Yanayotokea katika ulevi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Siku hizi forum haina Jipya
Nyuzi nyingi ni marudio na zaidi sana ufacebook mwingiii
 
Pombe raha sana unakunywa inaenda tumboni unalewa kichwa me huwa nakuwa mpole tu hata kelele wala nn sipigi unakuwa kama unatafakar neno la leo
 
Kwakweli hao ni vichwa panzi..jaman boa 6 unafikia hizo stage??mhh..bas acheni pombe jaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…