Unajua nilikuwa busy busy na mambo yangu, nikajua sitapata muda wa kuangalia mechi! Nilichofanya, baadae sana nikaingia Instagram kwa lengo moja tu: Kuangalia First 11.Unapigwa mwingi sana yaani mpaka unamwagika,mara Aucho, Bangala, Fei toto Muloko....... kudadadadekiiiii huuu mwaka huu
Baada ya kuiona line-up, nikajiuliza ni nani wa kutoka hapai! Nikaendelea na shughuli zangu nikiwa na amani kwa 100%!