Yanga 2-1 Biashara United | Ligi Kuu | Benjamin Mkapa

Yanga 2-1 Biashara United | Ligi Kuu | Benjamin Mkapa

Vyura bila msaada wa marefa ni wepesi kama kipande cha Toilet Paper Chooni
 
sio haionekani vizuri wameamua kufanya hivyo just kuwafichia aibu watu wasione clearly walivyo bebwa
Hahaha ila kapigwa njano ya kwanza kwA kujiangusha yenyewe umeonekana sawa
 
Mkuu tuzungumzie hii mechi kwanza. Ulivyoona moloko kajidondosha au kasukumwa?
Ngoja mpira uishe kwanza tutakuja hapa na clips kama ambavyo nyinyi milikuja na clips kwenye mechi ya geita
 
Vyura bila msaada wa marefa ni wepesi kama kipande cha Toilet Paper Chooni

Aisee hadi aibu,kila wakielemewa tu unaona kabisa Refa anatafuta kila namna kuwachomoa[emoji3][emoji3]
 
Ngoja mpira uishe kwanza tutakuja hapa na clips kama ambavyo nyinyi milikuja na clips kwenye mechi ya geita
Sawa mkuu nangojea clip inayoanzia tokea kwenye mkimbio mpaka kudondoka kwake
 
Dk 3 za nyongeza kuelekea kumalizika kipindi cha pili
 
Back
Top Bottom