Yanayotokea katika ulevi

Yanayotokea katika ulevi

Mimi nikiingia bar kama hakuna dem mzuri, huwa naskilizia walau niopoe japo baamedi.

Chupa ya 1 baamedi huwa namuona mbaya

Chupa ya 2 huwa namuona kama anaanza kubadilika

Chupa ya 3 huwa najiuliza sana au itakuwa nilimtizama vibaya

Chupa ya 4 huwa naona kumbe si mbaya

Chupa ya 5 huwa namuona kama ameanza kubadilika na kuwa mzuri

Chupa ya 6 huwa namuona kumbe mzuri

Chupa ya 7 huwa namuona mzuri sana ila nilijidanganya

Chupa ya 8 naondoka nae maana huwa namuona kama binti tena ndio amemaliza Form IV vile [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

Sio kweli ila ni mawazo yangu tu!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pombe raha sana unakunywa inaenda tumboni unalewa kichwa me huwa nakuwa mpole tu hata kelele wala nn sipigi unakuwa kama unatafakar neno la leo
 
Kwakweli hao ni vichwa panzi..jaman boa 6 unafikia hizo stage??mhh..bas acheni pombe jaman
 
Back
Top Bottom