Yanayotokea katika ulevi

Yanayotokea katika ulevi

Hakuna papuchi tamu kama papuchi ya mlevi, sasa hapo mkutane nyote mmelewa aiseee. Abitoke unaweza kuwita Kim Kardashian mama...e ulevi. Nilitangaza ndoa nikiwa nimelewa kufika asubuhi ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️ sura mbaya kama makalio ya nyani🙊🤣🤣


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Walishaniambia saaana na sijawahi thubutu kuionja! Ondoa shaka kwenye hilo
Kama hujawahi kunywa usije kunywa pombe kali kama bia 1 kunywa usije kuzidisha. Unaweza kusema ambayo yalikuwa moyoni tokea upo la5.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Kama hujawahi kunywa usije kunywa pombe kali kama bia 1 kunywa usije kuzidisha. Unaweza kusema ambayo yalikuwa moyoni tokea upo la5.


Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hahaha hahaha hahaha
Ndo maana huwa naishia kuziona kwa glass tuu
 
INAVYOTOKEA WAKATI WA UNYWAJI WA BIA

Chupa ya bia [emoji898] ya kwanza huwa haileti hisia yoyote. Mnywaji humaliza chupa hiyo bila kuona matokeo yoyote zaidi ya kupoza koo... Na mara nyingi huwa mkimya, pengine huwa anasoma gazeti lake au kwa siku hizi anawasiliana na ndugu na jamaa kupitia simu yake.

Chupa ya bia [emoji898][emoji898]ya pili, kimsingi ndipo mazungumzo ya awali na wanywaji jirani huanza na haya huwa mazungumzo ya busara, yakihusu muelekeo wa ligi mbalimbali, siasa, idadi za ajali na kadhalika na wakati huu hata takwimu hutolewa zilizo sahihi....
Mtu anaweza kukutajia wachezaji wote wa ligi daraja la tatu la huko Ujerumani bila kukosea, hata idadi ya wachezaji wa Yanga bila kukosea.. Ila wakati huu kama unaanzisha mashindano ya kucheua ni wakati mzuri kwani bia ya pili huongeza hisia za kucheua.

Chupa ya bia [emoji898][emoji898][emoji898]ya tatu, huanza kumfanya mnywaji aanze kusikia furaha na pia huu huwa wakati ambapo karanga na korosho huliwa sana.... Pamoja na mazungumzo kuhusu mpira na siasa, ghafla mazungumzo kuhusu michepuko huanza kujitokeza.....

Chupa ya bia [emoji898][emoji898][emoji898][emoji898]ya nne, huanza kusababisha masikio yaanze kupoteza nguvu za kusikia kwani utaona mnywaji ghafla amepandisha sauti, na ukijumlisha na kuwa baa zetu huwa na muziki una kelele utadhani waliopo wote wana matatizo ya kusikia..... bia hii humsaidia kuongea kwa nguvu kushindana na kelele za muziki.

Chupa ya bia [emoji898][emoji898][emoji898][emoji898][emoji898]ya tano, ni hatari kidogo kwani ukiinuka kwenda chooni mara nyingi unarudi hujafunga zipu......na kipindi hiki ni kibaya kwa wanywaji wa kike maana unaweza kumkuta akienda chooni akijiangalia kwenye kioo anaanza kulia peke yake na kulalamika; ‘Mi sipendwi mpaka leo sijaolewa’ au ‘ Mume wangu sijui yukoje hanijali’
Japokuwa lazima isemwe ukweli ukifikisha bia hii, maisha ni raha sana unaweza ukaanzisha shoo ya kukata mauno katikati ya baa na kudai wewe ni mkali kuliko Shilole.

