Yanga 6 Simba 1

Yanga 6 Simba 1

Rodwell mTZ

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2012
Posts
1,455
Reaction score
1,621
Hamjambo Wana wa JF, kulingana na kichwa cha uzi huu hiyo ni ndoto niliyoota usiku wa kuamkia leo tarehe 25, nimeona ubao mkubwa Sana wenye maandishi manene "Yanga 6 Simba 1" .
Naomba asitokee mtu kunihukumu hiyo ni ndoto tu,nawatakia jumapili njema.
 
Mshana jr njoo huku inaeleke kilinge kimegoma kwa ndoto hii
 
Hamjambo Wana wa JF, kulingana na kichwa cha uzi huu hiyo ni ndoto niliyoota usiku wa kuamkia leo tarehe 25, nimeona ubao mkubwa Sana wenye maandishi manene "Yanga 6 Simba 1" .
Naomba asitokee mtu kunihukumu hiyo ni ndoto tu,nawatakia jumapili njema.
Sijasoma content ila nadhan hapa ulimaanisha Faulo
 
Hamjambo Wana wa JF, kulingana na kichwa cha uzi huu hiyo ni ndoto niliyoota usiku wa kuamkia leo tarehe 25, nimeona ubao mkubwa Sana wenye maandishi manene "Yanga 6 Simba 1" .
Naomba asitokee mtu kunihukumu hiyo ni ndoto tu,nawatakia jumapili njema.
Ndoto ya mwendawazimu hiyo
 
Back
Top Bottom