Yanga: A case Study

Hebu eleza sababu zilizofanya mchezo uhairishwe,
Tuanzie hapa
 
Mleta mada mpaka muda huu TFF wametoa sababu kwa Nini mechi ilisogezwa muda ?maana hata Jana waziri mkuu aliliongelea Hilo swala bungeni lakini sijasikia sababu yoyote .Unaposema kufa na ajali hivyo Ni vitu 2 tofauti kabisa Tff wanamakosa Sana na ndio maana hawaeezi kuibana yanga kulipa faini .Hata wewe sidhani km unajua sababu acheni ushabiki madazi ili soka la Tanzania liweze kujua.
 
wangewajali hata mashabiki wao waliojaa pale uwanjani
 
wangewajali hata mashabiki wao waliojaa pale uwanjani
Kwani hukuona mashabiki wa yanga tulitoka pamoja Basi la wachezaji Ina maana hatukufurahia huo ujinga wa tff na Simba maana mpaka leo hatujajua sababu ilikuwa Ni Nini ? Ingalau tungejua sababu tungeanzia hapo kujadili .
 
Tatizo mwanamke kumuelewesha issue za soka ni ngumu kukwelewa.

Sababu ya TFF mbona ilikuwa wazi?

TFF alielekezwa na serikali.Sasa tunayepaswa kumuuliza ni serikali alikuwa na sababu gani?Kama vile haitoshi,waziri mwenye dhamana ya michezo,ni utopolo halisi.Sasa atuambie alikuwa na sababu gani ambazo walikubaliana na timu yake ili baadae timu yake ikimbie kucheza mechi?
 
Kuna upumbafu wa Hali ya juu sana

Huwa hakuna tamko lisiloandikiwa barua

Tff barua Yao ingeambatana na barua ya wizara wala Yanga asingekataa


Hii ni inshu ya Simba Tu ili iahilishwe wajifiche wasionwe na timu zilizoingia robo fainali

Kichwa mandazi
 
Kila kitu kimeanishwa kwenye katiba zao hizo, ishu za kufiwa na dharula za namna hiyo lazima zimekwisha ainishwa.

Mtoa post ungekuja na vifungu kadhaa ungeeleweka sasa wewe umeleta mada ili uonewe huruma. Yanga wamefata sheria we unaleta assumption zako eti wamefiwa sijui wamepata pancha, umewaza upuuzi sana mkuu.
 
boss tukikubali kupindishapindisha kanuni tulizojiwekea wenyewe kirahisirahisi hivyo hatutafika mbali. kulikuwa na shida gani kwa TFF na Bodi ya ligi kuziita timu husika mezani na kujadiliana kuhusu kusogeza mechi mbele!?! naamini wangekubaliana na kama yanga angelazimisha kanuni zifuatwe basi mchezo ungeahirishwa kabisa. lakini hii ya kutoleana amri kama unaswaga ng'ombe kwenda machungani sio jambo la kukubaliana nalo hata kidogo. ukiwaacha wazoee hivyo hawa viongozi wetu loooh,siku moja tutamsubiri rais wa tff atoke gaborone ndio mechi ichezwe!!! acha wapate fundisho naamini hawatarudia tena hilo kosa
 
Wakati wa kusimamisha Mwakalibela, TFF walisema wanafanya maamuzi kuendana na Kanuni, hivyo ipongeze Yanga kwa kuirudisha TFF kwenye utaratibu wa kufuata kanuni

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Kula limao upunguze kutema mate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…