kasimba123
JF-Expert Member
- Apr 18, 2010
- 1,753
- 816
rejea kanuni ya 31, kanuni ya 20 na 21 yanga walichemka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu eleza sababu zilizofanya mchezo uhairishwe,Nakubaliana na wewe kwamba kanuni zinapaswa kifatwa, lakini hupaswi kuwa rigid kwenye vifungu kwa sababu kuna dharura, hasara iliyosababishwa na maamuzi ya viongozi wa Yanga ni kubwa mno. Narudia tena soka letu linaharibiwa kwa vilabu vyetu kuendeshwa na watu waliokosa weledi.
Zinasemaje, ziweke haparejea kanuni ya 31, kanuni ya 20 na 21 yanga walichemka
Mleta mada mpaka muda huu TFF wametoa sababu kwa Nini mechi ilisogezwa muda ?maana hata Jana waziri mkuu aliliongelea Hilo swala bungeni lakini sijasikia sababu yoyote .Unaposema kufa na ajali hivyo Ni vitu 2 tofauti kabisa Tff wanamakosa Sana na ndio maana hawaeezi kuibana yanga kulipa faini .Hata wewe sidhani km unajua sababu acheni ushabiki madazi ili soka la Tanzania liweze kujua.Maamuzi waliyochukua Yanga yatakuja kuwagharimu siku za usoni ya kuwataka TFF kufuata kanuni kwa asilimia mia moja. Ipo siku Yanga watakuwa na dharura ya kweli kwa mfano kupata puncture au flat tire wakati wanakwenda uwanjani na hivyo kuwapigia simu TFF kusogeza mchezo mbele kutokana na dharura hiyo, hapo ndipo Yanga watajua what goes around comes around.
Maamuzi haya yatakuwa kama boomerang na kuwapiga wao wenyewe pale TFF itakapo wajibu kwamba kanuni hairuhusu na wanahitaji masaa 24 kufanya hivyo.
Delay na postponement ni vitu viwili tofauti. Si amini kuwa delay ya game inahitaji notice ya masaa 24 ila postponement ndiyo inahitaji. Je? Mchezaji wa Yanga akipata ajali na kufariki siku ya mechi, Yanga watawajibika kucheza mechi siku hiyo? Si wataomba mchezo uahirishwe!
Hapo masaa 24 watayatoa wapi? Na hiyo timu pinzani ikifanya kama walivyofanywa Yanga, si tutakuwa tunaliua soka letu! Na kwa mantiko hiyo basi; Yanga hawakutaka TFF itii agizo la serikali ili mchezo uendelee katika muda awali?
Masikini washabiki na wapenda soka wa nchi hii waliojazana uwanjani kwa maelfu, gharama zao na muda wao nani atawalipa?
Upo uwezekano wa CAF na FIFA kuingilia kati suala hili, nani atajibu hoja zao? Na kama kutakuwa na penalties, nani atalipa?
Jamani tuwe tunachukua maamuzi ya busara kwa faida ya maendeleo ya soka letu na nchi yetu kwa ujumla.
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, hili litakuwa ni " tukio rejea" la matukio kama haya yakayofuata siku za usoni. Hivyo, maamuzi yoyote yatakayotolewa yazingatie haki, sheria na kanuni ili tusije ku-set a bad precedent kwa timu nyingine kufanya hivyo baadae ikizingatiwa kuwa timu zote zina haki sawa.
wangewajali hata mashabiki wao waliojaa pale uwanjaniNi kweli what goes around comes around.Kuna siku yanga watapata dharura mfano ya kufiwa,au chochote kile,sasa kama kanuni inasema kusogeza mbele muda ni kuahirisha,timu pinzani ipewe haki yake.
Nawashangaa wachambuzi taka taka wanavyoi support yanga kwa ujinga waliofanya
Kwani hukuona mashabiki wa yanga tulitoka pamoja Basi la wachezaji Ina maana hatukufurahia huo ujinga wa tff na Simba maana mpaka leo hatujajua sababu ilikuwa Ni Nini ? Ingalau tungejua sababu tungeanzia hapo kujadili .wangewajali hata mashabiki wao waliojaa pale uwanjani
Mleta mada mpaka muda huu TFF wametoa sababu kwa Nini mechi ilisogezwa muda ?maana hata Jana waziri mkuu aliliongelea Hilo swala bungeni lakini sijasikia sababu yoyote .Unaposema kufa na ajali hivyo Ni vitu 2 tofauti kabisa Tff wanamakosa Sana na ndio maana hawaeezi kuibana yanga kulipa faini .Hata wewe sidhani km unajua sababu acheni ushabiki madazi ili soka la Tanzania liweze kujua.
