Je! ni nani atakuwa mwenyekiti wa muda ili kumpata mwenye kiti wa bunge la katiba? je ni nini tofauti kati ya mwenyekiti wa bunge la katiba na spika? lakini je ni kanuni zipi zitatumika kwenye bunge la katiba! au wataanza kutunga kanuni kwanza? je spika wa bungu la tanzania na naibu wake wana mahusiano yoyote na bunge la katiba? mwisho ni nani basi mtoa hoja?