Yanayotendeka CCM ni uvunjifu wa Katiba na Udikteta, Msajili unayaona?

Ni hatari sana bavicha wanapoililia ccm iwe safi
Naamini ccm itatawala milele kwa uoinzani huu uliokosa hoja
 
Katiba ni kama kivuli kila mtu anacho,usipoheshimu kivuli chako basi usisemee kivuli cha mwenzako.
 
Customs creates customary law. Ccm tayari hii desturi ya kukabidhiana vijiti kila baada ya miaka 10 kwa amani imeanza toka mwaka 1984. Wewe hujui mambo ila unaandika kujifurahisha tu. Tayari kwa Ccm hii imeshakuwa ni sehemu ya taratibu zao. Maana ni zaidi ya miaka 36 sasa tayari wameshakubaliana iwe hivyo.
 
We naye ni kilaza tu kuandika vijitabu vyako hivyo hivyo kwa kukopi ndo unajiona wa maana tu eakati ni muosgs viatu vya mbowe MTU hata haujasoma unaishi kiujanja ujanja tu mjini uongelee mambo mahumu shutup
 

Bro, two wrongs dont make a right. Tushughulike basi angalau turuhusiwe kuzungumzia wrongs zote mbili.
 
Sijawahi kukuona ukihoji billion 8 za michango ya wabunge wa Chadema zimetumika wapi, unakuja kuhoji hela za daraja la Ubungo ambalo wewe mwenyewe unapitisha makalio yako hapo kila siku?
 

Juni 21, 2020
Lindi, Tanzania

TAMKO JIPYA LA LEO LA BERNARD MEMBE KUHUSU KUGOMBEA URAIS WA TANZANIA 2020
Bernard Membe leo asema : nipo tayari kujipima na Rais na kama Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya CCM ikikubali iliteleza basi hata jumatatu nitaenda Dodoma kuchukua fomu ya kutia nia na kuanza kusaka saini za wadhamini ktk mikoa yote ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania


Source: Lindi Yetu TV
 
Msajili wa vyama aikemee CCM?
Thubutuuuuuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…