Yanga 2-0 Azam FC | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

Yanga 2-0 Azam FC | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

Msimu wa 2020/2021 Yaanga Mlianza Hivi Hivi, Muwe na Kumbukumbu na Mlikuwa mnajiita Unbeaten [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbuka hiyo ilikuwa Yanga bila Dk Aucho, Yanick Litombo Bangala, Djuma Shabaan Solder ya Bemba, Jersy Ducaoel Moloko etc. Yanga ya Sasa Ni fire, ukiigusa unaungua papo hapo. Makolo mpooo hapo
 
Mpira ulikuwa haujatoka.

Kumbuka kocha wa Utopolo aliomba apewe miezi 3, ikifika hiyo miezi 3 sijui itakuwaje!!!!
Kocha wa Utopolo anasema bado mwezi mmoja!

Aisee, TFF mechi yetu na Utopolo tuichezi kabla ya huo mwezi mmoja la sivyo tutakosa sehemu ya kuficha sura zetu.

Screenshot_20211031-153611_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom