Rodwell mTZ
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,455
- 1,621
Hamjambo Wana wa JF, kulingana na kichwa cha uzi huu hiyo ni ndoto niliyoota usiku wa kuamkia leo tarehe 25, nimeona ubao mkubwa Sana wenye maandishi manene "Yanga 6 Simba 1" .
Naomba asitokee mtu kunihukumu hiyo ni ndoto tu,nawatakia jumapili njema.
Naomba asitokee mtu kunihukumu hiyo ni ndoto tu,nawatakia jumapili njema.