Vesuvius
JF-Expert Member
- Jun 27, 2021
- 2,478
- 5,102
Naunga mkono utabiri wakoMarumo hamsa yanga sufri nimekaa palee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono utabiri wakoMarumo hamsa yanga sufri nimekaa palee
Baada ya mechi hiyo kesho, kauli zitabadilika ghafla na kuwa hivi; Yanga imecheza na timu dhaifu inayokaribia kushuka daraja. Ndiyo maana imefuzu kirahisi.Yanga safari imefika tamati
Umkontho we Sizwe utawachoma hamtaaminiBaada ya mechi hiyo kesho, kauli zitabadilika ghafla na kuwa hivi; Yanga imecheza na timu dhaifu inayokaribia kushuka daraja. Ndiyo maana imefuzu kirahisi.
Endeleleeni tu kuichukulia poa klabu bora kabisa katika ukanda wetu huu wa Afrika ya Mashariki na Kati. Hakuna cha simba, wala fyokofyoko!Umkontho we Sizwe utawachoma hamtaamini
BlalifvckeUtabir tambitambi huu hapa
2-0 to penalty shout out Marumo atatoboa
Or
3-3 Yanga atapita..
Niko bunda
#YNWAView attachment 2623853
Babako?Stvpid0
USIFUTE HUU UZI KESHO. NTARUDI MIDA KAMA HIITusijihangaishe sana, mechi siku ya Jumatano imeisha kihivyo. Achana na tabiri uchwara zote ambazo umezisoma mahali, haya ndio matokeo ya Jumatano.
#YoungFc35
Si useme tu umekalia paleMarumo hamsa yanga sufri nimekaa palee
🤔😆😂 Musiba akitafakari jinsi ya kusababisha msiba mwingine, this time around kwa Malumo Gallants.Utabir tambitambi huu hapa
2-0 to penalty shout out Marumo atatoboa
Or
3-3 Yanga atapita..
Niko bunda
#YNWAView attachment 2623853