Yanayosemwa vijiweni kuhusu kufungiwa kwa mwamuzi Kayoko

Yanayosemwa vijiweni kuhusu kufungiwa kwa mwamuzi Kayoko

Siku mbili kabla ya derby kulifanyika kikao kati ya Kayoko,afisa wa TFF na afisa toka GSM
Bila kujua kulikuwa na mtu anawarekodi kwenye simu.

Siku ya mechi kuna maamuzi ya utata yalitokea.

Wazee wa Simba wajaja juu kuwa Kayoko aliwahujumu

TFF wanawaita wazee wa Simba kuwa wanaharibu brand ya ligi kwa kuisema vibaya.

Wazee wanatoa ushahidi wa clip

Tff wanaufyata na kumfungia Kayoko kinya kimya

Kama stori hizi ni za kweli Kayoko ameyatimba maana wazee wamesema asichezeshe mechi yao hata ya ndondo mpaka mwisho wa dunia vinginevyo wanaiachia clip
Mambo ya black mail kwenye soka GSM ni wahuni sio wadhamini pia wanapitisha mrungura duuh....
 
Utopolo wanaishi kiujanja ujanja watabaki sana ndondo cup kimataifa wakisogeza tu pua wanakutana na kelb ya uso
 
IRP baba Wa Taifa Mwalimu Nyerere.

Ulipigania Uhuru wa taifa letu
Ila wale maadui wanalitesa mno taifa lako Tanzania.
Nimecheka Kama Mazuri Mkuu Hiyo IRP Ndo Rest In Peace Au Hii Yako Ni Mpya?😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom