Yanayotokea hapa Dodoma nje na ndani ya bunge katika bunge la katiba kwa leo

Yanayotokea hapa Dodoma nje na ndani ya bunge katika bunge la katiba kwa leo

Tony Gwanco

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
5,913
Reaction score
1,215
Muda huu hapa Dodoma wabunge wa Bunge la Katiba wanajiandaa kuingia ukumbini huku suala la nani awe spika wa bunge hili likiwa ni kubwa kwa siku ya leo,

Waheshimiwa Pandu, Sitta, Lisu yanatajwa.kwa wale mlipo nje ya Dodoma na media karibun JF tupeane updates.
 
Watz tunasubiri kwa hamu, wenye uwezo na nafasi msichoke kutujuza, macho, masikio ni Dodoma. Mungu ibariki Tanzania
 
Je! ni nani atakuwa mwenyekiti wa muda ili kumpata mwenye kiti wa bunge la katiba? je ni nini tofauti kati ya mwenyekiti wa bunge la katiba na spika? lakini je ni kanuni zipi zitatumika kwenye bunge la katiba! au wataanza kutunga kanuni kwanza? je spika wa bungu la tanzania na naibu wake wana mahusiano yoyote na bunge la katiba? mwisho ni nani basi mtoa hoja?
 
mkuu #twijuke maswali yako tuliwekewa hapa uzi kuhusu muundo wa bunge la katiba pitia hapo kwanza uzi upo jukwaa hilihili.hapa tunajadili kazi za bunge za leo
 
Wana Jf nawaalika kwenye jukwaa la katiba mpya tukajadili mambo ya msingi, na kujua nini kinaendelea dodoma kwa msitakabali wa afya ya nchi yetu.
 
Utaratibu wa alphabetical order ndio utakaotumika katika kupanga ukaaji ndani ya Bunge la Katiba na sio kwa mtindo wa vyama au tasisi.

Hii ina maana jina la mjumbe ndio litaamua akae wapi.

CHANZO:TBC 1

MY TAKE:
It is a good move!
 
Kwa mbali namwona mjumbe mmoja mzee hivi
Ni yule aliyeingia kwa tiketi ya kundi maalumu la wachawi
Namwona akiteta jambo la wajumbe kadhaa bila shaka wajumbe wenzie wanamwamkia kutokana na uzee wake
 
Itasaidia kuwazuia baadhi ya watu wanaowatumia vimemo wenzao kuwatisha kwamba watawashughulikia.
 
^^
Good start, na upigaji kura uwe secret ballot..sio mambo ya ndiyooo au hapanaaa
Historia itawahukumu
^^
 
Kwanini wasimteue/kumchagua mtu ambaye hana chama kwani makundi ya wanaharakati yamewakilishwa.

Muda huu hapa Dodoma wabunge wa Bunge la Katiba wanajiandaa kuingia ukumbini huku suala la nani awe spika wa bunge hili likiwa ni kubwa kwa siku ya leo,

Waheshimiwa Pandu, Sitta, Lisu yanatajwa.kwa wale mlipo nje ya Dodoma na media karibun JF tupeane updates.
 
Hizo mbwembwe tu hapo swala hatutaki tume huru ya uchagizi wala serikali tatu hatutaki machafuko sie.

CCM for life....
 
Zitto kabwe atakaa pamoja na zuberi Mtemvu.Joshua Nassari na Job Ndugai.Freeman Mbowe na Fenera mkangara.Dah hapa kazi ipo
 
Back
Top Bottom