Kuanzia chupa bia[emoji898][emoji898][emoji898][emoji898][emoji898][emoji898][emoji482] ya sita, na kuendelea, chochote utakachosema au kufanya ni wazi kesho yake asubuhi utajilaumu sana. ....... ...Kuna watu husema ukilewa ndipo unakuwa mkweli, hivyo basi wakati huu hata bosi wako akitokeza unamueleza ukweli jinsi alivyo fala na hajui kuendesha kampuni.
Au unasema ukweli jinsi unavyompenda mke wa jirani yako ambaye mmekaa mnakunywa naye. Kimsingi uwezekano wa kutapika pia upo karibu na kama umekaa na mchumba wako huu ni muda ambao pia uchumba unaweza kuvunjika.......

View attachment 1123831

View attachment 1123832

View attachment 1123834

View attachment 1123835

View attachment 1123836

View attachment 1123837
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo umewaza nini jf bhana raha hua nashangaa sana kukuta simu ya mtu haina application ya jamii forum hua namuona kama akili zake haziko sawa
 
Sitoka fikiria kuacha pombe kamwe
IMG-20190427-WA0002.jpeg
 
Mimi nilisikiaga eti ukitaka usilewe haraka usichanganye vinywaji yaani kama umeanza kunywa beer aina ya Windhoek au Heineken basi endelea nayo hiyo hiyo moja unaweza fikisha hata chupa kumi haujalewa

Ila ukianza kuchanganya unaanza na Windhoek unakuja Heineken halafu unarukia kwenye wine unaanza na Dompo unakuja Robertson hapo haufiki mbali unakuwa umeshalewa jumlisha maluweluwe na vimulimuli juu sasa mimi sijui hayo ni kwa mujibu wa walevi waliokubuhu
 
Mimi nilisikiaga eti ukitaka usilewe haraka usichanganye vinywaji yaani kama umeanza kunywa beer aina ya Windhoek au Heineken basi endelea nayo hiyo hiyo moja unaweza fikisha hata chupa kumi haujalewa

Ila ukianza kuchanganya unaanza na Windhoek unakuja Heineken halafu unarukia kwenye wine unaanza na Dompo unakuja Robertson hapo haufiki mbali unakuwa umeshalewa jumlisha maluweluwe na vimulimuli juu sasa mimi sijui hayo ni kwa mujibu wa walevi waliokubuhu

Naweza kukujibu kisayansi ila siyo ki nadharia , mwili huwa unaweza ku detect kuwa hii ni pombe (siyo kitu kizuri) then haikipeleki kwenye normal digestion system(/send it kwa obongo) baada ya kunywa kama bia zaidi ya tatu, so ukibadilisha mwili unaanza ku-learn the new trend wakati huo huo inaruhusu alcohol kwenda kwa obongo, ndiyo mana ukiwa unabadilisha bia unalewa sana
 
Naweza kukujibu kisayansi ila siyo ki nadharia , mwili huwa unaweza ku detect kuwa hii ni pombe (siyo kitu kizuri) then haikipeleki kwenye normal digestion system(/send it kwa obongo) baada ya kunywa kama bia zaidi ya tatu, so ukibadilisha mwili unaanza ku-learn the new trend wakati huo huo inaruhusu alcohol kwenda kwa obongo, ndiyo mana ukiwa unabadilisha bia unalewa sana
Oohh kumbe.
 
Kuna wengine wakifika chupa ya nne wanaanza kupata hisia za kufa kufa, hivyo huanza kulia, kwa kupiga kelele na kusababisha tafrani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Mimi nikiingia bar kama hakuna dem mzuri, huwa naskilizia walau niopoe japo baamedi.

Chupa ya 1 baamedi huwa namuona mbaya

Chupa ya 2 huwa namuona kama anaanza kubadilika

Chupa ya 3 huwa najiuliza sana au itakuwa nilimtizama vibaya

Chupa ya 4 huwa naona kumbe si mbaya

Chupa ya 5 huwa namuona kama ameanza kubadilika na kuwa mzuri

Chupa ya 6 huwa namuona kumbe mzuri

Chupa ya 7 huwa namuona mzuri sana ila nilijidanganya

Chupa ya 8 naondoka nae maana huwa namuona kama binti tena ndio amemaliza Form IV vile [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

Sio kweli ila ni mawazo yangu tu!
 
Back
Top Bottom