Yanga 2-1 Biashara United | Ligi Kuu | Benjamin Mkapa

Mm nilitamani kabla ya kutoa mkwanja tff angeboresha kwanza live kwa kuongeza camera na ubora ,kuna matokeo mengi ya mechi yanakuja kuonekana baadae mechi ishaisha
TFF wakishapata ulaji kulisha matumbo yao huwa hawajali kuhusu mashabiki au ligi
 
Reactions: Lee
Hivi huyu Bryson Rafael ni mchezaji kweli?. Kocha hamuoni kabisa. Kila mpira anachomesha
 
Leo Feisal mpira umemkataa
 
Mkuu sio kwamba Azam Bakhresa hataki kuwa na camera nyingi uwanjani Ila Camera za live broadcasting zina gharama kubwa sana na ndio maana huwa anaziongeza taratibu kwa kadri ya uwezo wake
Atafute sasa yeye si anataka kufanya biashara world wide
 
Kona inapigwa kuelekezwa biashara na mpigaji ndo ntibayonkiza
 
Refa huyu anataka kusemaje hapa ebu ngoja tuone tafsiri yake ni nini hapa
 
Reactions: Lee
Moloko alikua anafanya cheating kwa kujiangusha kwenye penalty box na refa kamstukia kamchapa yellow card
 
Reactions: Lee
Biashara united wanacheza sana offside
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…