Yanayotokea hapa Dodoma nje na ndani ya bunge katika bunge la katiba kwa leo

masawali ya MSINGI SANA HAYA
 
TBC 1 Watarusha matangazo ya bunge maalum la katiba saa 9:00 alasiri.
 
Sasa ni zoezi la kumchagua nwenyekiti wa muda na waliqualify ni wanne
 
Nini kinaendelea huko Dodoma jamani tupeni updates.
 
mgombea wa kwanza pandu amir kificho kujieleza kwa dk 3 then atapigwa maswali matatu
 
Nani na nani walio-qualify...??

Sikuweza kutake note hope wakati wanajieleza utawajua.

Swali kwa Pandu juu ya elimu amesema amemaliza form six then akapata adv. ya sheria mzumbe.
 
Selikali moja ndio mpango binafsi naona ndio itakua mwalobain wa matatizo in mtazamo wangu 2, jamani
 
1.pandu amir kificho.2.sadifa juma hamis.3.prof coster maharu.4.....magdalena rwebangila updetes.sadifa juma hamis amejitoa
 
Mgombea wa pili ni Sadiffa Khamis naye anajieleza mbunge wa jimbo la Donge anaelimu masters sijui ya nini hata hivyo amejitoa na ameomba wamuunge mkono mzee pandu kificho.
 
silinde anauliza swali kwa mgombea magdalena ambaye ni mwanamke pekee ktk wagombea
 
Mgombea wa tatu ni Magdalena Rubangira anastashahada ya sheria anauzoefu wa kueendesha makongamano sehemu mbali mbali ya kitaifa na kimataifa.
Swali toka kea D. Silinde kunatofauti gani kuendesha bunge na na mikutano yataasisi utawezaje nukabiliana na changamito
Jibu analijua hilo atajitahidi kuwaingoza
 
Zamu sasa ya prof. Costa Mahalu ni proffesaor wa sheria anafundisha shera katika chuo kikuu cha SAUT na Bagamoyo univasity pia ni mwanasheria.

Pia alikuwa mwenyekiti wa shirika la chakula duniani.
Swali toka kwa Tundu lisu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…