Mimi nikiingia bar kama hakuna dem mzuri, huwa naskilizia walau niopoe japo baamedi.
Chupa ya 1 baamedi huwa namuona mbaya
Chupa ya 2 huwa namuona kama anaanza kubadilika
Chupa ya 3 huwa najiuliza sana au itakuwa nilimtizama vibaya
Chupa ya 4 huwa naona kumbe si mbaya
Chupa ya 5 huwa namuona kama ameanza kubadilika na kuwa mzuri
Chupa ya 6 huwa namuona kumbe mzuri
Chupa ya 7 huwa namuona mzuri sana ila nilijidanganya
Chupa ya 8 naondoka nae maana huwa namuona kama binti tena ndio amemaliza Form IV vile [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Sio kweli ila ni mawazo yangu tu!