Kuna upumbafu wa Hali ya juu sanaTatizo mwanamke kumuelewesha issue za soka ni ngumu kukwelewa.
Sababu ya TFF mbona ilikuwa wazi?
TFF alielekezwa na serikali.Sasa tunayepaswa kumuuliza ni serikali alikuwa na sababu gani?Kama vile haitoshi,waziri mwenye dhamana ya michezo,ni utopolo halisi.Sasa atuambie alikuwa na sababu gani ambazo walikubaliana na timu yake ili baadae timu yake ikimbie kucheza mechi?
boss tukikubali kupindishapindisha kanuni tulizojiwekea wenyewe kirahisirahisi hivyo hatutafika mbali. kulikuwa na shida gani kwa TFF na Bodi ya ligi kuziita timu husika mezani na kujadiliana kuhusu kusogeza mechi mbele!?! naamini wangekubaliana na kama yanga angelazimisha kanuni zifuatwe basi mchezo ungeahirishwa kabisa. lakini hii ya kutoleana amri kama unaswaga ng'ombe kwenda machungani sio jambo la kukubaliana nalo hata kidogo. ukiwaacha wazoee hivyo hawa viongozi wetu loooh,siku moja tutamsubiri rais wa tff atoke gaborone ndio mechi ichezwe!!! acha wapate fundisho naamini hawatarudia tena hilo kosaNakubaliana na wewe kwamba kanuni zinapaswa kifatwa, lakini hupaswi kuwa rigid kwenye vifungu kwa sababu kuna dharura, hasara iliyosababishwa na maamuzi ya viongozi wa Yanga ni kubwa mno. Narudia tena soka letu linaharibiwa kwa vilabu vyetu kuendeshwa na watu waliokosa weledi.
Wakati wa kusimamisha Mwakalibela, TFF walisema wanafanya maamuzi kuendana na Kanuni, hivyo ipongeze Yanga kwa kuirudisha TFF kwenye utaratibu wa kufuata kanuniMaamuzi waliyochukua Yanga yatakuja kuwagharimu siku za usoni ya kuwataka TFF kufuata kanuni kwa asilimia mia moja. Ipo siku Yanga watakuwa na dharura ya kweli kwa mfano kupata puncture au flat tire wakati wanakwenda uwanjani na hivyo kuwapigia simu TFF kusogeza mchezo mbele kutokana na dharura hiyo, hapo ndipo Yanga watajua what goes around comes around.
Maamuzi haya yatakuwa kama boomerang na kuwapiga wao wenyewe pale TFF itakapo wajibu kwamba kanuni hairuhusu na wanahitaji masaa 24 kufanya hivyo.
Delay na postponement ni vitu viwili tofauti. Si amini kuwa delay ya game inahitaji notice ya masaa 24 ila postponement ndiyo inahitaji. Je? Mchezaji wa Yanga akipata ajali na kufariki siku ya mechi, Yanga watawajibika kucheza mechi siku hiyo? Si wataomba mchezo uahirishwe!
Hapo masaa 24 watayatoa wapi? Na hiyo timu pinzani ikifanya kama walivyofanywa Yanga, si tutakuwa tunaliua soka letu! Na kwa mantiko hiyo basi; Yanga hawakutaka TFF itii agizo la serikali ili mchezo uendelee katika muda awali?
Masikini washabiki na wapenda soka wa nchi hii waliojazana uwanjani kwa maelfu, gharama zao na muda wao nani atawalipa?
Upo uwezekano wa CAF na FIFA kuingilia kati suala hili, nani atajibu hoja zao? Na kama kutakuwa na penalties, nani atalipa?
Jamani tuwe tunachukua maamuzi ya busara kwa faida ya maendeleo ya soka letu na nchi yetu kwa ujumla.
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, hili litakuwa ni " tukio rejea" la matukio kama haya yakayofuata siku za usoni. Hivyo, maamuzi yoyote yatakayotolewa yazingatie haki, sheria na kanuni ili tusije ku-set a bad precedent kwa timu nyingine kufanya hivyo baadae ikizingatiwa kuwa timu zote zina haki sawa.
Hajui huyo,hao ndio wale waliokanyaga stendi ya mkoa ipo ubungoYanga ni brand kubwa kuliko TFF
Kuna upumbafu wa Hali ya juu sana
Huwa hakuna tamko lisiloandikiwa barua
Tff barua Yao ingeambatana na barua ya wizara wala Yanga asingekataa
Hii ni inshu ya Simba Tu ili iahilishwe wajifiche wasionwe na timu zilizoingia robo fainali
Kichwa mandazi
We push tu kelele za niniKula limao upunguze kutema mate