Yanayotokea katika ulevi

Hakuna papuchi tamu kama papuchi ya mlevi, sasa hapo mkutane nyote mmelewa aiseee. Abitoke unaweza kuwita Kim Kardashian mama...e ulevi. Nilitangaza ndoa nikiwa nimelewa kufika asubuhi ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️ sura mbaya kama makalio ya nyani🙊🤣🤣


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Walishaniambia saaana na sijawahi thubutu kuionja! Ondoa shaka kwenye hilo
Kama hujawahi kunywa usije kunywa pombe kali kama bia 1 kunywa usije kuzidisha. Unaweza kusema ambayo yalikuwa moyoni tokea upo la5.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Kama hujawahi kunywa usije kunywa pombe kali kama bia 1 kunywa usije kuzidisha. Unaweza kusema ambayo yalikuwa moyoni tokea upo la5.


Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hahaha hahaha hahaha
Ndo maana huwa naishia kuziona kwa glass tuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo umewaza nini jf bhana raha hua nashangaa sana kukuta simu ya mtu haina application ya jamii forum hua namuona kama akili zake haziko sawa
 
Mimi nilisikiaga eti ukitaka usilewe haraka usichanganye vinywaji yaani kama umeanza kunywa beer aina ya Windhoek au Heineken basi endelea nayo hiyo hiyo moja unaweza fikisha hata chupa kumi haujalewa

Ila ukianza kuchanganya unaanza na Windhoek unakuja Heineken halafu unarukia kwenye wine unaanza na Dompo unakuja Robertson hapo haufiki mbali unakuwa umeshalewa jumlisha maluweluwe na vimulimuli juu sasa mimi sijui hayo ni kwa mujibu wa walevi waliokubuhu
 

Naweza kukujibu kisayansi ila siyo ki nadharia , mwili huwa unaweza ku detect kuwa hii ni pombe (siyo kitu kizuri) then haikipeleki kwenye normal digestion system(/send it kwa obongo) baada ya kunywa kama bia zaidi ya tatu, so ukibadilisha mwili unaanza ku-learn the new trend wakati huo huo inaruhusu alcohol kwenda kwa obongo, ndiyo mana ukiwa unabadilisha bia unalewa sana
 
Oohh kumbe.
 
Kuna wengine wakifika chupa ya nne wanaanza kupata hisia za kufa kufa, hivyo huanza kulia, kwa kupiga kelele na kusababisha tafrani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Mimi nikiingia bar kama hakuna dem mzuri, huwa naskilizia walau niopoe japo baamedi.

Chupa ya 1 baamedi huwa namuona mbaya

Chupa ya 2 huwa namuona kama anaanza kubadilika

Chupa ya 3 huwa najiuliza sana au itakuwa nilimtizama vibaya

Chupa ya 4 huwa naona kumbe si mbaya

Chupa ya 5 huwa namuona kama ameanza kubadilika na kuwa mzuri

Chupa ya 6 huwa namuona kumbe mzuri

Chupa ya 7 huwa namuona mzuri sana ila nilijidanganya

Chupa ya 8 naondoka nae maana huwa namuona kama binti tena ndio amemaliza Form IV vile [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

Sio kweli ila ni mawazo yangu tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…