Yanayotendeka CCM ni uvunjifu wa Katiba na Udikteta, Msajili unayaona?

Membe: Kuhusu suala la urais hilo halina mjadala, nitajitosa na nitashinda
 
Mchukueni anawafaa akili zake na zenu zinafanana ya lowasa yaljirudie

Bernard Membe abaki huko huko CCM aje apambane na mgombea wa UKAWA katika uchaguzi huru utakaorudisha heshima ya Tanzania ndani na nje. Maana Bernard Membe hana hofu na ushindani.

Mwaka 2015 mwezi Juni kutoka ktk maktaba online :
Maneno mazito ya Mzee Bernard C. Membe bado yanaishi mpaka leo kwa wanaCCM ambao wanaitakia mambo makubwa zaidi nchi hii wakielekea 2020, tumsikilize :
 
Ngao ya ccm Ni vyombo vya dola.Kuvunja katiba Ni kawaida ya ccm, kama wanavunja. Katiba ya nchi yetu watashindwa kuvunja katiba ya chama chao.mambo yanayofanyika ccm Ni hatari sana.Hivi mila na desturi zina nguvu kuliko katiba ya chama? Ingekuwa wapinzani wanafanya haya msajiri angeshatoa barua zamaniii.polepole hasimamii katiba anabaki kukazania miongozo tu.
 
Mkuu polepole kashasema mgombea Wa urais anajulikana, hayo majina matatu yashawekwa kapuni tayari.polepole ameshakanyaga katiba ya ccm kitambo kwa lengo LA kumbeba mgombea wake jpm.hatari sana.poleni wanaccm.
 
Wewe vipi katiba ya CCM ndiyo ya Jamhuri Kila kiongozi awe waziri utamsikia anatamka ilani Hadi huku tunakofagia barabara
 
Sio nafasi ya kusukumizwa
 
Kama miaka mitano imeisha na hiyo mingine itakata tu.
 
Huyu jamaa huwa nashindwa kuelewa upeo wake wa fikra. Ndio maana hata maandiko yake huwa siyapitii. Anatumia nguvu kubwa sana kuonekana yupo smart ila hamna kitu.

Angekuwa smart enough angetoa muongozo katika chama alicho.

Siku wabunge wa chadema walipokacha agizo la mbowe na ester bulaya huyu jamaa alisifia na kusema ni demokrasia huku akiibeza ccm kwenye ukurasa wa inst wa Gudluck mlinga.

Walipotimuliwa bila kusikilizwa akasifia tena maamuzi ya kutimuliwa. Yaani akaikana kauli yake ya demokrasia.

Ukishawajua watu kama hawa unajua kabisa wanamtumikia nani. Unawadharau na kuwapuuza tu.
 
Reactions: tyc
Haya maneno ya umbeya mliokaririshwa lini mtaacha enyi vibwengu wa Mr slowly
 
Akiinuka kuikemea CCM njoo uchukue zawadi.
 


Hahahahaa,,,

aisee umeweka vielelezo vya kumuumbua sana huyu mnafiki na wenzake wadizaini hii..!!

Yaani kina Lijualikali walipoingia bungeni kwa kukiuka agizo la Mbowe, Yericko akasema hii ndio demokrasia imestawi chamani na walipofukuzwa chamani bado akakubaliana na maamuzi hayo tena kwa kuwazodoa,, hahaaa
 
Bw. Yericko. Wewe ni mwanachama na kiongozi kwenye muundo wa uongozi wa CHADEMA. Uchaguzi wa 2015 CHADEMA kilimpitisha Lowasa kugomea Uras bila kufuata katiba ya chama. Ulikikosoa chama chako au uliafikia na uamuzi uliofanya Mlimani City? Labda CCM wameiga utarabu wa CHADEMA ambao haukupingwa na wananchama wake.
 
Sarakasi za uchaguzi ndio zimeanza bahati mbaya yanayotokea ndani ya vyama wananchi wengi hawayaelewi. CCM wanasema wana utaratibu wao - hilo ndo chaka lao. CDM wao hubadilisha gia angani huko kwenye mawingu. Membe simuoni akitoboa labda CCM izaliwe upya. Katiba inamruhusu lakini taratibu zinagoma, na kwa vichwa vyao taratibu ziko juu ya katiba. Je Membe atakwenda mahakamani??????
 
Jibu hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…