zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
Ila halina faidaTobo la maana anakula mtu hapa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila halina faidaTobo la maana anakula mtu hapa....
Hahaha ila kapigwa njano ya kwanza kwA kujiangusha yenyewe umeonekana sawasio haionekani vizuri wameamua kufanya hivyo just kuwafichia aibu watu wasione clearly walivyo bebwa
Ngoja mpira uishe kwanza tutakuja hapa na clips kama ambavyo nyinyi milikuja na clips kwenye mechi ya geitaMkuu tuzungumzie hii mechi kwanza. Ulivyoona moloko kajidondosha au kasukumwa?
Kweli maana hata mechi na simba alibebwa sanaVyura bila msaada wa marefa ni wepesi kama kipande cha Toilet Paper Chooni
Vyura bila msaada wa marefa ni wepesi kama kipande cha Toilet Paper Chooni
Mbeleko haijatumika hapo bana😂😂Najua chini ya sakafu ya moyo wako unajua kuw ammebebwa,hata Nabi analijua hilo[emoji3][emoji3]
Sawa mkuu nangojea clip inayoanzia tokea kwenye mkimbio mpaka kudondoka kwakeNgoja mpira uishe kwanza tutakuja hapa na clips kama ambavyo nyinyi milikuja na clips kwenye mechi ya geita
Hapana tujifunze kuwa na shukrani hata kama tumelipa kwa ajili ya hili lakini asingekuwa mwaminifu angeweza kupeta na kutuacha na sareHakuna ni halali kabisa
Ile sio mbeleko, ile ni crane kabisaMbeleko haijatumika hapo bana😂😂
😂😂😂 dah mkuu unaniuaaIle sio mbeleko, ile ni clane kabisa
Siku marefa wakiamua kuwatelekeza mjue kabisa hamna namna mnayoweza kushinda, mpaka sasa mngekuwa mmepigwa na Namungo na hii Labda ingekuwa ni draw.Makolo wanawashwa washwa
HeeeMayele out
Mwamnyeto in
Hapana mkuu unajua hili kombe msimu huu ni letu, ishatengwa fungu kwenye shughuli ngumu kama hizi😂😂😂 dah mkuu unaniuaa
Vipi goli lililokataliwa je kweli kipa wa biashara kachezewa faulo?Dk 3 za nyongeza kuelekea kumalizika kipindi cha pili
Tunajua ile sio mieleka bali ni taarabu, ndiomaana wachezaji hawatakiwi kushikana si ndio ? [emoji16]Tulia wewe Kolo unadhani ni mieleka ile