Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,215
- Thread starter
- #21
Vipi ni kweli kwamba Dodoma kwasasa bei za bidhaa na huduma zimepanda sana?
kweli mkuu hapa bei za vitu hazi kamatiki ni noumer sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi ni kweli kwamba Dodoma kwasasa bei za bidhaa na huduma zimepanda sana?
masawali ya MSINGI SANA HAYAJe! ni nani atakuwa mwenyekiti wa muda ili kumpata mwenye kiti wa bunge la katiba? je ni nini tofauti kati ya mwenyekiti wa bunge la katiba na spika? lakini je ni kanuni zipi zitatumika kwenye bunge la katiba! au wataanza kutunga kanuni kwanza? je spika wa bungu la tanzania na naibu wake wana mahusiano yoyote na bunge la katiba? mwisho ni nani basi mtoa hoja?
Hizo mbwembwe tu hapo swala hatutaki tume huru ya uchagizi wala serikali tatu hatutaki machafuko sie.
CCM for life....
TBC 1 Watarusha matangazo ya bunge maalum la katiba saa 9:00 alasiri.
Sasa ni zoezi la kumchagua nwenyekiti wa muda na waliqualify ni wanne
mgombea wa kwanza pandu amir kificho kujieleza kwa dk 3 then atapigwa maswali matatu
Nani na nani walio-qualify...??