Yanayotokea hapa Dodoma nje na ndani ya bunge katika bunge la katiba kwa leo

Yanayotokea hapa Dodoma nje na ndani ya bunge katika bunge la katiba kwa leo

Je! ni nani atakuwa mwenyekiti wa muda ili kumpata mwenye kiti wa bunge la katiba? je ni nini tofauti kati ya mwenyekiti wa bunge la katiba na spika? lakini je ni kanuni zipi zitatumika kwenye bunge la katiba! au wataanza kutunga kanuni kwanza? je spika wa bungu la tanzania na naibu wake wana mahusiano yoyote na bunge la katiba? mwisho ni nani basi mtoa hoja?

Mkuu kwa haya maswali ni kama tulikuwa tunafikiria sawa... Anyway nasubiria majibu kwa hamu kubwa:whistle:
 
Sitta haukuomba ua ndo hakuqualify? mmmh.. hizo qualifications labda ziko kiccm ccm...
 
TBC naona bado wanaonesha katuni hakuna anayejua kinachoendelea?
 
Back
Top Bottom