Kayoko ameyatimba maana wazee wamesema asichezeshe mechi yao hata ya ndondo mpaka mwisho wa dunia vinginevyo wanaiachia clip